Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujielewi wwHii imetoka wapi soma thread vizuri
ata nikitaka kuacha ma waiter watakula wapi bro.....tupeane ridhiki hizi😂😂Hahahaha daaah ntakuona unavyoshusha mitungi
Acha pombe mkuu
sijui sijakuelewa au ni mitungi sioni ulichokiandika naomba fupisha muandiko dadaHalafu wanaume mkiachwa kwasababu hamna pesa mnalalamika. Mnasema wanawake wanapenda pesa hawana mapenzi ya kweli.
Anaweza akamwacha huyo mwanamke kama anapenda. Lakini nakwambia anaweza akapata watoto kwa wanawake wengine lakini mikosi itabaki pale pale. Amen!
Ataishia kukugongea tu kama mkeo mzuri na sadaka utatoa.Yeye ndio huombea ndoa?
Acha kudanganya mwenzio. Mwamposa ni takataka tu. Hakuna kitu.Kama unaishi Tanzania nenda kwa Mwamposa kawe. Usishupaze fuvu,maisha yenyewe magumu. Wewe amini Mungu tu, ukitoka kimaisha utanishukuru.
Mungu atafungua njia tu siku mojaMimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.
Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.
Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza
Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Muoe huyo mchepuko khaa muache huyu Dada aende zake atapata wakeMchepuko tayari ana mtoto wangu wa kike mzuri ajabu
Wanakke wamejaa makanisaya kiroho wanatafuta wanaume wa kuwaoaSasa namwachaje maana pia kupata mwingine sio rahisi
Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza🥺🤔🙇🏿♂Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.
Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.
Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza
Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Hangover ikiisha utaelewasijui sijakuelewa au ni mitungi sioni ulichokiandika naomba fupisha muandiko dada
Kutokufahamu mapema maana halisi ya watu.Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.
Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.
Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza
Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Mkuu hii issue ilinikuta mimi kama hiviMimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.
Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.
Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza
Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Aje kwako sasaAcha kudanganya mwenzio. Mwamposa ni takataka tu. Hakuna kitu.
Kwanini amuache,ilhali anamlelea watoto,yeye akomae watatue tatizo hilo.pole sana mkuu lakini bado una option ya kumwacha uyuo mwanamke kwa kuwa huna mtoto naye