Kosa gani unalijutia na limeharibu maisha yako?

Kosa gani unalijutia na limeharibu maisha yako?

Unalalamika nini mama yako kwamba huwez kumuacha ukaoa mwingine? Unadhani ungekuwa wew ndie mwenye shida angekuvumilia? Acha upuuzi zaa nje leta watoto ulee ndani
 
Muambie amtafute ndugu atakayemzalia watoto ili usimuache au usilete mwanamke wa koo ingine.

Ni mila za wazee wetu wa enzi hizo waliokuwa na akili nyiingii. Mwanamke uzazi ukigoma, anamtafuta binti wa ukoo wake anakuja kuzaa na mumewe ili yeye asiachike au kuletewa mwanamke wa koo ingine.

Kama anajikuta ni mtu wa Dini sana (Hizi za kishenzi za kuletewa) basi asikulaumu kwa maamuzi utakayochukua.
 
Don't complicate about life and don't regret

Count ur blessings
Cheer up with ur wife

Kama Una two kids make her to feel proud to raise ur kid as a stepmother.
 
Hao watoto ulionao nje hawakutoshi???? Kwanza mwanamke asipozaa hachakai haraka wewe ni kupeleka moto tuu.
 
Back
Top Bottom