Kosa hili la Kiroho limewafanya wakristo wengi kuishi maisha magumu

Wewe mzee leo ndio nimejua hasa kwanini kahtaan alikuwa anakupiga nyundo
 
Nafikiri Huwa Wana maanisha kupata kwake ni upendeleo ( Kibali) cha Mungu na si kwa Utaishi wake.
KWAmba kupata kwake haimaanishi yeye ni bora kuzidi wengine.
 

Lakini Sandali usichokielewa ni kwamba wakristo wanavyosema hawakustahili sio kwamba hawajui kwamba ni zawadi Mungu anayotoa kwao.
Uelewe kwamba despite umepata division 1 au umejenga nyumba au umebarikiwa ndoa, ulitenda dhambi nyingi sana pengine zisizojulikana na wanadamu ila Mungu bado akatoa neema yake ukabarikiwa.
In that case hukustahili kwasababu kuna wenye haki wengi hawajabarikiwa ila Mungu amekupendelea.
 
Neno sikustahili ni unyenyekevu na kujishisha, kuwa kama mtoto mdogo mbele za Bwana.

WATANZANIA miLioni 60
Mimi ni nani hata nimiliki GHOROFA.
Mimi niliye Dhaifu na Mwenye Dhambi!!!!!

Kwahiyo Neno sikustahili Lina maana yake.
NYENYEKEENI CHINI YA MKONO HODARI WA BWANA.

Usijikweze.
 
Asipoelewa na hapa hakuna haja ya kumuelewesha zaidi.
 
Fact kabisa.
 
Luka 14:11 "Kwa maana kila ajikwezaye atadhiliwa, naye ajidhiliye atakwezwa"
 
Pesa na utajiri havna mahusiano na dini kabsa
 
Wewe mzee leo ndio nimejua hasa kwanini kahtaan alikuwa anakupiga nyundo
Huyu kenge unampa cheo cha uzee amekipata wapi?
Huyu mtoto mdogo kazi kuvizia harusi za waarabu mitaani hafai hata kumuita kijana.

Sasa tazama eti anajiita Dr Matola PhD .
Ha ha ha ha.
Maisha yamemvuruga mpk anajipa cheo ambacho kizazi Chao chose tokea huko msumbiji walikotokea mpk yeye hakuna hata nesi kwenye ukoo. Leo anajiita DR PHD. 🤣🤣🤣.

Huyu mtoto sio rizki. Msamehe bure
 
Broo Matola pole na majukumu mkuu sijaingia humu muda kidogo hua nachungulia na kukimbia ila nimeshtuka Sana kuona wasifu wa I'd yako anyway
Hongera!
😁😁😁😁
#mamboyanaendakasisana
 
Tena Mkristo ukikomaa unafika mahali sio tena kuombaomba na kulia kila wakati bali una amuru yatokee.
 
Wewe unamiliki nini zaidi ya akaunti ya JF yenye id feki?
 
Kuna ukweli hata hayati maguguli alipokuwa anatuita watanzania
wanyonge nilikuwa natamani kumnasa kofi ,sisi sio wanyonge
Unyonge ni tusi
Alikuwa anasema sisi ni matajiri.
Japo kuna wachache wanaosababisha unyonge kwa wengi!
 
Wewe Kapuku unayejiona una akili kwanini usiitetea mada badala yake unakata mauno na kushambulia dini ambayo haijatajwa? Akili zako umeziweka kwenye mfuko wa shati sio? Huo u Dr wako ndio ule wa kununua kwa Dola 2500 au umejipachika tu jina?

Acheni kuchafua position za watu,kwa matapishi unayo yatapika hapa hufai hata kua na cheo cha kuitwa Nesi.
 
Uko sahihi ila uko nje ya content
Maendeleo ya marekani yanamhusu mkristo wa TZ au maendeleo ya Qatar yanamhusu muislamu wa TZ.
Af nchi za kikristo anazotaja zinawapagani kibao.
Akina Elon Musk hawana dini lakini ndio wanaoijenga USA.
Wanasayansi wenngi na matajir USA hawana dini.
Kuna nchi kamaCina,Korea, Japan sio wakiristo wala waislamu na ni tajiri sana kuliko nchi nyingi za kikristo. Maendeleo hayana uhusiano na dini wala kabila.
Huyo member yupo out of topic.
 
Anafikiri uarabuni atapeleka ubazazi wake wa hovyo. Ulaya wanaishi kama mbuzi, mtu anaweza tembea hata uchi huo ujinga Saudia haupo.
Saudia huduma nyingi ni bure Ulaya na USA hakuna vya bure unasota, wazungu wanajua hata ukienda nchi zao utatumika kujenga Ulaya wakati Uarabuni utawanyonya huduma zao kwa ajili ya watu wao. Sababu ni nyingi sana za kuingia kirahidi Ulaya ila jamaa haelewi anafikiri Ulaya maisha ni mteremko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…