Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

galaxy z fold 6 inaizidi pixel 9 pro fold kwenye camera, AI na kutunza moto?
Z Fold 6 inafanya vizuri kwenye multitasking.

Ni nyepesi unatumia na mkono mmoja, P9 Pro XL ni nzito kiasi.

Z Fold 6 ina S pen.

Z Fold 6 ina 8K ya kweli, ya Pixel 9 Pro ni boosted ni sawa na li-Infinix linavyoandikwa eti 4+4GB RAM, hapo RAM ingekuwa 8 wangeandika tu. Pixel inazidi kwenye zoom ni 5× na Samsung ni 3× tu.

Battery ya Pixel ni kubwa ila ni kawaida ya Tensor kuwa na uwezo mdogo wa battery optmization pamoja na kuwa na battery kubwa, mfano Pixel 6 Pro. Samsung ina speed ya kuchaji.
 
Ni kitu gani kwenye AI Pixel inazidi Samsung. Taja namimi nikutajie vitu Samsung inavyozidi Pixel kwa ujumla.

Katika hizo custom features, Samsung anamzidi performance Pixel. Hata kwenye photography, Samsung Objet Eraser inazidi matokeo yanayotoka na Pixel. Samsung inaweza predict objet shape vizuri zaidi kuliko Pixel.

Kwenye uchoraji na design ndio Pixel hajaribu kabisa maana hana S pen.

Ukiachana na AI, bado SD 8 Elite inayotumiwa kwenye flagships kadhaa inaizidi mbali Tensor G4. Mlinganyo huu hapa CPU na GPU Tensor 4 kapigwa, battery kapigwa, gaming kapigwa.
View attachment 3414326
Bado huku Tensor 4 hafui dafu
View attachment 3414328
Bado Tensor 4 hajakaribia kabisa SD 8 Elite
View attachment 3414330
Still
View attachment 3414331
Bado utajificha kwenye "Tensor iko optimized kwa AI ya Google wenyewe". So ukiwa unacheza lets say Call of Duty, Pixel iwe na performance mbovu usingizie kisa Tensor iko optimized kwa AI ya Google. Kwani kabla AI haijawa introduced processors hazikuwa na kazi nyinginezo
View attachment 3414340

Tuachane na A series maana hazishindani na Pixel yeyote.
Twende kwenye mlinganyo sawa.

Pixel 9, 9a, 9 Pro na 9 Pro XL
VS
Samsung Galaxy S25, S25+ na S25 Ultra

Au tufanye Samsung Z Fold 6
VS
Pixel 9 Pro XL

Ni simu gani ya Pixel hapo imeizidi ya Samsung yeyote kwenye market share?
Kwenye market share nisiwe mnafiki samsung anaizidi pixel, Samsung ni well established brand na wana muda katika smartphone market, hivyo inawapa advantage kwa wateja na uaminifu... tuipe pixel muda...

Kuhusu AI na camera samsung ajifunze kwa pixel...
 
Huawei unainunua ukateseke nayo kwenye software support. Unajifanya kuwa wa tofauti unalazimika uwe na simu ya pembeni zaidi ya hiyo Huawei.

Oppo simu zao ni overpriced kulingana na specs.

Tatizo la hizo brands mara nyingi flaships zao wanafanya Chinese version ndio iwe na features zote.
Sasa chinese version ya oppo au huawei wewe inakushinda nini
 
Sasa chinese version ya oppo au huawei wewe inakushinda nini
Niliwahi kuwa na Chinese version ya Oppo ilikuwa inasumbua baadhi ya huduma.
Banking apps zikatae mara updates za MPesa na Airtel Money.

Updates zilisumbua hata ukiweka app kutoka unknown source, siku ukitaka ifanyia update huna Playstore inabidi ufute kwanza utafute mod iliyokuwa updated.

Kuna baadhi ya vitu ni Kichina tupu. Kuna apps mpaka ufanye root kitu ambacho huwa sifanyii simu. Hata kujiunga Oppo ID ilinitaka namba ya mainland China, nikashindwa.

Sioni cost to reward ration nzuri kutaka hizo simu ambazo hazina kitu cha ajabu kabisa kinachokosa kwingineko kwenye global versions.
 
FB_IMG_1748632056521.jpg
pixel 6
 

Attachments

  • PXL_20250402_160946317.NIGHT.jpg
    PXL_20250402_160946317.NIGHT.jpg
    192 KB · Views: 51
Sad stories za kusikitisha sana kwa kujisahau ziliwakuta Nokia na Blackberry (RIM) mkuu, hawatakaa wasahau upepo ulivyowapitia wakatupwa nje ya soko walilolitawala wakiwa juu kabisa!


 
Kwa Android, kumpambanisha Samsung na yoyote yule ni kumvunjia heshima Samsung. Clean Android ya Pixel nimeshatumia, ONE UI ya Samsung nimeshatumia pia.

ONE UI ya Samsung haina mpinzani kwa Adroid, pili Display ya Samsung ni kali sana saana.
 
Bora nitumie Tekno kuliko Pixel na Imphinix

Iphone, Samsung na Huawei wana dunia ya peke yao!
 
Back
Top Bottom