Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Kama hutumii na haujawahi kutumia iPhone umejuaje na ulijuaje ni best?

Kuna baadhi ya vitu Samsung ni bora na inaizidi iPhone
niliishia kutumia 13 ina mambo mengi sana napotaka kutumia vitu navyohitaji nina mkataba wa duka moja SA ukitaka kuchukua toleo la mbele unapeleka waliyokupa unachukua toleo jipya iPhone nachukua sana kwa ndugu na jamaa naporudi Tanzania kwa matoleo yote...
 
S24 ultra sikuielewa kabisa, simu ipo kama tofali sijui imekaaje, yaani design ni hovyo kabisa.. samsung wameishiwa ubunifu..

S24 ultra ukikurupuka utasema ni infinix au tecno...

iPhone kwenye designing nawanyooshea mikono, hata Pixel ameipiga chini Samsung..
Unasemaaaaa?
 
1111111111111111111111111111111111111111111111111111..1.jpg
 
Kidogo ebu waeleze ,hata soko lake liko limited still Samsung anaumiza kichwa ...Google kwenye AI kaua ,yuko mbali sana.
Google hutengeneza features za AI kama sehemu ya Android OS na inaziweka kwenye Android APIs ili OEMs kama Samsung, Xiaomi, Oppo n.k... waweze kuzitumia kwenye simu zao.

Lakini Google pia huweka baadhi ya features kuwa exclusive kwa Pixel, kama njia ya kutofautisha bidhaa zao, sasa kama mtu anatengeneza AI ili kusudi ashindane na iOS na hapo hapo anatoa kifaa chake ambapo kinakuwa na exclusive features unategemea nini?

Hio ina maana google wanaipendelea zaidi Pixel kwenye AI kuliko kampuni yeyote ile ambayo ni wateja ikiwemo Samsung, na hapo wataanza kudanganya watu kwamba Tensor inazidiwa perfomance na snapdragon kwenye ku process AI na nimewajibu huko juu kwamba Tensor ni customized kwa ecosystem ya Pixel pekee, sio Xiaomi, Nokia ama Samsung n.k... Tensor ipo kwa ajili ya Pixel..

Kwa hiyo kama core ya Tensor inatosha kwa 2400 MHz kufanya kazi inavyotakiwa, hawatashinikiza hadi 3500 MHz eti kwa sababu Snapdragon au Apple A17 ina speed kubwa... nimeeleza hili...

Kuhusu market share Samsung wana toa hadi A series zenye Mediatek kupambana na Tecno, Infinix na itel... Samsung za mikopo zipo nyingi sana sana mitaani... Pixel wana simu moja tu...
 
😂😂Naona umechambua vizuri hapa ...Jamaa wanadanganywa sana ,wakati automatically Google pixel anauza limited units ambazo ni chache sana ,ila Samsung ana version kibao mpaka simu kwa ajili ya soko la Africa tu.
 
Greenline pixel zipo kibao, vioo vya pixel ndio hivyo hivyo vya Samsung (Google ananunua vioo kwa Samsung)
View attachment 3414157
Pia pixel sio simu za Karibuni, pixel one imetoka 2016/2017 na kabla ya hapo nexus ya kwanza imetoka 2010. 2010 makampuni kama Xiaomi, Oppo, Vivo etc Yalikua hayapo,

Pia toka 2016 wameuza simu kama Milioni 40, hio idadi Kampuni kama Samsung na Apple ni Mauzo ya mwezi mpaka miezi miwili
Nexus ilikuwa ni namna ya Google kuonyesha android jinsi inapaswa kuwa...
Google haikutengeneza nexus kama simu iuzwe kwa wingi, ila kama mfano reference wa jinsi android inavyotakiwa kuwanna pia kusaidia watengenezaji wa apps kufanya majaribio mbali mbali na kuonyesha uwezo wa Android bila customization ya watengenezaji wengine kama samsung ambao wanajaza ma bloatware na upuuzi mwingi....

Ndio maana kwa kipindi hicho android developers wengi walipendelea kutumia simu za Nexus kuliko Samsung au simu nyingine yoyote kwa ajili ya majaribio ya apps... ilirahisisha kuona tabia halisi ya Android API bila kuathiriwa na customizations kama zile za Samsung.. Htc n.k

Hivyo kiongozi Google ilitumia Nexus kama reference device ya Android development... si kuja kushindana kweye mauzo...

Nexus ziliwekwa wazi hata ku unlock bootloader na ungeweza kuinstall custom ROMs, kuroot simu na kuweka build mpya ya Android, AOSP builds.... nexus ilikuwa pure android..

Ndio maana nexus 5 ilipendwa sana sana na deves wa android na ile table ya nexus 7....

watu waliokuwa wanaelewa simu kiundani , tech enthusiasts, android developers, modders, hackers walipendelea Nexus zaidi kuliko simu nyingine nyingi kwa wakati huo.... chief mkwawa nakumbuka 2016/2017 sasa sielewi chief unakwama wapi leo unaanza kuiponda nexus...
 
😂😂Naona umechambua vizuri hapa ...Jamaa wanadanganywa sana ,wakati automatically Google pixel anauza limited units ambazo ni chache sana ,ila Samsung ana version kibao mpaka simu kwa ajili ya soko la Africa tu.
Kama hizo A05 zina tofauti gani na Tecno za bei nafuu?
 
Katika ulimwengu wa AI hata tuweke shilingi ngapi , Samsung ni simu za washamba walizoe kioo cha kijani...Haina software better kuliko Google pixel hata miaka 100 inayokuja ...Acha kuongea porojo ,simu ya juzi zinawatoa kamasi ... despite kuwa na soko la miaka ila Google pixel anatoboa .

Angalia hii video kwanza

View: https://youtu.be/vtC4sK1ivkY?si=Kkc6O13oSSCcSaFz

Samsung lazima apate features kama Google pixel kwa sababu Ai ni ya kishamba ,kabaki kulindwa ila hana kipya 😂😂😂

View attachment 3414154

Nani anatengeneza vioo vya Google Pixel?

Samsung ndio supplier mkubwa wa vioo vya Google Pixel. Kisha anafuata BOE na zamani alikuwa LG.

Hivyo vioo vya Samsung unavyosema vinatengeneza green screen ndio hivyohivyo Google wanakimbilia kununua. Basi tufanye Google ni wapumbavu, wewe ndio una akili sasa.
 
Simu ziko Asia hasa uchina ni vile hamzijui na wengi ni kwa sababu soko lenu pekee ni kariakoo ndio mnaenda pata simu, kama mtu hukawahi tumia brand hizi hapa ukiondoa samsung na apple, kuna oppo, laana na nusu, huawei sina la kusema, xiaomi,na honor kwa kifupi nimekua nikizunguka tu kati ya hizi kampuni na sioni shida pixel nunuen mkapigie picha
 
Google anapambania AI si kwa faida ya Pixel tu, bali kwa ajili ya kulinda android ecosystem yote na OEMs kama Samsung, Oppo wanapaswa kuangalia Pixel kama reference ya AI na UX bora, kisha wajiboreshe zaidi kwa hardware, kamera, UI customization n.k... halafu anatoke mtu anakuambia eti Samsung inaizidi Pixel kwenye AI... kiukweli nashangaa sana na nasikitika sana...

Google aliingia ulingoni kama mkuu wa kambi ya Android au kubwa la maadui baada ya kuona iOS anaanza kuwaonea OEMs wa Android ambao ni wateja wake wanaompa faida kubwa , hivyo kama kiongozi, akasimama kuwatetea na kuwaonyesha njia ya ushindi na hapo ndipo anatoa Pixel...

​

Google aliona hatari ya ecosystem yake kudorora.. ina maana ikiwa OEMs watazidiwa, basi Android itapoteza hadhi dhidi ya iOS hiyo ni hasara kwa Google maana bila Android phones, hakuna user base ya Google services... na hapo ndipo kocha anavua suti na kuingia uwanjani kusakata kabumbu anatoa Pixel...

Samsung Galaxy S24 Series imepokea Circle to Search, Gemini integration, na Live Translate kutoka Google....

Anatokea mtu mmoj anaanza kulinganisha eti snapdragon, exynos wanaizidi tensor... really?
 
Nexus ilikuwa ni namna ya Google kuonyesha android jinsi inapaswa kuwa...
Google haikutengeneza nexus kama simu iuzwe kwa wingi, ila kama mfano reference wa jinsi android inavyotakiwa kuwanna pia kusaidia watengenezaji wa apps kufanya majaribio mbali mbali na kuonyesha uwezo wa Android bila customization ya watengenezaji wengine kama samsung ambao wanajaza ma bloatware na upuuzi mwingi....

Ndio maana kwa kipindi hicho android developers wengi walipendelea kutumia simu za Nexus kuliko Samsung au simu nyingine yoyote kwa ajili ya majaribio ya apps... ilirahisisha kuona tabia halisi ya Android API bila kuathiriwa na customizations kama zile za Samsung.. Htc n.k

Hivyo kiongozi Google ilitumia Nexus kama reference device ya Android development... si kuja kushindana kweye mauzo...

Nexus ziliwekwa wazi hata ku unlock bootloader na ungeweza kuinstall custom ROMs, kuroot simu na kuweka build mpya ya Android, AOSP builds.... nexus ilikuwa pure android..

Ndio maana nexus 5 ilipendwa sana sana na deves wa android na ile table ya nexus 7....

watu waliokuwa wanaelewa simu kiundani , tech enthusiasts, android developers, modders, hackers walipendelea Nexus zaidi kuliko simu nyingine nyingi kwa wakati huo.... chief mkwawa nakumbuka 2016/2017 sasa sielewi chief unakwama wapi leo unaanza kuiponda nexus...
Wapi nimeiponda Nexus? Nimeweka mambo sawa Google hajaanza kutengeneza Simu leo, na hio Nexus ya kwanza Nexus one, imetengenezwa na HTC ambaye ndio huyo huyo Elie design pixel ya sasa, utofauti tu ni kwamba kipindi hicho Wali design kwa Colaboration na sasa hivi Google kainunua HTC iliokuwa mtengeneza simu.

So kampuni yenye uzoefu wa kutengeneza simu miaka zaidi ya 17 sasa kuuita chipukizi kama vile inawasumbua wakongwe si sahihi.
 
Google hutengeneza features za AI kama sehemu ya Android OS na inaziweka kwenye Android APIs ili OEMs kama Samsung, Xiaomi, Oppo n.k... waweze kuzitumia kwenye simu zao.
Ni kitu gani kwenye AI Pixel inazidi Samsung. Taja namimi nikutajie vitu Samsung inavyozidi Pixel kwa ujumla.
Lakini Google pia huweka baadhi ya features kuwa exclusive kwa Pixel, kama njia ya kutofautisha bidhaa zao, sasa kama mtu anatengeneza AI ili kusudi ashindane na iOS na hapo hapo anatoa kifaa chake ambapo kinakuwa na exclusive features unategemea nini?
Katika hizo custom features, Samsung anamzidi performance Pixel. Hata kwenye photography, Samsung Objet Eraser inazidi matokeo yanayotoka na Pixel. Samsung inaweza predict objet shape vizuri zaidi kuliko Pixel.

Kwenye uchoraji na design ndio Pixel hajaribu kabisa maana hana S pen.
Hio ina maana google wanaipendelea zaidi Pixel kwenye AI kuliko kampuni yeyote ile ambayo ni wateja ikiwemo Samsung, na hapo wataanza kudanganya watu kwamba Tensor inazidiwa perfomance na snapdragon kwenye ku process AI na nimewajibu huko juu kwamba Tensor ni customized kwa ecosystem ya Pixel pekee, sio Xiaomi, Nokia ama Samsung n.k... Tensor ipo kwa ajili ya Pixel..
Ukiachana na AI, bado SD 8 Elite inayotumiwa kwenye flagships kadhaa inaizidi mbali Tensor G4. Mlinganyo huu hapa CPU na GPU Tensor 4 kapigwa, battery kapigwa, gaming kapigwa.
Screenshot_20250722-121524~2.png

Bado huku Tensor 4 hafui dafu
Screenshot_20250722-121529~2.png

Bado Tensor 4 hajakaribia kabisa SD 8 Elite
Screenshot_20250722-121542~2.png

Still
Screenshot_20250722-121609~2.png

Bado utajificha kwenye "Tensor iko optimized kwa AI ya Google wenyewe". So ukiwa unacheza lets say Call of Duty, Pixel iwe na performance mbovu usingizie kisa Tensor iko optimized kwa AI ya Google. Kwani kabla AI haijawa introduced processors hazikuwa na kazi nyinginezo
Screenshot_20250722-121614~2.png

Kwa hiyo kama core ya Tensor inatosha kwa 2400 MHz kufanya kazi inavyotakiwa, hawatashinikiza hadi 3500 MHz eti kwa sababu Snapdragon au Apple A17 ina speed kubwa... nimeeleza hili...

Kuhusu market share Samsung wana toa hadi A series zenye Mediatek kupambana na Tecno, Infinix na itel... Samsung za mikopo zipo nyingi sana sana mitaani... Pixel wana simu moja tu...
Tuachane na A series maana hazishindani na Pixel yeyote.
Twende kwenye mlinganyo sawa.

Pixel 9, 9a, 9 Pro na 9 Pro XL
VS
Samsung Galaxy S25, S25+ na S25 Ultra

Au tufanye Samsung Z Fold 6
VS
Pixel 9 Pro XL

Ni simu gani ya Pixel hapo imeizidi ya Samsung yeyote kwenye market share?
 
Simu ziko Asia hasa uchina ni vile hamzijui na wengi ni kwa sababu soko lenu pekee ni kariakoo ndio mnaenda pata simu, kama mtu hukawahi tumia brand hizi hapa ukiondoa samsung na apple, kuna oppo, laana na nusu, huawei sina la kusema, xiaomi,na honor kwa kifupi nimekua nikizunguka tu kati ya hizi kampuni na sioni shida pixel nunuen mkapigie picha
Huawei unainunua ukateseke nayo kwenye software support. Unajifanya kuwa wa tofauti unalazimika uwe na simu ya pembeni zaidi ya hiyo Huawei.

Oppo simu zao ni overpriced kulingana na specs.

Tatizo la hizo brands mara nyingi flaships zao wanafanya Chinese version ndio iwe na features zote.
 
Wapi nimeiponda Nexus? Nimeweka mambo sawa Google hajaanza kutengeneza Simu leo, na hio Nexus ya kwanza Nexus one, imetengenezwa na HTC ambaye ndio huyo huyo Elie design pixel ya sasa, utofauti tu ni kwamba kipindi hicho Wali design kwa Colaboration na sasa hivi Google kainunua HTC iliokuwa mtengeneza simu.

So kampuni yenye uzoefu wa kutengeneza simu miaka zaidi ya 17 sasa kuuita chipukizi kama vile inawasumbua wakongwe si sahihi.
Screenshot 2025-07-21 074824.png

Screenshot 2025-07-22 124952.png

Halafu leo hii unanza kuilinganisha nexus kwenye mauzo wakati mi nakumbuka back in days tulikubaliana na tulifahamu nini matumizi ya nexus ...
 
Back
Top Bottom