Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

galaxy z fold 6 inaizidi pixel 9 pro fold kwenye camera, AI na kutunza moto?
Z Fold 6 inafanya vizuri kwenye multitasking.

Ni nyepesi unatumia na mkono mmoja, P9 Pro XL ni nzito kiasi.

Z Fold 6 ina S pen.

Z Fold 6 ina 8K ya kweli, ya Pixel 9 Pro ni boosted ni sawa na li-Infinix linavyoandikwa eti 4+4GB RAM, hapo RAM ingekuwa 8 wangeandika tu. Pixel inazidi kwenye zoom ni 5× na Samsung ni 3× tu.

Battery ya Pixel ni kubwa ila ni kawaida ya Tensor kuwa na uwezo mdogo wa battery optmization pamoja na kuwa na battery kubwa, mfano Pixel 6 Pro. Samsung ina speed ya kuchaji.
 
Kwenye market share nisiwe mnafiki samsung anaizidi pixel, Samsung ni well established brand na wana muda katika smartphone market, hivyo inawapa advantage kwa wateja na uaminifu... tuipe pixel muda...

Kuhusu AI na camera samsung ajifunze kwa pixel...
 
Sasa chinese version ya oppo au huawei wewe inakushinda nini
 
Sasa chinese version ya oppo au huawei wewe inakushinda nini
Niliwahi kuwa na Chinese version ya Oppo ilikuwa inasumbua baadhi ya huduma.
Banking apps zikatae mara updates za MPesa na Airtel Money.

Updates zilisumbua hata ukiweka app kutoka unknown source, siku ukitaka ifanyia update huna Playstore inabidi ufute kwanza utafute mod iliyokuwa updated.

Kuna baadhi ya vitu ni Kichina tupu. Kuna apps mpaka ufanye root kitu ambacho huwa sifanyii simu. Hata kujiunga Oppo ID ilinitaka namba ya mainland China, nikashindwa.

Sioni cost to reward ration nzuri kutaka hizo simu ambazo hazina kitu cha ajabu kabisa kinachokosa kwingineko kwenye global versions.
 
Sad stories za kusikitisha sana kwa kujisahau ziliwakuta Nokia na Blackberry (RIM) mkuu, hawatakaa wasahau upepo ulivyowapitia wakatupwa nje ya soko walilolitawala wakiwa juu kabisa!


Your browser is not able to display this video.
 
Kwa Android, kumpambanisha Samsung na yoyote yule ni kumvunjia heshima Samsung. Clean Android ya Pixel nimeshatumia, ONE UI ya Samsung nimeshatumia pia.

ONE UI ya Samsung haina mpinzani kwa Adroid, pili Display ya Samsung ni kali sana saana.
 
Bora nitumie Tekno kuliko Pixel na Imphinix

Iphone, Samsung na Huawei wana dunia ya peke yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…