Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Samsung baada ya kushika soko kwa muda mrefu wakajisahau na kuona wanaweza kufanya wanachojisikia sokoni , google pixel wakaja wakawapiga bao na sasa vijana wengi hupendelea zaidi kuliko Samsung.

Ona mbaka nasahau kusalimia , Habari gani mwanakidigitali ?

Naitwa Baraka Mkisi mnazi wa taknolojia hasa kwa upande wa Simu na Laptop , nasaidia wafanyabiashara ,makampuni au watu binafsi kuwafanyia manunuzi katika soko la kariakoo ,tangu mwaka 2018.

Nipo kariakoo mtaa wa aggrey na msimbazi au unaweza kututafuta instagram ,facebook na tiktok kama SIMUKIDIGITALI au piga/WhatsApp 0757468193 NB: ...... Nadeal na bidhaa original tu.

Ilikuwa Agost 2 , 2016 Samsung ili isimamisha dunia baada ya kuzindua simu yake ya Samsung Note 7.
Tangazo la simu hii lilileta matumaini mapya kwa wanzi wa samsung huku wengi walibaki kuisubiri kwa hamu ili ianze kuuzwa.

Muitikio wa wateja.....

Simu hii ilipata muitikio mkubwa sana duniani kote kila mtu aliisifia simu hii kwa ubora wake tarifa zikaenea duniani kote kila mtu alitamani kumiliki samsung Note 7.

.........ghafla stori ya simu hii ikabalika na pengine kuwa simu ambayo iliwatia hasara samsung na kuchukiwa na watu wengi sana sana na wengine wakawa wanaogopa sana.

Najua unajiuliza kilitokea nini .....swali zuri !

Taarifa potoshi zikaanza ghafla kuenea kuwa Samsung wamekuja na mpango wa siri wa kuua watu kupitia simu hizi kutokana na kulipuka ghafla inapopata moto au kuwekwa kwenye chaji.

Taarifa hizi zilipigwa vikali na samsung huku wakiweka wazi kuwa haikuwa na lengo la makusudi la watumiaji wa simu hizi kuuwawa bali yalitokea makosa madogo hasa walipo kuwa wanatengeneza mfumo wake wa battery ambayo ni aima ya LITHIUM ION BATTERIES .

Ukubwa wa Tatizo......
Japo simu hizi hazikufanya madhara makubwa sana lakini kutokana na kuenea kwa kasi taarifa zake zilikuza tatizo hili na kuonekana kubwa zaidi .

kwa mujibu wa Mtandao wa Google kesi takribani 55 ziliripotiwa kuwa ni kubwa ambapo nyumba na magari yalilipuka kutokana na simu hizi huku kesi 26 ziliripotiwa watu kulipukiwa moja na kupata madhara ya kuungua , lakini hakuna kifo kilicho ripotiwa.

............Madhara ya moja kwa moja.
samsung waliamuliwa kurudisha kiwandani simu zaidi ya millioni 2 na laki 5 na hawakuendelea tena na uzalishaji huku wakipata reputation mbaya kuhusu ubora wa simu zao.

Ujio wa google pixel
Baada ya samsung kupoteza uaminifu sokoni google ikabidi itumie fursa ipasavyo.....
mnamo october 4 2016 google walitambukisha simu yake ya kwanza .

simu hizi zilionekana kuwa na ubora wa hali ya juu na yenye kuzingatia viwango vyote , kwa tahadhari zaidi ili kuepusha over heating wakaiwekea na program maalumu ya kujizima mbaka ipoe ndipo itawaka.

Hii Inakuaje? soma kwa makini maana kuna kesi nyingin sana hapa maana watanzania wengi hufikiria kuwa ni simu mbovu lakini sio kweli ni kukosa uelewa.

ukiwa unaitumia simu ya google hasa ikiwa inapata joto la moja kwa moja kutoka nje yaani karibu na moto au jua kali (hasa kushoot video) , huwa inatoa alama ya WARNING kukutaarifu kuwa simu yako inapata moto kupita kawaida . Hiyo warning huja hadi mara 3 usipo chukua hatua ya kuizima hadi mara 3 huwa inajizima yenyewe automatic na huwaka baada ya kupoa.

hivyo mwanakidigitali simu ikifanya hivyo sio mbovu bali imewekwa makusudi kulinda afya yako na simu yako, nimewaelekeza watejawangu wengi suala hili na sasa wanaelewa vyema.

.........Samsung inapigwa bao.
Google pixel baada ya kuhakikishia usalama watumiajiwake ilipata umaarufu wa ghafla hasa nchini marekani na duniani kote na sasa wamekuja kuwa washindani wakubwa sokoni lakini samsung kwa sababu ya wakongwe na wamediversfy sana simu zao wana win soko kubwa hasa kwa nchi za Afrika.

Pengine hautaona tena makala zangu mtandaoni , leo umekutana na bahati tu .... usiache fursa hii ikupite huwa natoa makala kama hizi mara kadhaa kupitia group langu WhatsApp na ofa kibao za simu na Laptop.

save namba yangu sasa 0757468193 kisha nitext whatsApp ujifunze kupitia status na group iwapo utahitaji pia nauza simu original na Genuine tu. tupo k koo aggrey unaweza kutucheki kwenye mitandao yetu mbali mbali tunatumia SIMUKIDIGITALI.

Je , ni simu kutoka kampuni gani unapenda zaidi? SAMSUNG au GOOGLE PIXEL ?​
Nitarudi
 
Kuna boya anatafutwa hapa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali utosini. Na atapatikana tu believe me.
 
View attachment 3413453

Hakuna mjinga wa kudamdanya labda atoke kijijini ,huko mimi ni fundi simu ..Hayo Masamsung ni bomu ,simu la mil 2 inatoka mistari kisa update ...Imetoka ile trash ya kwanza niupdatw fresh mapaka pixel 6 ,nyie takataka zenu za kijani zinatoa mistari😂😂🥲
Wewe ni fundi simu na huwezi kutumia hata common sense? Samsung ni more common kwenye green lines kwa sababu simu zao zinauza sana kuliko hizo Pixel zenu
Tatizo la green lines kwenye Pixel lipo isipokuwa ni vile kuna handset chache za Pixel so husikii sana cases zake
 
Google pixel baba lao ,usitumie nguvu ..Mwaka 2000's huyo Samsung alikuwa hafiki hata robo ya market shares ya Nokia ila kiko wapi ...Ninachokuambia bado una ule ushamba wa kuamini ila kasi inaonekana , Google pixel wako mbele hata tuweke feature moja kwa moja ila kama unajua simu sio kushangaa vioo vya kijani.

Iphone wameenda kwenye features mpya ya adobe camera ,jina kama sijakose ni "project idingo " ..Endelea kushangaa vioo vya kijani watu wanabandua tu huku , Google pixel ni pure Android 😂😂
Dogo ban iliisha?
 
Kiongozi ni huyo Samsung 😂😂😂😂ugonjwa wenu ,eti simu ya mil 3 inatoka mistari kisa new update ...Siwezi kutumia huo ujinga ,eti kisa launcher.
1000122037.png
 
Third party wa google pixel ni nani?
Wapo wengi kwa vile hawa access ya dunia nzima ,hawana soko Africa kabisa ...Zinakuwa huku kupitia vendor wadogo , zikiwa zimetumika so hakuna directly sales na wanatoa limited number of phone ... Samsung wanategeneza makapi yale ya A series kwa ajili ya watu weusi😂😂😂masimu ya kijinga na hayo yanawapata market share kubwa....
 
Wewe ni fundi simu na huwezi kutumia hata common sense? Samsung ni more common kwenye green lines kwa sababu simu zao zinauza sana kuliko hizo Pixel zenu
Tatizo la green lines kwenye Pixel lipo isipokuwa ni vile kuna handset chache za Pixel so husikii sana cases zake
Nimekupa globally
...Tuweka mimi na wewe shilingi ngapi ,tufuatilia ...Wadau wote wawe mashahidi hapa ... Sibishani mtu anayeangalia GSMArena ambao wanahongwa ili kutoa review.

Hata ukitaka nikuambie Tv gani mbovu kwenye hiyo mistari nitakuambia , Samsung market shares yake ni baada ya kutengeneza makapi ya simu na kuuza Africa 😂😂😂pale Kariakoo yamejaaa na kila siku yanatoka ...Hata kuna mdada juzi tu hapa nimeona simu yake ina mistari ni hizi A Series tena ni mpya ..Kioo kwa ubavuni kina rangi ya kijani kama damu ya shetani

1000122037.png
 
Wapo wengi kwa vile hawa access ya dunia nzima ,hawana soko Africa kabisa ...Zinakuwa huku kupitia vendor wadogo , zikiwa zimetumika so hakuna directly sales na wanatoa limited number of phone ... Samsung wanategeneza makapi yale ya A series kwa ajili ya watu weusi😂😂😂masimu ya kijinga na hayo yanawapata market share kubwa....
Acha kurukaruka tutajie third party wa google pixel ​
 
Sibishani wa wajinga ,zinauzwa Amazoni na online market nyingine kwa vile ni refurbished ..Kuwa na akili sio kama fala ..

Nimshakuambia hapa hazina market share ya Africa na nchi kubw dunia ,zinauzwa kupitia third party 😂😂...Au nikueleweshe maana ya third party imeingiaje hapo?
 
Google pixel zinauzwa kupitia third party ,hazina brand moja ...Inaweza kwenye share za brand fulani zikauzwa na zao ...Tambua hilo .
1. Sio kweli kwamba Google Pixel hazina brand moja. Haijalishi ni nani ataziuza hizo Pixel, brand ni ileile moja "Google Pixel". Ni kama tu Tigo Shop wanavyouza Samsung, bila kujali nani kauza zinabaki kuwa ni Samsung

2. Si kweli kwamba market share ya Google Pixel ni ndogo kwa sababu zinauzwa kupitia third party vendors. In fact kuuza simu kupitia third party vendors kunaongeza mauzo na inarahisisha simu kuwafikia watu wengi ndani ya muda mfupi kirahisi, na mauzo yote yanahesabika kuwa mauzo ya Google.
Acha kudanganya watu
 
Google pixel ni kama kitone kwenye Bahari, kwenye Mauzo ya simu wanawekwa kundi la others, ni simu niche kwa watu wanaopenda clean android na camera, bado sana kuwekwa kundi moja na Samsung.

Hapa Tanzania kwenyewe haziuzwi unasubiria tu refurb toka nje.
Kama ulikuwa kichwani kwangu
Muulize ana mpya?
 
Kijana gani huyo anayetumia google pixel Yan simu unatumia miez 3 ina shake shake kama imepata orgams 🤣🤣
Mengi ni used yamechoka na maisha huko nje halafu yanauzwa bei mbaya
Ni kama. Unabeti vile
 
Katika simu mbovu kuwahi kutokea ni pixel hasa upande wa betr mbovu sana pixel wanaotumia sana ni wanazi wa picha ambapo samsung pia upande huo ni yupo mbali sana na gharama watu wanashindwa kumudu wa hari ya kawaida

Issue of quality samsung is better compared to huyu mpuuz pixel, usalama ndo kitu ya kwamza kuzingatia
 
1. Sio kweli kwamba Google Pixel hazina brand moja. Haijalishi ni nani ataziuza hizo Pixel, brand ni ileile moja "Google Pixel". Ni kama tu Tigo Shop wanavyouza Samsung, bila kujali nani kauza zinavaki kuwa ni Samsung

2. Si kweli kwamba market share ya Google Pixel ni ndogo kwa sababu zinauzwa kupitia third party vendors. In fact kuuza simu kupotia third party vendors kunaongeza mauzo na inarahisisha simu kuwafikia watu wengi ndani ya muda mfupi kirahisi, na mauzo yote yanahesabika kuwa mauzo ya Google.
Acha kudanganya watu
Nielewe kwanza ukiwa unaelewa ,Google pixel ukiambiwa haina record ya kuuza simu Africa utabisha 😂😂😔Simu ikiuzwa kupitia third party haina utambulisho wa moja kwa moja ...Simu zinapata utambulisho kutokana na band zake za mitandao ili kuweza kusapaot nchi zinazokwenda sio zote .. Africa , Google pixel zinakuwa refurbished na kuflashiwa ila zinauzwa kinyemela kupitia third party.

Ukinunua Iphone ya USA ,kutoka kwa mtu wa US ukaiflash ukatumia bongo ,haina market share ya bongo ... Market haihesabiki kwa third party ila ni ile sales ya moja kwa ya Kampuni kwenda soko husika ,kama ni ulaya au Africa.

Elewa neno third party ,pitia usome kwanza.😂😂
 
1. Sio kweli kwamba Google Pixel hazina brand moja. Haijalishi ni nani ataziuza hizo Pixel, brand ni ileile moja "Google Pixel". Ni kama tu Tigo Shop wanavyouza Samsung, bila kujali nani kauza zinavaki kuwa ni Samsung

2. Si kweli kwamba market share ya Google Pixel ni ndogo kwa sababu zinauzwa kupitia third party vendors. In fact kuuza simu kupotia third party vendors kunaongeza mauzo na inarahisisha simu kuwafikia watu wengi ndani ya muda mfupi kirahisi, na mauzo yote yanahesabika kuwa mauzo ya Google.
Acha kudanganya watu

Elewa kwanza ,unatakiwa usome usikariri

.Mimi naweza kusimama na mtu yoyote nikamchapa na facts ...Naona neno third party hujaelewa😂😂😂...Market share wanahesabu moja kwa moja hata kama watatumia store zao ...Iphone wana store zao bongo ila nipe ya Google pixel iko wapi?

Samsung wanategeneza makapi kabisa ,haya ya series za A ambazo ni mahsusi kwa Africa ,hii ni market share na wanauza moja kwa moja ,hamna third party hapo .
Google pixel haziuzwi dunia nzima so hazina market share huko ,ziko baadhi ya nchi na huko ndio market share yake inahesabika..Kwa kifupi hata units wanazozalisha ni ndogo ,zinazungushwa tu kwa kubadilishwa matumizi.

Google hawana 😂😂😂mpaka zichukuliwe zilizotumika ,waziflash kinyemelea ndio ziletwe bongo ...Hiyo ni third party ,hakuna uhusiano wa moja kwa moja kutoka kwa muuzaji na mnunuzi ila kuna mkono kati waliowezesha kukufikia wewe mtu wa bongo ,hao hao ndio ''third party ':
1000122060.png
 
Back
Top Bottom