Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Naona mtoa mada ameyavaa 😂

Binafsi napenda pixel Japokuwa Samsung Ndio Simu yangu bora ya muda wote.

Ukiniwekea Samsung S series Vs pixel (Kwa kulinganisha matoleo ya kila mwaka husika) nitachagua Samsung S series

Ukiniwekea Samsung za matoleo mengine Vs pixel nitachagua pixel
Mkuu acha kufananisha samsung na search engines.
 
Google pixel baba lao ,usitumie nguvu ..Mwaka 2000's huyo Samsung alikuwa hafiki hata robo ya market shares ya Nokia ila kiko wapi ...Ninachokuambia bado una ule ushamba wa kuamini ila kasi inaonekana , Google pixel wako mbele hata tuweke feature moja kwa moja ila kama unajua simu sio kushangaa vioo vya kijani.

Iphone wameenda kwenye features mpya ya adobe camera ,jina kama sijakose ni "project idingo " ..Endelea kushangaa vioo vya kijani watu wanabandua tu huku , Google pixel ni pure Android 😂😂
SSamsung wamepoa sana, Pixel iko juu
Kama hujawah tumia lazima uwe mbishi
 
SSamsung wamepoa sana, Pixel iko juu
Kama hujawah tumia lazima uwe mbishi
Wamebaki na brand wakati Nokia alikuwa hivyo kiko wapi sasa?

Google pixel ni simu ya juzi hapa ila hawashangai kujifananisha nao😂😂😂moto unakuja.
 
Wamebaki na brand wakati Nokia alikuwa hivyo kiko wapi sasa?

Google pixel ni simu ya juzi hapa ila hawashangai kujifananisha nao😂😂😂moto unakuja.
Wengi hawaijui, wamezoea mpaka waone line mbili😂😂
 
Wengi hawaijui, wamezoea mpaka waone line mbili😂😂

Kuna haya makapi ,yanaongeza market share kwa ajili ya waafrika
1000122071.png
 
SSamsung wamepoa sana, Pixel iko juu
Kama hujawah tumia lazima uwe mbishi
Samsung Galaxy S25 Ultra imetengenezwa kwa material imara na ngumu kuliko Pixel 9 Pro XL
Bado ina better camera overall, video quality kubwa kuliko Pixel 9 Pro XL na utofauti unazidi kuwa mkubwa ukianza ku zoom in.
Samsung inakuja na S Pen, processor yenye nguvu kushinda Tensor G4 kwenye Pixel, bado inatunza chaji kuliko Pixel*Pro XL na inakaa chaji haraka kuliko Pixel 9 Pro XL
Karibia kila kitu Samsung inazidi Google Pixel, mko hapa kujifariji tu
 
We mseng* S pen na SamsungDex tu hizi feature 2 zinatosha kumpiga K.O huyo pixel wako.

Pixel ni simu ya wanawake na vijana mabarobaro wanaozijaza simu zao miapp kama snapchat. Ila Samsung ni zaidi ya office
Mkuu, kulikuwa na umuhimu wa kumtukana?
 
Wewe ni fundi simu na huwezi kutumia hata common sense? Samsung ni more common kwenye green lines kwa sababu simu zao zinauza sana kuliko hizo Pixel zenu
Tatizo la green lines kwenye Pixel lipo isipokuwa ni vile kuna handset chache za Pixel so husikii sana cases zake
Akikua ataacha.
 
Samsung Galaxy S25 Ultra imetengenezwa kwa material imara na ngumu kuliko Pixel 9 Pro XL
Bado ina better camera overall, video quality kubwa kuliko Pixel 9 Pro XL na utofauti unazidi kuwa mkubwa ukianza ku zoom in.
Samsung inakuja na S Pen, processor yenye nguvu kushinda Tensor G4 kwenye Pixel, bado inatunza chaji kuliko Pixel*Pro XL na inakaa chaji haraka kuliko Pixel 9 Pro XL
Karibia kila kitu Samsung inazidi Google Pixel, mko hapa kujifariji tu
S25 hiyo ni furaha ya mda mfupi, note zilikuja kwa moto lakin wapi
 
Back
Top Bottom