Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Kuna haya makapi ,yanaongeza market share kwa ajili ya waafrika
View attachment 3413519
Screenshot_2025-07-21-23-09-25-241_com.android.chrome.png

Unaropoka tu bila hoja, Samsung zinauza sana sio A series wala S series zote zinauza. Tuchukue tu mfano Samsung Galaxy S25 Ultra mwaka huu imeuza kuliko Pixel yoyote duniani licha ya kuwa expensive
 
Kama huna D 4 kuwaelewa pixel ni ngumu sana, ila jamaa wako poa sana.
Samsung kama Infinix tu Kila siku wanatoa simu na baada ya mwezi simu inapiga mstari
 
View attachment 3413530
Unaropoka tu bila hoja, Samsung zinauza sana sio A series wala S series zote zinauza. Tuchukue tu mfano Samsung Galaxy S25 Ultra mwaka huu imeuza kuliko Pixel yoyote duniani licha ya kuwa expensive
Naona bado winga unapiga kelele Nokia simu moja iliuza units nyingi ila kiko wapi ..Simu zenu ni makapi ,hamna hoja ... Mpaka mnakosa usingizi kweli dawa imewaingia...Makapi mengi yanauzwa Africa na happ Samsung ndiye kinara😂😂ila Google pixel ni aina moja ,inayoshikwa na mzungu inakuja huku kama mtumba ila Samsung kuna makapi kwa ajili y watu weusi.
 
Kama huna D 4 kuwaelewa pixel ni ngumu sana, ila jamaa wako poa sana.
Samsung kama Infinix tu Kila siku wanatoa simu na baada ya mwezi simu inapiga mstari
😂😂😂😂😂
 
Unajua hiyo Pixel yako ikianza kuleta bootloop na hukuunlock OEM ndio ntolee hiyo? Hutaweza kuinstall firmware nyingine bila kuunlock bootloader kwa kuwa inaflash kwa fastboot?

Simu yako mwenyewe, hujaiba, hujafanya nini lakini unapigwa pini usifanye software repair.
 
Binafsi naona Samsung inapigwa chini na Pixel , pixel ni next level, ni vile watu wamekariri..

Google Pixel ni inatengenezwa na Google wenyewe watu haohao wanaotengeneza Android , hiiii ina maana kuwa wanaielewa Android kwa undani zaidi kuliko kampuni nyingine yoyote...
yaani wana control kila kipengele cha mfumo mzima, kuanzia Android yenyewe, hadi chip zao za Tensor, hadi vifaa vya simu kuendana na Android, hii inafanya Pixel kuwa mfano bora wa Android jinsi ilivyokusudiwa kuwa.... yaani hapo google ndio walionyesha dunia ni jinsi gani wanataka Android iwe..

Kama hujakariri simu, utagundua pixel ni bora zaidi kuliko Samsung na sababu naweza kusema...
 
Simu yangu imezingua touch (Poco F5)

Nikaamua kubadilisha options nikawa nazo 2 Pixel 9a au Samsung A56.

Baada ya kuresearch juu ya hizi deals mbili kwa kuzingatia battery life, software support jibu ni A56.

Kama ingekua Tz tuna pixel OG siyo refurb ningekomaa na 9A
 
Google pixel ni kama kitone kwenye Bahari, kwenye Mauzo ya simu wanawekwa kundi la others, ni simu niche kwa watu wanaopenda clean android na camera, bado sana kuwekwa kundi moja na Samsung.

Hapa Tanzania kwenyewe haziuzwi unasubiria tu refurb toka nje.
Na samsung imewekwa kwa ajili ya wanaopenda nini?
 
Naona bado winga unapiga kelele Nokia simu moja iliuza units nyingi ila kiko wapi ..Simu zenu ni makapi ,hamna hoja ... Mpaka mnakosa usingizi kweli dawa imewaingia...Makapi mengi yanauzwa Africa na happ Samsung ndiye kinara😂😂ila Google pixel ni aina moja ,inayoshikwa na mzungu inakuja huku kama mtumba ila Samsung kuna makapi kwa ajili y watu weusi.
Maneno matupu bila facts wala hoja ya msingi. Pathetic!
 
Google pixel ni kama kitone kwenye Bahari, kwenye Mauzo ya simu wanawekwa kundi la others, ni simu niche kwa watu wanaopenda clean android na camera, bado sana kuwekwa kundi moja na Samsung.

Hapa Tanzania kwenyewe haziuzwi unasubiria tu refurb toka nje.
yeah, mtoa mada ameandika kishabiki sana
 
Hakuna simu nzuri hadi sasa pamoja tech ime advance sana lakini simu zinauzwa bei kubwa kuliko ubora wake.
Hakuna value for money ukifanya technical assesment utajua hii.

Tena hao Samsung na iphone wameharibu kabisa siku hizi hawana jipya zaidi ya kuuza tu brands kubwa kilichobaki.
Ubora wa iphone ulikua vizuri kipindi cha Steve jobs. Sasa hivi ni takataka hata Samsung alikua anafanya vizuri kwenye ubora alipoanza tu kushindana na iphone amekua takataka nyingine hii.
 
Ukitumia pixel ukiwa unafanya shooting unaanza kufeel chombo kinapata moto mdogo mdogo dadeki.

Isipokua pixel kwenye software wako vizuri, yaani OS yao ni nyepesi haipo bloated. But nahisi kama unaweza kuipata ambayo siyo refurb utaenjoy zaidi
 
Wana Varieties ila wao wanatengeneza simu nyingi ambazo ni best all arounder,

Flagship ya Samsung ita tick box karibia zote compare na flagship Ya Google.
Umezungumza pixel imetengenezwa kwa wanaopenda clean software na camera, unaweza ku list baadhi ya vitu ambavyo Samsung yupo vizuri? au features za kipekee kumfanya mtu achague Samsung aiache Pixel?
 
Binafsi naona Samsung inapigwa chini na Pixel , pixel ni next level, ni vile watu wamekariri..

Google Pixel ni inatengenezwa na Google wenyewe watu haohao wanaotengeneza Android , hiiii ina maana kuwa wanaielewa Android kwa undani zaidi kuliko kampuni nyingine yoyote...
yaani wana control kila kipengele cha mfumo mzima, kuanzia Android yenyewe, hadi chip zao za Tensor, hadi vifaa vya simu kuendana na Android, hii inafanya Pixel kuwa mfano bora wa Android jinsi ilivyokusudiwa kuwa.... yaani hapo google ndio walionyesha dunia ni jinsi gani wanataka Android iwe..

Kama hujakariri simu, utagundua pixel ni bora zaidi kuliko Samsung na sababu naweza kusema...
Tensor zimetengenezwa na samsung tena wanatumia tech za zamani ambazo Samsung alishaacha kuzitumia muda mrefu. Tensor zinapitwa hadi na Kirin za Huawei. Even processor za midrange ambazo zinatumika kwenye simu za bei rahisi zinapita Tensor zinazotumika simu za mamilioni
Screenshot_20250721_234037_Samsung Internet.jpg

Hii ni curve ikionesha perfomance in relative tu power consumption, unaona Tensor G4 inapitwa hadi na snapdragon 7+ gen 3 ambayo ni processor ya midrange.

Google sifa yake kuu anapenda ku cut corner na kutumia vitu vya bei rahisi, hardware zao nyingi ni dhaifu compare na competition, hizo ni Niche phones kwa wapenda camera na stock Android, ila kama unataka simu imayokaa na chaji, simu ambayo haipati joto, simu nzuri ucheze games etc hununui pixel kwa kazi hizo.
 
Huawei p30 pro simu ikiwa imepata moto haipokei chaji hadi joto lishuke ndipo inaanza kuichaji. So ukitumia sana hadi moto ukiwa chini sana ukiweka chaji utumie huku unachaji na battery 🔋 ipo too low,simu haitaruhusu chaji kuingia hadi izimike ndio itaanza kuchaji
 
Umezungumza pixel imetengenezwa kwa wanaopenda clean software na camera, unaweza ku list baadhi ya vitu ambavyo Samsung yupo vizuri? au features za kipekee kumfanya mtu achague Samsung aiache Pixel?
1. Desktop mode aka Samsung dex, best on market kama unatumia simu kwenye tv ama Big monitor, inasaidia pia simu ikivunjika kioo,

2. Flagship za Samsung zinakaa na chaji zaidi.

3. Perfomance ni kubwa 8 elite, 8 gen 3, E2400 etc zote zina nguvu mno compare na Tensor G4,

4. Support na warranty ya uhakika, Hasa huku kwetu Africa.

5. Software yenye features nyingi zaidi,

6. Artifical intelligence kwenye Samsung ipo vizuri zaidi hasa kwa vitu unavyofanya offline, kwa Pixel AI ni online na kama kunafanyika Offlline simu hupata joto sana 3tc
 
Pixel labda ununue mpya za kariakoo zinazima zenyewe
Mkuu lakini si kaelezea kwanini zina jizima zenyewe, kasema zikapata joto la nje mfano jua kali zinakupa taarifa mara 3 usipo Zima inquiries yenyewe na kujiwasha baada ya kupoa.
 
Back
Top Bottom