Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Nitarudi
 
Kuna boya anatafutwa hapa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali utosini. Na atapatikana tu believe me.
 
Wewe ni fundi simu na huwezi kutumia hata common sense? Samsung ni more common kwenye green lines kwa sababu simu zao zinauza sana kuliko hizo Pixel zenu
Tatizo la green lines kwenye Pixel lipo isipokuwa ni vile kuna handset chache za Pixel so husikii sana cases zake
 
Dogo ban iliisha?
 
Third party wa google pixel ni nani?
Wapo wengi kwa vile hawa access ya dunia nzima ,hawana soko Africa kabisa ...Zinakuwa huku kupitia vendor wadogo , zikiwa zimetumika so hakuna directly sales na wanatoa limited number of phone ... Samsung wanategeneza makapi yale ya A series kwa ajili ya watu weusiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚masimu ya kijinga na hayo yanawapata market share kubwa....
 
Nimekupa globally
...Tuweka mimi na wewe shilingi ngapi ,tufuatilia ...Wadau wote wawe mashahidi hapa ... Sibishani mtu anayeangalia GSMArena ambao wanahongwa ili kutoa review.


Hata ukitaka nikuambie Tv gani mbovu kwenye hiyo mistari nitakuambia , Samsung market shares yake ni baada ya kutengeneza makapi ya simu na kuuza Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚pale Kariakoo yamejaaa na kila siku yanatoka ...Hata kuna mdada juzi tu hapa nimeona simu yake ina mistari ni hizi A Series tena ni mpya ..Kioo kwa ubavuni kina rangi ya kijani kama damu ya shetani

 
Acha kurukaruka tutajie third party wa google pixel ​
 
Acha kurukaruka tutajie third party wa google pixel ​
Sibishani wa wajinga ,zinauzwa Amazoni na online market nyingine kwa vile ni refurbished ..Kuwa na akili sio kama fala ..

Nimshakuambia hapa hazina market share ya Africa na nchi kubw dunia ,zinauzwa kupitia third party πŸ˜‚πŸ˜‚...Au nikueleweshe maana ya third party imeingiaje hapo?
 
Google pixel zinauzwa kupitia third party ,hazina brand moja ...Inaweza kwenye share za brand fulani zikauzwa na zao ...Tambua hilo .
1. Sio kweli kwamba Google Pixel hazina brand moja. Haijalishi ni nani ataziuza hizo Pixel, brand ni ileile moja "Google Pixel". Ni kama tu Tigo Shop wanavyouza Samsung, bila kujali nani kauza zinabaki kuwa ni Samsung

2. Si kweli kwamba market share ya Google Pixel ni ndogo kwa sababu zinauzwa kupitia third party vendors. In fact kuuza simu kupitia third party vendors kunaongeza mauzo na inarahisisha simu kuwafikia watu wengi ndani ya muda mfupi kirahisi, na mauzo yote yanahesabika kuwa mauzo ya Google.
Acha kudanganya watu
 
Kama ulikuwa kichwani kwangu
Muulize ana mpya?
 
Kijana gani huyo anayetumia google pixel Yan simu unatumia miez 3 ina shake shake kama imepata orgams 🀣🀣
Mengi ni used yamechoka na maisha huko nje halafu yanauzwa bei mbaya
Ni kama. Unabeti vile
 
Katika simu mbovu kuwahi kutokea ni pixel hasa upande wa betr mbovu sana pixel wanaotumia sana ni wanazi wa picha ambapo samsung pia upande huo ni yupo mbali sana na gharama watu wanashindwa kumudu wa hari ya kawaida

Issue of quality samsung is better compared to huyu mpuuz pixel, usalama ndo kitu ya kwamza kuzingatia
 
Nielewe kwanza ukiwa unaelewa ,Google pixel ukiambiwa haina record ya kuuza simu Africa utabisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜”Simu ikiuzwa kupitia third party haina utambulisho wa moja kwa moja ...Simu zinapata utambulisho kutokana na band zake za mitandao ili kuweza kusapaot nchi zinazokwenda sio zote .. Africa , Google pixel zinakuwa refurbished na kuflashiwa ila zinauzwa kinyemela kupitia third party.

Ukinunua Iphone ya USA ,kutoka kwa mtu wa US ukaiflash ukatumia bongo ,haina market share ya bongo ... Market haihesabiki kwa third party ila ni ile sales ya moja kwa ya Kampuni kwenda soko husika ,kama ni ulaya au Africa.


Elewa neno third party ,pitia usome kwanza.πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Elewa kwanza ,unatakiwa usome usikariri

.Mimi naweza kusimama na mtu yoyote nikamchapa na facts ...Naona neno third party hujaelewaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...Market share wanahesabu moja kwa moja hata kama watatumia store zao ...Iphone wana store zao bongo ila nipe ya Google pixel iko wapi?

Samsung wanategeneza makapi kabisa ,haya ya series za A ambazo ni mahsusi kwa Africa ,hii ni market share na wanauza moja kwa moja ,hamna third party hapo .
Google pixel haziuzwi dunia nzima so hazina market share huko ,ziko baadhi ya nchi na huko ndio market share yake inahesabika..Kwa kifupi hata units wanazozalisha ni ndogo ,zinazungushwa tu kwa kubadilishwa matumizi.


Google hawana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mpaka zichukuliwe zilizotumika ,waziflash kinyemelea ndio ziletwe bongo ...Hiyo ni third party ,hakuna uhusiano wa moja kwa moja kutoka kwa muuzaji na mnunuzi ila kuna mkono kati waliowezesha kukufikia wewe mtu wa bongo ,hao hao ndio ''third party ':
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…