Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kwa bahati mbaya sana, Ma Rais wote Hayati, na Sasa Rais Samia, Kwa pamoja na Kila Mmoja Kwa wakati wake anaonekana ni mwenye kulifurahiaaa.
Kama ni Rais, una najiona Kwa kazi zangu nilizofanya ni za kutukuka, ningeacha Mchakato ufanyike.
Mwenyekiti alitakiwa kua Mfano, alitakiwa kukemea ,alitakiwa kuhakikisha hawapi sababu watu wengine Kwa nyakati nyingine kusema "Mbona 2025 ilikua vile"?.
Ukweli ni kwamba, Hata hao wajumbe, ikitokea dakika hii ,Ikatangazwa vingine , bado haohao wajumbe, watashangiliaa, watapiiga makofi na jina lilopendekezwa litasahaulika.. hao ndio wajumbe !!.
Mwaka 2025, Upinzani utajinyakulia viti vya kutosha Bungeni kama ilivyokuwa 2015, Endapo tu Samia atalazimisha Kusimama !!!
NB:Kwakua Uongozi ni watu, DOLA isitumie nguvu Uchaguzi ujao kuepusha mambo yasohitajika Kwa sababu Kumpigania asokubalika Huwa ni Ngumu na hii ndio inafanya Siasa iwe mbaya ilojaa utekaji, Mauaji .