Kosa kama lile la Wajumbe ( Chawa) kumtaka JPM aongoze milele, tena linajirudia kwa Rais Samia japo wanajua ni Kinyume cha Katiba yao

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Kwa bahati mbaya sana, Ma Rais wote Hayati, na Sasa Rais Samia, Kwa pamoja na Kila Mmoja Kwa wakati wake anaonekana ni mwenye kulifurahiaaa.

Kama ni Rais, una najiona Kwa kazi zangu nilizofanya ni za kutukuka, ningeacha Mchakato ufanyike.

Mwenyekiti alitakiwa kua Mfano, alitakiwa kukemea ,alitakiwa kuhakikisha hawapi sababu watu wengine Kwa nyakati nyingine kusema "Mbona 2025 ilikua vile"?.

Ukweli ni kwamba, Hata hao wajumbe, ikitokea dakika hii ,Ikatangazwa vingine , bado haohao wajumbe, watashangiliaa, watapiiga makofi na jina lilopendekezwa litasahaulika.. hao ndio wajumbe !!.

Mwaka 2025, Upinzani utajinyakulia viti vya kutosha Bungeni kama ilivyokuwa 2015, Endapo tu Samia atalazimisha Kusimama !!!

NB:Kwakua Uongozi ni watu, DOLA isitumie nguvu Uchaguzi ujao kuepusha mambo yasohitajika Kwa sababu Kumpigania asokubalika Huwa ni Ngumu na hii ndio inafanya Siasa iwe mbaya ilojaa utekaji, Mauaji .
 
Wafuasi wengi wa ccm ni waoga kwa sababu ya matumizi ya dola kwenye mambo ya chama
 
Kamchezo alikaandaa mapema ionekane ameombwa kama kawaida ya wanasiasa wa kiafrika hata best yake aliombwa na watu na anatolewa jasho la kwenye meno CDM .
 
Kama ume angalia wakati JK ana ongea chura kiziwi akua comfortable kabisa alikua ana jiuliza anaongea nini uyu mzee.
 
hakika , na Mzee kikwete alikua anajitahidi sana kufumbua vichwa vya wajumbe, ila kwakua wajumbe wanaweza matumbo ,hawakauelewa kitu
 
Kama ume angalia wakati JK ana ongea chura kiziwi akua comfortable kabisa alikua ana jiuliza anaongea nini uyu mzee.
Mkuu ile spichi ya JMK ilikuwa imepangwa! Haikuwa surprise bali walizungumza kabla jinsi ya ku highjack katiba na utaratibu wa chama.
Angalia jinsi JK alivyompiga kijembe JPM - eti CCM imerudi!
 
nimetoka kwenye mkutano nikiwa na langu kichwani kama kichwa cha familia tayari nimewambia wanafamilia kama kwenye huu msafara wa mamba kuna kenge basi 2025 ajidai mamba kwa usalama wake.., niko bega kwa bega na mama kuwakabili hawa wanaojita wapinzani kwa chama dola
 
Back
Top Bottom