Kosa kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kupambana na adui bandia na kuacha maadui halisi. Wenye ndoto za kuwa Rais mjifunze

Aliwastahi,

Katika kitabu cha 48 Laws of power, Sheria namba 15 inaitwa CRUSH YOUR ENEMY COMPLETELY, ukishamjua adui yako usimpe nafasi wala room ya majadiliano, wala usimuonee aibu!!
Robert Green huyoooo....huyu mwamba ana kitabu kingine kinaitwa Mastery. Kizuri sana
 
cc Chama cha Mambuzi.
 
Kuna vizee viwili chamani yaani vinaonekana wazi kuwa vilikuwa frontline
 
UMESEMA KWELI WALIOMPA URAIS ndio hao waliogeuka Maadui ila Wakiwa ndani ya Mahandaki
 
Ni kweli....wale wapinzani aliowanyima na kuwakandamiza tena kwa maslahi ya Ccm hawakuwa maadui zake kama alivyodhani.
JokaKuu Tindo zitto junior
 
Magufuli alikuwa mtu wa ovyo kupita maelezo. Waliomjua kwa karibu walimdharau mnoo huku wakimsifia.
 
Robert Green huyoooo....huyu mwamba ana kitabu kingine kinaitwa Mastery. Kizuri sana
Hicho ndio favorite kwangu, kuna 33 strategies of war pia sheria namba 31 inaitwa DESTROY FROM WITHIN (INNER FRONT STRATERGY)
adui zake walifanikiwa kuinfiltrate inner circle yake.
 
USA baada ya kulipuliwa september 11.. aligundua osama bin laden wa al qaeda ndie muhusika na adui yake mkuu.. na akagundua ana sapoti ya waislam dunia nzima ambao wako wengi zaidi ya bilioni
Sio kweli kwamba Waislam dunia nzima walikuwa wanamsapoti Khaariji Usama Bin Ladin.
Naua viongozi wote wenye nguvu ambao magaidi wa kiislamu wanawategemea ili wajue sina utani. Hapo ndipo saddam hussein akauwawa, ghadaffi akauwawa, mullah omar akauwawa, zawahir akauwawa.. then ndipo osama akauwawa.
Sadam Hussain hakuwa tegemeo la magaidi wala Mu'ammar al Qadhafi. Au ulimaanisha magaidi gani wa "Kiislam"? Sio Gaddafi wala Saddam aliyekuwa akiungwa mkono na kina al Qaeda. Na wala wao hawakuwaunga mkono hao. Na cha ajabu ni kwamba hivi vikundi havikuwa na nguvu katika nchi zao mpaka baada ya wao kupinduliwa. Al Qaeda in Iraq (AQI) ya akina Abu Mus'ab al Zarqawi ilipata nguvu baada ya uvamizi wa Marekani na wenzie huko Iraq mwaka 2003.

Huko Libya akina Gaddafi baada ya kuuawa nako kukageuka chaka la vikundi vya kigaidi.

Na nakukumbusha tu kuwa Osama alitangazwa kuuawa Mwezi Mei mwaka 2011 huku Ayman al Zawahiri akitangazwa kauawa mwezi Agosti mwaka huu 2022 (inasemwa aliuawa Julai 31, 2022) hivyo al Zawahiri ilitangazwa ameuawa mwaka huu, miaka 11 baada Osama.

Mullah Omar alitangazwa kuwa kafariki mwaka 2015 (ndio tangazo lilipotolewa). Kuna utata juu ya mwaka na sehemu aliyofia.

Hii ikawatisha magaidi wa kiislam kumficha osama dunia nzima.. maana wababe wao waliowategemea wameuwawa sasa sisi wanyonge tutaweza kweli. Wote wakamuogopa mmarekani kabisa
Narudia tena al Qaeda na wenzao hawajawahi kuwategemea akina Saddam wala Gaddafi kama wababe wao. Itakuwa hufahamu vizuri fikra za haya makundi ya hawa ma khawaarij na misimamo yao wala fikra za akina Saddam na Gaddafi.

Ni hayo tu.
 
Kazi ya Rais sio kupambana...kazi ya Rais ni kuongoza....wengine wanaenda Kwa vitendo ..wengine wanatakiwa kuendeshwa ki Taasisi ..sio Kwa kumuogopa mtu mmoja
Uliwahi kuwa rais wa ufipa au wachafu

USSR
 
Duh…!. Ina maana walimnaniliu!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…