The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Aki ya Mungu sijui nani alimshauri aisee.. huwezi kuuua watu ambao hawana risasi alafu mbaya unawafuata mpaka mtaani na Majumbani .
Ni bora tuu ungetoa Amri ya kupiga za miguu tuu na sio kuua damu ya mtu ni mbaya
Aki ya Mungu naionea Tanzania yangu huruma we shall never be the same aise hili ni doa kubwa sana.
Nafikiria sana sina Majibu aisee Greate Economic Depression inakuja .uuuwiiiiii
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa .