PostGE2025 Kosa kubwa alilofanya ni kutoa amri ya “shoot to kill” daah!.

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Aki ya Mungu sijui nani alimshauri aisee.. huwezi kuuua watu ambao hawana risasi alafu mbaya unawafuata mpaka mtaani na Majumbani .

Ni bora tuu ungetoa Amri ya kupiga za miguu tuu na sio kuua damu ya mtu ni mbaya

Aki ya Mungu naionea Tanzania yangu huruma we shall never be the same aise hili ni doa kubwa sana.

Nafikiria sana sina Majibu aisee Greate Economic Depression inakuja .uuuwiiiiii

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa .
 
Walikuwa wanateka na kuua mchana kweupe bila uwoga wala consequences zozote, tukihoji ilikuwa hakuna anayejibu au majibu ya dharau kama kifo ni kifo, chawa nao wakatuita watanzani ni wasaulifu huku wakicheka
 
Kahaba na Rostam Aziz ni washenzi haswa
 

Attachments

  • SnapInsta.to_AQNrmDAzdcvqdMs7jVnC5T867wkMihy4L4zJLYpNbICjWYRfzzbw7jcElnxB9dtQ_ciHHCDiEkOsiWFyk...mp4
    8.9 MB
Haya yote yatakuwa hayana maana kama mmekubali ku retreat na ku surrender.

Popote walipofanikiwa kuuondoa tawala za kidhalimu ni kwa maandamano yenye fujo bila kukoma.

Hapa naona watu wameanza kumuita rais, wakati hatujafanya uchaguzi.

Tukaongee lugha yao D9 kwa sauti kubwa.

Lugha yao wanayoielewa na kuisikua ni kuteka, kutesa, kupoteza na kuua.

Tusikubali unyonge, familua zao tinazifahamu, wao wakiwa barabarani wakutuwinda kwa risasi, na sisi tukachome majumba yao na mali zao.

Wasiposikia maumivu tunayosikia hawataacha.

Hivyo tujiandae kupambana na mara hii iwe bila kukoma, hakuna kupanga tarehe nyingine.

Kila siku mahala popote wewe uwe ni mpambanaji.

Kama mwendokasi ndio maumivu yao, basi tuyachone yote, na kama biashara na maduka ndiyo maumivu yao, badi tuyachome yote.

Kila la kheri tukutane D9 popote ulipo.
 
Uoga tuliuzika MO29
Haya bibie, Ila sio poa kabisa kuona mali safi kabisa ya kihaya ina najisiwa na wahuni.
Wale siyo binadamu aisee.
Wale mende, wanapenda choo mamaeh zhao😄
 
Yaani niliwazq nikakosa majibu
Unabakwq kila eneo au unaoigwq risasi
Mpk ss sielewi kuna mhanga 1 alikuwa zake home tar 30 , anasema wanaume wakaja wakagonga mlango walikuwa 4
Wakambaka kila mahali akawa ht hawezi kutembea....machozi yamenitoka

Anasema siku ya 3 alikuwa anatoa usaha hawezi kaa wala kutembea
🥲🥲duh yaani sielewi natafakari mpk naona kichwa kinaniuma
 
Uvccm hao
 
Kila ukiwaza alietoa maagizo ya kuua Watanzania hauwezi kupata jibu.
 
Daaaah hii ni mbaya sana
 
Imagine unatoa amri askari wawaue watu wako wenyewe ilhali Mungu alikupa kibali cha kuwaongoza.Umekataa kutii kiapo ulichokisema kwa Mungu wako na sasa unawaua watu wako kwa mkono wako mwenyewe.Ni vyema ukatubu mapema kabla hasira ya bwana haijaja juu yako omba msamaha na Rehema kwa Mwenyezi Mungu maana damu za hawa watu zinamlilia Mwenyezi Mungu kwa ajili yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…