kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
duuhh.. pole mzazi, mi mwenyewe nilishindwa kujizuia ndio nikajikuta naanza kuamini hiviDah,, shemeji ako kantibua sana leo... Ila kwa Hili imebidi nicheke Teh Teh Teh..
[HASHTAG]#borakukaakimyakulikokusemaukweli[/HASHTAG]
Wanalalamika mpaka wanapoteza uwezo mdogo tu wa kufikiri sawa sawa.Kuna utaratibu mkuu.
Watoto wa smartphone ndio kama huyo, hawaelewi mambo ya msingi lakini ukimwambia amuelezee cristiano ronaldo atakutajia mpaka asili ya marehemu babu yake.Mgaya sio msukuma unajidhalilisha sana
Mkuu kuna suala la impact ya ujumbe unaotangazwa na huyo mfanya utafiti.Mimi nadhan wewe ndio mjinga. Umerely kwenye mere words za mtoa ufafanuzi (Tuntemeke) Utadhan yeye ndio spokesman wa wizara. Usiwe mvivu, information za kazi ya NiMR zipo wazi, majukumu yake yapo wazi. Kukisaidia bofya hapa (NIMR Tanzania).
Hakuna popote palipoandikwa kuwa utafiti unapaswa upelekwe kwanza wizarani ndio uwe published. Wote nadhan mnajichanganya, mnachanganya kutoa taarifa ya utafiti juu ya Uwepo wa Zika na Taarifa ya Uwepo wa Zika. Alicho kifanya Dr. Mwele ni kutumia Lugha ambayo kila mtanzania ataielewa juu ya utafiti uliofanywa juu ya uwepo wa zika. Kimsingi kafafanua nini kipo ndan ya huo utafiti huo ambao yeye hakushiriki kuufanya in person.
Yeye km mkurugenz wa shirika hilo anayohaki yote kutangaza matokeo ya tafiti mbali mbali zinazohusiana na afya. Ni moja ya function za nimr.
Utaratibu wa kupublish research findings upo wazi co tu Tanzania Bali duniani. Kutaka watu wapitishe matokeo ya utafiti serikalin kabla ya kiyatangaza nadhan ni kutafuta kuziba midomo watafiti. Watafiti wanapaswa kufanya kazi independently. Kuwaingilia.ni kuparalyze brains za wataalam. Ni kuua fikra za taifa.
Hillary Rodham ClintonWomen!
Ndani ya miezi kumi na mbili talaka zimekuwa nyingi kweli......Zama zile tulizoea kuambiwa "KOSA MOJA HALIMUACHI MKE". Si zama hizi!
Alichukua fomu ya urais mwaka jana. Sipati picha wakati huu wa sikukuu za kumaliza mwaka, wakati wakila chakula cha mchana hayo maongezi yanakuwa katika hali ya namna gani.Ni mama yake mdogo
hoja si Lumumba mi si nyie washabiki wa watu ,mi ni shabiki wa hoja na si virojaLumumba naona leo umeamua kuweka ushabiki pembeni na kuamua kuongea point