Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
Ukweli ni kwamba ,Mkataba ni mzuri japo unayo mapungufu yake mengi tu hii haipingiki.
Nimegundua shida zote hizi zinatokana na Ujanja unjanja wa serikali lakini sio mkataba wenyewe. Mkataba upo very technical hivyo sio rahisi kila mwanasheria au mwananchi kuuelewa kwa urahisi, Inahitaji umakini mkubwa wakati unasoma kila aina ya vifungu vya sheria
Najua mtakubaliana na mm kwamba huu sio IGA ya kwanza kufanywa na Serikali ,ila sasa shida ni kwamba wanafanya mambo kienyeji na sasa wameumbuka, mana kila Mkataba kumbe ulihitaji RETIFICATION ya Bunge na wao sio mara zote wamekuwa wanafanya hivo na This round imeshindikana. Naamini wamejifunza kitu.
Twende mbele turudi nyuma ,Waswahili wanasema ""Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni"" , Nikweli serikali yetu imechemka , Lakini wengi wanashindwa kujua hasa kosa liko wapi
Kwenye Huo mkataba Article 25 (2) of IGA, Imesema """ili mkataba huo uingie kwenye Enforcement na Implementations ni lazima State parties wafanye RATIFICATION , kwa mujibu wa sheria zao , either na Bunge au mahakama. Hichi kitu HAKIKU FANYIKA.
Zipi zilikuwa Faida za RATIFICATION.
1. Kupata baraka za Bunge
2. Kupata maoni ya wananchi.
- Hii ndio point yangu ya Msingi, Bungeni ni sehemu ya wawakilishi wa wananchi, Endapo wabunge wakipitisha jambo kwa kulingana na Maoni ya wananchi haya yote yasinge tokea.
¶∆Ratification iliyofanyika ni ya kienyeji sana ,
b. wasomi mbalimbali.
c. Taasisi muhimu za maswala ya Uwekezaji na Bandari kama vile Vyuo Vikuu
Hivyo Kutokana na Sababu hapo juu, Hakukua na Haja ya kuwa na kesi ya kubatilisha mkataba mana kama ukirebishwa hauna shida. Hivyo Jambo lilikuwa moja tu , Kuiomba mahakama STOP ORDER ( Injunction ) Ili huu mkataba usiendelee kufanya kazi kwa sababu ya "DELAY in Ratification yake"
Simple way baada ya Injunction ,Mahakama i toe amri ya Kuzuia all performance ya Mkataba .
Urudi Bungeni, Wabunge wapewe muda wakutosha wa kuchangia kuhusu mkataba na kukusanya maoni kutoka kwa wananchi wao.
Kamati za Bunge zifungue dirisha ,za kukusanya maoni kutoka kwa wadau muhimu kama Wanasheria , TLS , Wasomi na watu wengine( Hapa ndio Hoja za Kina Wakili Mwabukusi zingeingia) Baada ya Hapo maoni yote yawasilishwe bungeni, Bunge liamue je Mkataba unamanufaa na nisahihi kwa wananchi wao Au Laa , Kama wakiona Haufai basi utakuwa Hauna Ratification ,Hivyo hauwezi kufanyika kwasababu umeenda kinyume na Makubaliano yao Wenyewe kwamba , Ili mkataba uwe kwenye Enforce na Implementation ni Lazima uwe Ratified na Bunge au Mahakama
Kuishinda serikali ni ngumu na wakicheza hata mapendekezo yao yanaweza yasifanyiwe kazi.

- kwanza mkataba ulisainiwa tangu mwaka Jana na hawakuupeleka bungeni Within 30 days for Ratification kama Hiyo IGA inavoelekeza.
- Hapakuwa na Reasonable time kwa wabunge kuchangia ,kuuchambua na Kukusanya maoni kutoka kwa wananchi wao Tanzania nzima , pamoja na Wadau muhimu katika nyanja zinazoguswa na Mkataba huo ,kama vile