Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
😅😅😅Mimi huwa sielewi watu wenye ndimi mbili. Sentensi ya kwanza tu: “Mkataba ni mzuri ila una mapungufu mengi. Next time acha ukanjanja. Kama ni mzuri Sema ni mzuri na kama ni mbaya sema ni mbaya. Siyo mzuri mbaya.