Kosa kubwa la mkataba wa DP World na Tanzania ni hili hapa tu, na ndilo linaloweza kuuvunja mkataba

Mimi huwa sielewi watu wenye ndimi mbili. Sentensi ya kwanza tu: “Mkataba ni mzuri ila una mapungufu mengi. Next time acha ukanjanja. Kama ni mzuri Sema ni mzuri na kama ni mbaya sema ni mbaya. Siyo mzuri mbaya.
😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…