Uko sahihi, umasikini ni jambo pana hadi linalogusa tamaduni, intelligence ya jamii, historia n.k lakini pia uongozi una mchango mkubwa sana. Kiongozi akiwa akili kubwa/smart hata kama sehemu kubwa ya jamii yake ni wajinga wajinga anaweza kuinyoosha na kuleta maendeleo.Moja ya kosa kubwa linalo fanya na jamii kubwa ya waafrika ni kujitenga wao na viongozi na uongozi wa eneo husika.
Kosa kubwa ni kudhani kuwa Afrika tuna viongozi wabaya na sisi wengine tulio nje ya uongozi ndio watu bora sana kuliko viongozi na uongozi uliopo madarakani.
Viongozi au uongozi ni tafsiri ya jamii nzima ukiona unaongizwa na watu wajinga wajinga jua fika jamii nzima imejaa wananchi wehu kwa sababu uongozi nje ya jamii husika.
Tabia na tamaduni za hovyo walizo nazo viongozi au uongozi wetu ndio hizo hizo tulizo nazo mimi na wewe.
Hata leo hii CCM ikiondoshwa madarakani na wakaingia iwe Chadema ama ACT ama CUF n.k msitegemee kwamba yale mambo ya hovyo yaliyokuwa kwa CCM basi katika hivyo vyama vipya watakuja na mambo mapya kabisa sahauni kuhusu hilo.
Sisi ni waafrika tunajua fika kabisa tabia walizonazo wanaccm ndizo hizo hizo unaweza kuzikuta Chadema,ACT,CUF n.k wenda kwa kiwango kile kile sawa sawa na CCM
Afrika kuendelea na kuondokana na huu umasikini sio leo wala kesho hata wakibadili vyama vya siasa kila siku kama nguo za ndani kama mzizi wa tatizo hautatatuliwa tusahau kuhusu mabadiliko ya kweli.
Matatizo ya Afrika ni zaidi ya uongozi na siasa maana yanaanzia kabisa toka utotoni kwetu katika malezi yetu yaani katika nyumba zetu.
Msidanganyike na wanasiasa wa kiafrika wanaosema kuwa nipeni kura nikiingia madarakani nitawabadilishia hiki na hiki na mtakuwa na maisha bora huu ni uongo mkubwa ili yeye na jamii iliyo mzunguka wapate ulaji.
Afrika na waafrika tupo hivi tulivyo kwa sababu hivi ndivyo tulivyo toka majumbani kwetu kuna mnyororo ambao tunapaswa kuuvunja kwanza ndipo tuweze kutoka hapa tulipo bila hivyo siasa zitaendelea kuwa uwanja wa ulaji.
Tumesoma vyuoni humo tunayaona, Unasoma Chuo hadi unamaliza hakuna Kiongozi hata mmoja aliye graduate, viongozi wezi, kuanzia Wabunge wa chuo hadi mawaziri na Raisi wezi kupita maelezo.Moja ya kosa kubwa linalo fanya na jamii kubwa ya waafrika ni kujitenga wao na viongozi na uongozi wa eneo husika.
Kosa kubwa ni kudhani kuwa Afrika tuna viongozi wabaya na sisi wengine tulio nje ya uongozi ndio watu bora sana kuliko viongozi na uongozi uliopo madarakani.
Viongozi au uongozi ni tafsiri ya jamii nzima ukiona unaongizwa na watu wajinga wajinga jua fika jamii nzima imejaa wananchi wehu kwa sababu uongozi nje ya jamii husika.
Tabia na tamaduni za hovyo walizo nazo viongozi au uongozi wetu ndio hizo hizo tulizo nazo mimi na wewe.
Hata leo hii CCM ikiondoshwa madarakani na wakaingia iwe Chadema ama ACT ama CUF n.k msitegemee kwamba yale mambo ya hovyo yaliyokuwa kwa CCM basi katika hivyo vyama vipya watakuja na mambo mapya kabisa sahauni kuhusu hilo.
Sisi ni waafrika tunajua fika kabisa tabia walizonazo wanaccm ndizo hizo hizo unaweza kuzikuta Chadema,ACT,CUF n.k wenda kwa kiwango kile kile sawa sawa na CCM
Afrika kuendelea na kuondokana na huu umasikini sio leo wala kesho hata wakibadili vyama vya siasa kila siku kama nguo za ndani kama mzizi wa tatizo hautatatuliwa tusahau kuhusu mabadiliko ya kweli.
Matatizo ya Afrika ni zaidi ya uongozi na siasa maana yanaanzia kabisa toka utotoni kwetu katika malezi yetu yaani katika nyumba zetu.
Msidanganyike na wanasiasa wa kiafrika wanaosema kuwa nipeni kura nikiingia madarakani nitawabadilishia hiki na hiki na mtakuwa na maisha bora huu ni uongo mkubwa ili yeye na jamii iliyo mzunguka wapate ulaji.
Afrika na waafrika tupo hivi tulivyo kwa sababu hivi ndivyo tulivyo toka majumbani kwetu kuna mnyororo ambao tunapaswa kuuvunja kwanza ndipo tuweze kutoka hapa tulipo bila hivyo siasa zitaendelea kuwa uwanja wa ulaji.
Na hizi dini zenu zinachangia kwa kiasi kikubwa sana pia kupumbaza watu. Nchi nyingi zilizoendelea hazikuendekeza dini sana kama sisi Waafrika nyakati hizi.Tumesoma vyuoni humo tunayaona, Unasoma Chuo hadi unamaliza hakuna Kiongozi hata mmoja aliye graduate, viongozi wezi, kuanzia Wabunge wa chuo hadi mawaziri na Raisi wezi kupita maelezo.
Hao hao ndio leo tunawaona wanashika uongozi mbalimbali kwenye nchi. Kifupi nchi hii majority ni wezi na mafisadi wadogo wadogo, tofauti ya viongozi na wananchi ni huko kuchaguliwa tu ila tabia zinafanana.
Unless kutokee significant changes Africa role model wetu ni India soon na sisi itakua too late.
Sio rahisi kabisa kubadili.Uko sahihi, umasikini ni jambo pana hadi linalogusa tamaduni, intelligence ya jamii, historia n.k lakini pia uongozi una mchango mkubwa sana. Kiongozi akiwa akili kubwa/smart hata kama sehemu kubwa ya jamii yake ni wajinga wajinga anaweza kuinyoosha na kuleta maendeleo.
Katika kila jamii au kundi la watu huwa kuna "outliers" wa kila jambo.Sio rahisi kabisa kubadili.
Unabadili vipi kama kundi kubwa limejaa uajabu ulio na mizizi mirefu toka huko utotoni na katika maelezi na wewe kama kiongozi utakuwa na huo utofauti gani ambao haujaathiriwa kama wenzako ? Jambo gumu
Mfano sasa Makanisa ya Kiroho ya ajabu ajabu yana zagaa sana sasa tena kwa kasi yes ni uhuru wa kiimani lakini yanayotendeka kwa namna fulani hayana afya kwa kesho ya Afrika sisi waafrika katika kupambanua mambo kwa mabana tupo nyuma kwa sababu mbalimbali ukichanganya na haya mambo ya kiimani ya sasa kwa asilimia fulani yanaweka kundi fulani nyumaNa hizi dini zenu zinachangia kwa kiasi kikubwa sana pia kupumbaza watu. Nchi nyingi zilizoendelea hazikuendekeza dini sana kama sisi Waafrika nyakati hizi.
Sipingani nawe katika hili maana hata katika familia zetu tunafagilia wizi tunasema kabisa nikipata nafasi nitapiga pesa na tunapongezana kweliTumesoma vyuoni humo tunayaona, Unasoma Chuo hadi unamaliza hakuna Kiongozi hata mmoja aliye graduate, viongozi wezi, kuanzia Wabunge wa chuo hadi mawaziri na Raisi wezi kupita maelezo.
Hao hao ndio leo tunawaona wanashika uongozi mbalimbali kwenye nchi. Kifupi nchi hii majority ni wezi na mafisadi wadogo wadogo, tofauti ya viongozi na wananchi ni huko kuchaguliwa tu ila tabia zinafanana.
Unless kutokee significant changes Africa role model wetu ni India soon na sisi itakua too late.
Dini as a Makanisa kama Uyoga ama Masheikh mixer waganga sawa, ila Dini kama Taasisi zina Mchango mkubwa sana.Na hizi dini zenu zinachangia kwa kiasi kikubwa sana pia kupumbaza watu. Nchi nyingi zilizoendelea hazikuendekeza dini sana kama sisi Waafrika nyakati hizi.
Kwa hiyo tuwaachie hawa wa sasa Kwa sababu na Sisi tuko kama weweMoja ya kosa kubwa linalo fanya na jamii kubwa ya waafrika ni kujitenga wao na viongozi na uongozi wa eneo husika.
Kosa kubwa ni kudhani kuwa Afrika tuna viongozi wabaya na sisi wengine tulio nje ya uongozi ndio watu bora sana kuliko viongozi na uongozi uliopo madarakani.
Viongozi au uongozi ni tafsiri ya jamii nzima ukiona unaongizwa na watu wajinga wajinga jua fika jamii nzima imejaa wananchi wehu kwa sababu uongozi hautoki nje ya jamii husika.
Tabia na tamaduni za hovyo walizo nazo viongozi au uongozi wetu ndio hizo hizo tulizo nazo mimi na wewe.
Hata leo hii CCM ikiondoshwa madarakani na wakaingia iwe Chadema ama ACT ama CUF n.k msitegemee kwamba yale mambo ya hovyo yaliyokuwa kwa CCM basi katika hivyo vyama vipya watakuja na mambo mapya kabisa sahauni kuhusu hilo.
Sisi ni waafrika tunajua fika kabisa tabia walizonazo wanaccm ndizo hizo hizo unaweza kuzikuta Chadema,ACT,CUF n.k wenda kwa kiwango kile kile sawa sawa na CCM
Afrika kuendelea na kuondokana na huu umasikini sio leo wala kesho hata wakibadili vyama vya siasa kila siku kama nguo za ndani kama mzizi wa tatizo hautatatuliwa tusahau kuhusu mabadiliko ya kweli.
Matatizo ya Afrika ni zaidi ya uongozi na siasa maana yanaanzia kabisa toka utotoni kwetu katika malezi yetu yaani katika nyumba zetu.
Msidanganyike na wanasiasa wa kiafrika wanaosema kuwa nipeni kura nikiingia madarakani nitawabadilishia hiki na hiki na mtakuwa na maisha bora huu ni uongo mkubwa ili yeye na jamii iliyo mzunguka wapate ulaji.
Afrika na waafrika tupo hivi tulivyo kwa sababu hivi ndivyo tulivyo toka majumbani kwetu kuna mnyororo ambao tunapaswa kuuvunja kwanza ndipo tuweze kutoka hapa tulipo bila hivyo siasa zitaendelea kuwa uwanja wa ulaji.
Kama ni hivyo basi Tanzania yetu imejawa na wajinga mno na nina uhakika wa hili.....mfano angalia watu wanavyoshupalia wasanii wetu uchwara wakati hawana issue yeyote zaidi ya kujiuza na kujificha kwenye bongo movie na wengine kwenye biashara za nguo na vipodozi huku wakijiuza na watu wanaona kuwa ni watu wa maana kumbe hamna lolote ni malaya tu.Moja ya kosa kubwa linalo fanya na jamii kubwa ya waafrika ni kujitenga wao na viongozi na uongozi wa eneo husika.
Kosa kubwa ni kudhani kuwa Afrika tuna viongozi wabaya na sisi wengine tulio nje ya uongozi ndio watu bora sana kuliko viongozi na uongozi uliopo madarakani.
Viongozi au uongozi ni tafsiri ya jamii nzima ukiona unaongizwa na watu wajinga wajinga jua fika jamii nzima imejaa wananchi wehu kwa sababu uongozi hautoki nje ya jamii husika.
Tabia na tamaduni za hovyo walizo nazo viongozi au uongozi wetu ndio hizo hizo tulizo nazo mimi na wewe.
Hata leo hii CCM ikiondoshwa madarakani na wakaingia iwe Chadema ama ACT ama CUF n.k msitegemee kwamba yale mambo ya hovyo yaliyokuwa kwa CCM basi katika hivyo vyama vipya watakuja na mambo mapya kabisa sahauni kuhusu hilo.
Sisi ni waafrika tunajua fika kabisa tabia walizonazo wanaccm ndizo hizo hizo unaweza kuzikuta Chadema,ACT,CUF n.k wenda kwa kiwango kile kile sawa sawa na CCM
Afrika kuendelea na kuondokana na huu umasikini sio leo wala kesho hata wakibadili vyama vya siasa kila siku kama nguo za ndani kama mzizi wa tatizo hautatatuliwa tusahau kuhusu mabadiliko ya kweli.
Matatizo ya Afrika ni zaidi ya uongozi na siasa maana yanaanzia kabisa toka utotoni kwetu katika malezi yetu yaani katika nyumba zetu.
Msidanganyike na wanasiasa wa kiafrika wanaosema kuwa nipeni kura nikiingia madarakani nitawabadilishia hiki na hiki na mtakuwa na maisha bora huu ni uongo mkubwa ili yeye na jamii iliyo mzunguka wapate ulaji.
Afrika na waafrika tupo hivi tulivyo kwa sababu hivi ndivyo tulivyo toka majumbani kwetu kuna mnyororo ambao tunapaswa kuuvunja kwanza ndipo tuweze kutoka hapa tulipo bila hivyo siasa zitaendelea kuwa uwanja wa ulaji.
Mkuu leo umegusia point ambayo Kila siku naizungumzia lakini watu wananiona hawaelewi.Moja ya kosa kubwa linalo fanya na jamii kubwa ya waafrika ni kujitenga wao na viongozi na uongozi wa eneo husika.
Kosa kubwa ni kudhani kuwa Afrika tuna viongozi wabaya na sisi wengine tulio nje ya uongozi ndio watu bora sana kuliko viongozi na uongozi uliopo madarakani.
Viongozi au uongozi ni tafsiri ya jamii nzima ukiona unaongizwa na watu wajinga wajinga jua fika jamii nzima imejaa wananchi wehu kwa sababu uongozi hautoki nje ya jamii husika.
Tabia na tamaduni za hovyo walizo nazo viongozi au uongozi wetu ndio hizo hizo tulizo nazo mimi na wewe.
Hata leo hii CCM ikiondoshwa madarakani na wakaingia iwe Chadema ama ACT ama CUF n.k msitegemee kwamba yale mambo ya hovyo yaliyokuwa kwa CCM basi katika hivyo vyama vipya watakuja na mambo mapya kabisa sahauni kuhusu hilo.
Sisi ni waafrika tunajua fika kabisa tabia walizonazo wanaccm ndizo hizo hizo unaweza kuzikuta Chadema,ACT,CUF n.k wenda kwa kiwango kile kile sawa sawa na CCM
Afrika kuendelea na kuondokana na huu umasikini sio leo wala kesho hata wakibadili vyama vya siasa kila siku kama nguo za ndani kama mzizi wa tatizo hautatatuliwa tusahau kuhusu mabadiliko ya kweli.
Matatizo ya Afrika ni zaidi ya uongozi na siasa maana yanaanzia kabisa toka utotoni kwetu katika malezi yetu yaani katika nyumba zetu.
Msidanganyike na wanasiasa wa kiafrika wanaosema kuwa nipeni kura nikiingia madarakani nitawabadilishia hiki na hiki na mtakuwa na maisha bora huu ni uongo mkubwa ili yeye na jamii iliyo mzunguka wapate ulaji.
Afrika na waafrika tupo hivi tulivyo kwa sababu hivi ndivyo tulivyo toka majumbani kwetu kuna mnyororo ambao tunapaswa kuuvunja kwanza ndipo tuweze kutoka hapa tulipo bila hivyo siasa zitaendelea kuwa uwanja wa ulaji.
The same ideology, matatzo ya waafrka yapo within the ecosystm of Africanist,Moja ya kosa kubwa linalo fanya na jamii kubwa ya waafrika ni kujitenga wao na viongozi na uongozi wa eneo husika.