Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
India ni nchi ya Tano kwa uchumi mkubwa duniani....kufananisha na Tz au Burundi sio sawaRaia wa Burundi anaweza kusema Tanzania ina uchumi mkubwa.
India ni nchi ya Tano kwa uchumi mkubwa duniani....kufananisha na Tz au Burundi sio sawaRaia wa Burundi anaweza kusema Tanzania ina uchumi mkubwa.
Kwa kweli kitendo cha kuongozwa na rais ambaye ni form four failure asiyejua chochote!! Hapana kwa kweli. Ni ujuha wa hali ya juu.Viongozi au uongozi ni tafsiri ya jamii nzima ukiona unaongozwa na watu wajinga wajinga jua fika jamii nzima imejaa wananchi wehu kwa sababu uongozi hautoki nje ya jamii husika.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Tumesoma vyuoni humo tunayaona, Unasoma Chuo hadi unamaliza hakuna Kiongozi hata mmoja aliye graduate, viongozi wezi, kuanzia Wabunge wa chuo hadi mawaziri na Raisi wezi kupita maelezo.
Hao hao ndio leo tunawaona wanashika uongozi mbalimbali kwenye nchi. Kifupi nchi hii majority ni wezi na mafisadi wadogo wadogo, tofauti ya viongozi na wananchi ni huko kuchaguliwa tu ila tabia zinafanana.
Unless kutokee significant changes Africa role model wetu ni India soon na sisi itakua too late.
My point Is India ni Nchi kubwa mno yenye watu wengi kushinda Africa, ukichukua Africa kiujumla kuna Nchi zina Compete na industries za India, hivyo Africa kwa Ujumla wetu hatuna tofauti na India sana.Sijajua unatumia vipimo gani kufanya ulinganisho... uchumi wa India ni mkubwa mno kuliko chumi za nchi kama Morocco, Africa kusini hata Misri hata uziunge kwa pamoja.
Usisahau India ni nchi ya 5 kwa uchumi mkubwa duniani
Illogical fallacy.Moja ya kosa kubwa linalo fanywa na jamii kubwa ya waafrika ni kujitenga wao na viongozi na uongozi wa eneo husika.
Kosa kubwa ni kudhani kuwa Afrika tuna viongozi wabaya na sisi wengine tulio nje ya uongozi ndio watu bora sana kuliko viongozi na uongozi uliopo madarakani.
Viongozi au uongozi ni tafsiri ya jamii nzima ukiona unaongozwa na watu wajinga wajinga jua fika jamii nzima imejaa wananchi wehu kwa sababu uongozi hautoki nje ya jamii husika.
Tabia na tamaduni za hovyo walizo nazo viongozi au uongozi wetu ndio hizo hizo tulizo nazo mimi na wewe.
Hata leo hii CCM ikiondoshwa madarakani na wakaingia iwe Chadema ama ACT ama CUF n.k msitegemee kwamba yale mambo ya hovyo yaliyokuwa kwa CCM basi katika hivyo vyama vipya watakuja na mambo mapya kabisa sahauni kuhusu hilo.
Sisi ni waafrika tunajua fika kabisa tabia walizonazo wanaccm ndizo hizo hizo unaweza kuzikuta Chadema,ACT,CUF n.k wenda kwa kiwango kile kile sawa sawa na CCM
Afrika kuendelea na kuondokana na huu umasikini sio leo wala kesho hata wakibadili vyama vya siasa kila siku kama nguo za ndani kama mzizi wa tatizo hautatatuliwa tusahau kuhusu mabadiliko ya kweli.
Matatizo ya Afrika ni zaidi ya uongozi na siasa maana yanaanzia kabisa toka utotoni kwetu katika malezi yetu yaani katika nyumba zetu.
Msidanganyike na wanasiasa wa kiafrika wanaosema kuwa nipeni kura nikiingia madarakani nitawabadilishia hiki na hiki na mtakuwa na maisha bora huu ni uongo mkubwa ili yeye na jamii iliyo mzunguka wapate ulaji.
Afrika na waafrika tupo hivi tulivyo kwa sababu hivi ndivyo tulivyo toka majumbani kwetu kuna mnyororo ambao tunapaswa kuuvunja kwanza ndipo tuweze kutoka hapa tulipo bila hivyo siasa zitaendelea kuwa uwanja wa ulaji.
Illogical fallacy.Wananchi wengi wa Afrika hivi ndivyo tulivyo.
Unasukumwa na nini kuhalalisha uongo wa kiwango hiki?Wananchi wengi wa Afrika hivi ndivyo tulivyo.
Kenya kuna demokrasia ama udikteta ?Unasukumwa na nini kuhalalisha uongo wa kiwango hiki?
Waafrika?
Watu wa mataifa mengine wakoje? Wana tofauti zipi na Waafrika za tabia, hulka na mienendo?
Unaelewa kilichosababisha mataifa mengine kutafuta na kupigania kuwepo kwa mifumo bora ya uongozi kama demokrasia na taasisi za udhibiti (checks & balances)? Unafikiri walikuwa wajinga?
Unataka Afrika tuchukulie tu kuwa sisi Waafrika wote ni watu wa ovyo tu hivyo tusione kasoro katika viongozi wetu; tuelewane nao hivyo hivyo tu eti kwa vile hakuna namna ya kurekebisha haki hiyo!
Whose idiotic agenda is this?
Umemuona ee,huyu janja Sana huyu!Tuanze na CCM mwaka huu...tuwabadilishe....mabadiliko ni lazima na yanaanza kwa matendo(actions)...Ss sio wapumbafu...bandiko lako ni zuri kwa mwonekano..lkn unatetea ujinga.
Ova.
Kenya ndio Waafrika?Kenya kuna demokrasia ama udikteta ?
Je ukiwekewa kiongozi ambaye anajizima data tena ambaye hamja mchagua ukae kimyaMoja ya kosa kubwa linalo fanywa na jamii kubwa ya waafrika ni kujitenga wao na viongozi na uongozi wa eneo husika.