Jibu swali, kwa kuwa dhaba yako ipo hivyo basi tuwaachie hawa hawa au kwa ufupi hakuna haja ya uchaguziHata hao mtakao wapatia hawana tofauti na hawa[ Sheikh yule yule kanzu tofauti]
Jibu swali, kwa kuwa dhaba yako ipo hivyo basi tuwaachie hawa hawa au kwa ufupi hakuna haja ya uchaguziHata hao mtakao wapatia hawana tofauti na hawa[ Sheikh yule yule kanzu tofauti]
Si kwamba watu hawaelewi ila ni kuwa hawapo tayari kuonekana nao ni sehemu ya tatizo yaani wao wanajitenga na uongozi as if uongozi unatoka sayari ya ZebakiMkuu leo umegusia point ambayo Kila siku naizungumzia lakini watu wananiona hawaelewi.
Zingatia alama za uandishi unapo hoji swali ambatanisha na hii alama ? Ili unae muuliza aweze kujua kahojia swali au maoni tu binafsi.Jibu swali, kwa kuwa dhaba yako ipo hivyo basi tuwaachie hawa hawa au kwa ufupi hakuna haja ya uchaguzi
Hata wakibadilishwa CCM iwe leo au kesho au keshokutwa futa wazo kuwa wanasiasa wa kiafrika watakao chukua nafasi ya CCM Tanzania iwe iliyo bora.Tuanze na CCM mwaka huu...tuwabadilishe....mabadiliko ni lazima na yanaanza kwa matendo(actions)...Ss sio wapumbafu...bandiko lako ni zuri kwa mwonekano..lkn unatetea ujinga.
Ova.
Ndo maana watu wa hali ya chini wanatakiwa wa focus na kutengenezea uchumi waachane na siasa kwa sbabubu ni ngumu kwa wao kubadili hii hali.Si kwamba watu hawaelewi ila ni kuwa hawapo tayari kuonekana nao ni sehemu ya tatizo yaani wao wanajitenga na uongozi as if uongozi unatoka sayari ya Zebaki
Siwez futa wazo kwasababu Sina akili stagnant kama Yako..binadamu ana asili...ya kubadilika..ata genetically iko ivo usikariri kwamba hamna kisichoweza badilika zama huisha...zama mpya zinatengenezewa..na lazima uwepo mwanzo..wa zama hizo.Hata wakibadilishwa CCM iwe leo au kesho au keshokutwa futa wazo kuwa wanasiasa wa kiafrika watakao chukua nafasi ya CCM Tanzania iwe iliyo bora.
Kwann Tanzania tulishawah badili chama zaidi ya CCM kushika Dola..!?Bila kuvunja hiyo ecosystem tutabaki kuzunguka mule mule kwa kubadili vyama kama nguo za ndani na mabadiliko halisi yasionekane
Hakuna kitakacho badilika.Siwez futa wazo kwasababu Sina akili stagnant kama Yako..binadamu ana asili...ya kubadilika..ata genetically iko ivo usikariri kwamba hamna kisichoweza badilika zama huisha...zama mpya zinatengenezewa..na lazima uwepo mwanzo..wa zama hizo.
Unachanganya mambo mengi kwa wakati mmoja, pia nchi zinatofautiana sana. Ni kukosa maarifa kuzifananisha Malawi, Zambia, Kenya na Tanzania. Hizi ni nchi zenye muktadha tofauti sana na Tanzania katika historia, rasilimali na jiografia ya kimkakati.Africa sio Tanzania pekee Kenya,Zambia,Malawi wanabadili vyama vile wanavyo jisikia hakuna jipya na wala hakutakuwa na jipya Tanzania ikibadili vyama
Tatizo kubwa la siasa za Africa pia ni kwamba vyama havina principles maalumu vinavyosimamia.Africa sio Tanzania pekee Kenya,Zambia,Malawi wanabadili vyama vile wanavyo jisikia hakuna jipya na wala hakutakuwa na jipya Tanzania ikibadili vyama
Utofauti uliopo ni kuwa Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili Tanganyika iliyokufa na Zanzibar iliyo hai ila wote hawa Tz,Zambia,Kenya ni waafrika wanaofanana kwa kila kitu haya ni maeneo yaliyo gawanywa na wakoloni tu hakuna tofauti kubwa namna unavyotaka kuiweka.Unachanganya mambo mengi kwa wakati mmoja, pia nchi zinatofautiana sana. Ni kukosa maarifa kuzifananisha Malawi, Zambia, Kenya na Tanzania. Hizi ni nchi zenye muktadha tofauti sana na Tanzania katika historia, rasilimali na jiografia ya kimkakati.
Ni sahihi mkuu, waha viongozi tunaona madudu yao kwa vile wao ni public figures. Ukweri unabaki kuwa pengine ambao hatumulikwa ni wajinga na wapumbavu kuliko viongozi.Bila kuvunja hiyo ecosystem tutabaki kuzunguka mule mule kwa kubadili vyama kama nguo za ndani na mabadiliko halisi yasionekane
Principles huwekwa na watu walio jitambua tayari jambo ambalo haliwezekani Afrika katika jamii kubwa ya watu ambao bado hawajajitambua.Tatizo kubwa la siasa za Africa pia ni kwamba vyama havina principles maalumu vinavyosimamia.
Ni kweli aisee hatukujua kama kule chadema kuna Genge la G55 na kiongozi wao.Sisi ni waafrika tunajua fika kabisa tabia walizonazo wanaccm ndizo hizo hizo unaweza kuzikuta Chadema,ACT,CUF n.k wenda kwa kiwango kile kile sawa sawa na CCM
Malawi kuna bandari au rasilimali zozote za maana??Utofauti uliopo ni kuwa Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili Tanganyika iliyokufa na Zanzibar iliyo hai ila wote hawa Tz,Zambia,Kenya ni waafrika wanaofanana kwa kila kitu haya ni maeneo yaliyo gawanywa na wakoloni tu hakuna tofauti kubwa namna unavyotaka kuiweka.
Utaje huo mnyororo wa kuvunjwa, lakini hatuko tayari tena kutawaliwa na ccm bila ridhaa yetu. Waingie wengine sio lazima kutawaliwa na ccm.Moja ya kosa kubwa linalo fanya na jamii kubwa ya waafrika ni kujitenga wao na viongozi na uongozi wa eneo husika.
Kosa kubwa ni kudhani kuwa Afrika tuna viongozi wabaya na sisi wengine tulio nje ya uongozi ndio watu bora sana kuliko viongozi na uongozi uliopo madarakani.
Viongozi au uongozi ni tafsiri ya jamii nzima ukiona unaongizwa na watu wajinga wajinga jua fika jamii nzima imejaa wananchi wehu kwa sababu uongozi hautoki nje ya jamii husika.
Tabia na tamaduni za hovyo walizo nazo viongozi au uongozi wetu ndio hizo hizo tulizo nazo mimi na wewe.
Hata leo hii CCM ikiondoshwa madarakani na wakaingia iwe Chadema ama ACT ama CUF n.k msitegemee kwamba yale mambo ya hovyo yaliyokuwa kwa CCM basi katika hivyo vyama vipya watakuja na mambo mapya kabisa sahauni kuhusu hilo.
Sisi ni waafrika tunajua fika kabisa tabia walizonazo wanaccm ndizo hizo hizo unaweza kuzikuta Chadema,ACT,CUF n.k wenda kwa kiwango kile kile sawa sawa na CCM
Afrika kuendelea na kuondokana na huu umasikini sio leo wala kesho hata wakibadili vyama vya siasa kila siku kama nguo za ndani kama mzizi wa tatizo hautatatuliwa tusahau kuhusu mabadiliko ya kweli.
Matatizo ya Afrika ni zaidi ya uongozi na siasa maana yanaanzia kabisa toka utotoni kwetu katika malezi yetu yaani katika nyumba zetu.
Msidanganyike na wanasiasa wa kiafrika wanaosema kuwa nipeni kura nikiingia madarakani nitawabadilishia hiki na hiki na mtakuwa na maisha bora huu ni uongo mkubwa ili yeye na jamii iliyo mzunguka wapate ulaji.
Afrika na waafrika tupo hivi tulivyo kwa sababu hivi ndivyo tulivyo toka majumbani kwetu kuna mnyororo ambao tunapaswa kuuvunja kwanza ndipo tuweze kutoka hapa tulipo bila hivyo siasa zitaendelea kuwa uwanja wa ulaji.