Kosa kubwa wanalo/tunalo fanya waafrika

Kosa kubwa wanalo/tunalo fanya waafrika

Vyama tawala na vyama pinzani Africa wote ni vita vya tumbo kama nyani na ngedere kugombea shamba la mahindi ( wajinga/ watawaliwa watu masikini,watu wenye ufahamu wa daraja la chini au wanaitwa mtaji wa wanasiasa.
Africa haiwezi kukombolewa na huu upumbavu unaitwa siasa sijui vyama vingi sijui demokrasia bali kuwa na mfumo mpya wa kubadili fikra za waafrika kuanzia ngazi za malezi ya familia ndipo tupate watu sahihi na sio hizi rubbish.
Viongozi wa Africa ni zao la malezi mabovu toka kwenye Jamii.
Kwa maana jamii ya hovyo hovyo uzaaa viongozi wa hovyo hovyo.
Viongozi wa kiafrika ni kiwakilishi cha waafrika tulivyo.
 
Zingatia alama za uandishi unapo hoji swali ambatanisha na hii alama ? Ili unae muuliza aweze kujua kahojia swali au maoni tu binafsi.

Kukujibu swali lako mpaka sasa hakuna haja ya uchaguzi.
Kwa mantiki hiyo Kwa kifupi hakuna haja ya uwepo wako
 
Hata hao unaofikiri watatawala kwa ridhaa yako na wenzako kuna nafasi kubwa ya kufanya yale yale waliofanya CCM maana sisi ni waafrika hawatoingia madarakani wazungu au wachina au waarabu CCM ikifurumushwa bali ni hawa hawa waafrika wenzako wezi,wenye husba, walafi, wabinafsi,wajinga kupitiliza n.k
Sawa, tunataka mabadiliko waje hao unaosema watakuwa kama ccm. Enough is enough.
 
Vyama tawala na vyama pinzani Africa wote ni vita vya tumbo kama nyani na ngedere kugombea shamba la mahindi ( wajinga/ watawaliwa watu masikini,watu wenye ufahamu wa daraja la chini au wanaitwa mtaji wa wanasiasa.
Africa haiwezi kombolewa na huu upumbavu unaitwa siasa sijui vyama vingi sijui demokrasia bali kuwa na mfumo mpya wa kubadili fikra za waafrika kuanzia ngazi za malezi ya familia ndipo tupate watu sahihi na sio hizi rubbish.
Viongozi wa Africa ni zao la malezi mabovu toka kwenye Jamii.
Kwa maana jamii ya hovyo hovyo uzaaa viongozi wa hovyo hovyo.
Viongozi wa kiafrika ni kiwakilishi cha waafrika tulivyo.
Upo sahihi sana japo hatupo tayari kwa hili kwa sababu hata sisi wananchi wa kawaida lina tugusa
 
Chaguzi haziwezi kuleta mabadiliko yeyeto kwenye mustakabali wa Africa zaidi ya kuchezea tu pesa za walipa Kodi kwa faida ya wachache.
Zambia, Kenya, Malawi, Liberia nk Wana katiba bora tume bora ya uchaguzi mshindi ushinda kwa haki lakini mambo ni yale Yale hakuna changes yeyeto aingie upinzani au tawala.
Africa inahitaji mifumo mingine ya kiuongozi tofauti na hii ili kuleta matokeo chanya.
 
Mzizi mzima wa matatizo ya Afrika yanaanzia kwa sehemu ndogo ya nilicho elezea tofauti na hapo ni kujiongopea.
Wewe kama umeyaona hayo matatizo kwanini usichukue hatua na kutupia mpira watu wengine na kulalamika take action

Afrika itaendelea siku tu watu wakiamua ku-take action na kuacha kutegemea watu wengine wawapiganie
 
India tena ?
Yes unapozungumzia Viongozi wasiojielewa, Majambazi na wauza unga kuwa viongozi wa siasa, Nchi chafu Kila sehemu hakuna anaejali mazingira, Foleni za barabara kila unapokwenda, Masikini kibao wanaolala barabarani, nchi isiyo na vipaumbele raia wake kila siku wanabishana tu mitandaoni etc ni India.

Kila ujinga tunaoufanya huku India wametuzidi kidogo na huo ujinga so tunawafuata.
 
India ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa hasa upande wa viwanda na teknolojia za tiba ,uhandisi.
 
India ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa hasa upande wa viwanda na teknolojia za tiba ,uhandisi.
Gdp per capita ya India na Africa utofauti mdogo sana, wapo wengi mno to the point huo Uchumi mkubwa unatokea Automatic na bado wanaongezeka kwa wingi, so unaona uchumi umekua asilimia kadhaa na population nayo imekua hivyo ina offset kiasi fulani huo ukuaji.

Hata viwanda hawapo vizuri kihivyo compare na Africa kiujumla (wapo wengi kushinda Africa nzima)

Ukiangalia Nchi za Africa kubwa kama Egpty, South Africa, Algeria, Kenya etc ina match uwezo wao.

Mfano ukiangalia magari ambayo ni part ya huo uhandisi wana Export around 6B usd, same as Morocco, ukijumlisha South Africa na Moroco Tayari tumewapita India.

Pharmacy wametupita sana, hili halina mjadala ila ukiangalia overall industries zote tupo Competitive against them.
 
Sijajua unatumia vipimo gani kufanya ulinganisho... uchumi wa India ni mkubwa mno kuliko chumi za nchi kama Morocco, Africa kusini hata Misri hata uziunge kwa pamoja.

Usisahau India ni nchi ya 5 kwa uchumi mkubwa duniani
 
Kwa Sasa huenda ukawa sahihi, ila eneo hilo India ni moja ya nchi yenye uchumi mkubwa ukitoa China.
Raia wa Burundi anaweza kusema Tanzania ina uchumi mkubwa.
 
Back
Top Bottom