Kosa kubwa wanalo/tunalo fanya waafrika

Hata hao mtakao wapatia hawana tofauti na hawa[ Sheikh yule yule kanzu tofauti]
Jibu swali, kwa kuwa dhaba yako ipo hivyo basi tuwaachie hawa hawa au kwa ufupi hakuna haja ya uchaguzi
 
Tuanze na CCM mwaka huu...tuwabadilishe....mabadiliko ni lazima na yanaanza kwa matendo(actions)...Ss sio wapumbafu...bandiko lako ni zuri kwa mwonekano..lkn unatetea ujinga.

Ova.
 
Mkuu leo umegusia point ambayo Kila siku naizungumzia lakini watu wananiona hawaelewi.
Si kwamba watu hawaelewi ila ni kuwa hawapo tayari kuonekana nao ni sehemu ya tatizo yaani wao wanajitenga na uongozi as if uongozi unatoka sayari ya Zebaki
 
Jibu swali, kwa kuwa dhaba yako ipo hivyo basi tuwaachie hawa hawa au kwa ufupi hakuna haja ya uchaguzi
Zingatia alama za uandishi unapo hoji swali ambatanisha na hii alama ? Ili unae muuliza aweze kujua kahojia swali au maoni tu binafsi.

Kukujibu swali lako mpaka sasa hakuna haja ya uchaguzi.
 
Tuanze na CCM mwaka huu...tuwabadilishe....mabadiliko ni lazima na yanaanza kwa matendo(actions)...Ss sio wapumbafu...bandiko lako ni zuri kwa mwonekano..lkn unatetea ujinga.

Ova.
Hata wakibadilishwa CCM iwe leo au kesho au keshokutwa futa wazo kuwa wanasiasa wa kiafrika watakao chukua nafasi ya CCM Tanzania iwe iliyo bora.
 
Si kwamba watu hawaelewi ila ni kuwa hawapo tayari kuonekana nao ni sehemu ya tatizo yaani wao wanajitenga na uongozi as if uongozi unatoka sayari ya Zebaki
Ndo maana watu wa hali ya chini wanatakiwa wa focus na kutengenezea uchumi waachane na siasa kwa sbabubu ni ngumu kwa wao kubadili hii hali.

Wanasiasa wa chama tawala ni wachumia matumbo yao.
 
The same ideology, matatzo ya waafrka yapo within the ecosystm of Africanist,
Bila kuvunja hiyo ecosystem tutabaki kuzunguka mule mule kwa kubadili vyama kama nguo za ndani na mabadiliko halisi yasionekane
 
Hata wakibadilishwa CCM iwe leo au kesho au keshokutwa futa wazo kuwa wanasiasa wa kiafrika watakao chukua nafasi ya CCM Tanzania iwe iliyo bora.
Siwez futa wazo kwasababu Sina akili stagnant kama Yako..binadamu ana asili...ya kubadilika..ata genetically iko ivo usikariri kwamba hamna kisichoweza badilika zama huisha...zama mpya zinatengenezewa..na lazima uwepo mwanzo..wa zama hizo.
 
Bila kuvunja hiyo ecosystem tutabaki kuzunguka mule mule kwa kubadili vyama kama nguo za ndani na mabadiliko halisi yasionekane
Kwann Tanzania tulishawah badili chama zaidi ya CCM kushika Dola..!?
 
Hakuna kitakacho badilika.
 
Kwann Tanzania tulishawah badili chama zaidi ya CCM kushika Dola..!?
Africa sio Tanzania pekee Kenya,Zambia,Malawi wanabadili vyama vile wanavyo jisikia hakuna jipya na wala hakutakuwa na jipya Tanzania ikibadili vyama
 
Africa sio Tanzania pekee Kenya,Zambia,Malawi wanabadili vyama vile wanavyo jisikia hakuna jipya na wala hakutakuwa na jipya Tanzania ikibadili vyama
Unachanganya mambo mengi kwa wakati mmoja, pia nchi zinatofautiana sana. Ni kukosa maarifa kuzifananisha Malawi, Zambia, Kenya na Tanzania. Hizi ni nchi zenye muktadha tofauti sana na Tanzania katika historia, rasilimali na jiografia ya kimkakati.
 
Sisi mkuu tunachotaka ni uwajibakaji na uongozi wa haki na usawa ambao nchi nyingi Africa unakosekana kosa analohukumiwa nalo mpinzani akifanya ccm ahukumiwe mfano:–

Kauli aliyoitoa nape nnauye kuhusu uchaguzi alitakiwa awajibishwe.

Kauli aliyoitoa amos makala kwamba chadema inajipanga kununua virus mamlaka zilitakiwa zimuhoji.

Yule uvccm kagera alisema watu wakipotea tusiwatafute alitakiwa awe ndani.

Hayo mengine uliyoyaelezea umechagua kuelezea sehemu ndogo na kuacha hoja ya msingi wakati mzee TRAB na trat alitwambia tuhamie BURUNDI hii nchi ni ya kwetu wote kama ni hela tugawane wote sio wanakula wachache halafu wanasema dumisheni amani.
 
Africa sio Tanzania pekee Kenya,Zambia,Malawi wanabadili vyama vile wanavyo jisikia hakuna jipya na wala hakutakuwa na jipya Tanzania ikibadili vyama
Tatizo kubwa la siasa za Africa pia ni kwamba vyama havina principles maalumu vinavyosimamia.
 
Unachanganya mambo mengi kwa wakati mmoja, pia nchi zinatofautiana sana. Ni kukosa maarifa kuzifananisha Malawi, Zambia, Kenya na Tanzania. Hizi ni nchi zenye muktadha tofauti sana na Tanzania katika historia, rasilimali na jiografia ya kimkakati.
Utofauti uliopo ni kuwa Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili Tanganyika iliyokufa na Zanzibar iliyo hai ila wote hawa Tz,Zambia,Kenya ni waafrika wanaofanana kwa kila kitu haya ni maeneo yaliyo gawanywa na wakoloni tu hakuna tofauti kubwa namna unavyotaka kuiweka.
 
Bila kuvunja hiyo ecosystem tutabaki kuzunguka mule mule kwa kubadili vyama kama nguo za ndani na mabadiliko halisi yasionekane
Ni sahihi mkuu, waha viongozi tunaona madudu yao kwa vile wao ni public figures. Ukweri unabaki kuwa pengine ambao hatumulikwa ni wajinga na wapumbavu kuliko viongozi.

Niliwahi kufanya kazi chini ya mwadada mmoja hivi alikuwa ni mkuu wangu wa kazi. Aisee alikuwa na mambo ya ajabu na ya kipumbavu mno, and cha kushangaza alikuwa akimlaum Magu kuwa ni dikteka ili hali yeye mtu anaajiliwa anamwambia ntakulipa kiasi flan kwenye maandishi then chukua kiasi flani utakuwa unaniletea mkonini kila mwezi kutoka kwenye mshahara wako.

Katika hoja zangu za kisiasa vijiweni huwa naawambiq watu matizo ya waafrika ni ecosytem ya uafrika ambayo hayaangaliwa kwenye dini, elimu na siasa.

Matatizo yq kiafrka yapo kuanzia kwenye malezi na makuzi. Hatulelewi katika haki na wajibu
 
Tatizo kubwa la siasa za Africa pia ni kwamba vyama havina principles maalumu vinavyosimamia.
Principles huwekwa na watu walio jitambua tayari jambo ambalo haliwezekani Afrika katika jamii kubwa ya watu ambao bado hawajajitambua.

Haishangazi wanaCCM kujiita chama cha kijamaa hata ujamaa wenyewe wasiufahamu hata namna ya kutekeleza hata kuuishi vivyo hivyo kwa chadema wasijue lolote kuhusu demokrasia.
 
Sisi ni waafrika tunajua fika kabisa tabia walizonazo wanaccm ndizo hizo hizo unaweza kuzikuta Chadema,ACT,CUF n.k wenda kwa kiwango kile kile sawa sawa na CCM
Ni kweli aisee hatukujua kama kule chadema kuna Genge la G55 na kiongozi wao.

Ni kama Hamas ndani ya Palestina
 
Malawi kuna bandari au rasilimali zozote za maana??
Zambia ina bandari ya kuingiza mizigo ya nchi tano??
Tanzania imewahi kupata mgawanyiko wa kikabila kama Kenya uliotokana na legacy ya ukoloni?
 
Utaje huo mnyororo wa kuvunjwa, lakini hatuko tayari tena kutawaliwa na ccm bila ridhaa yetu. Waingie wengine sio lazima kutawaliwa na ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…