Kosa kubwa wanalo/tunalo fanya waafrika

CHADEMA Hawajui demokrasia?
 
Afrika kuna matatizo kweli lakini haya ya ccm hata shetani anayosha mikono
 
Tatizo kubwa la siasa za Africa pia ni kwamba vyama havina principles maalumu vinavyosimamia.
Hilo siyo tatizo mkuu. Talk about individuals, principal zipo sana tu mkuu lakin zinamezwa na ecosystem ya uafricanisty.

Tatzo letu ni ile mtu mzima kajampa then anapigwa mtoto kwamba kajampa, sjui utanielewa tatzo letu linapoanzia?
 
Upo sahihi mkuu shida hatupo tayari kujichunguza kuanzia miguuni mwetu matatizo yanapo anzia ili tuweze kuyatatua na kuvuka hapa tulipo ni wepesi sana kutupa lawama kwa uongozi uliopo wakati yale yale wanayo fanya viongozi sisi wenyewe tunaanza kuyafanya katika familia zetu na hata tukizipata hizo nafasi nasi tufanya kile walichofanya hao viongozi.
 
Hilo siyo tatizo mkuu. Talk about individuals, principal zipo sana tu mkuu lakin zinamezwa na ecosystem ya uafricanisty.

Tatzo letu ni ile mtu mzima kajampa then anapigwa mtoto kwamba kajampa, sjui utanielewa tatzo letu linapoanzia?
Wepesi wa kutupa lawama kwa wengine hatupo tayari kuwajibika kwa makosa yetu wenyewe.
 
Mzizi mzima wa matatizo ya Afrika yanaanzia kwa sehemu ndogo ya nilicho elezea tofauti na hapo ni kujiongopea.
 
Sio kweli ni mda wa watu wenye maono kuingia kwenye uongozi wasikae kama watazamaji sikiliza hio video kwa umakini
 
Mwafrika ni yule ,aliyesoma na asiyesoma ngoma draw...Hao viongozi ni mfano wa tabia za vijana huku mtaani ,hawajali wengine ; unakuta kiongozi mzima kazi kuendekeza mchepuko hata ile heshima yake haiendani ...Mwafrika akili zake ni zile zile ,kama ubinafsi , kupenda kuwa juu ya mwingine , kutojali wengine .

Tabia hizo hizo zinaanzia chini kabisa kwenye ngazi ya familia,mtu yuko radhi aharibu miasha ya binti ya watu kisa nyege zake mwenyewe wala mtu hamfikiriq huu ni mwanafunzi ,anaenda kumpa mimba na anajua kabisa ,atatumia kila ushawishi afanye amzini.... Viongozi baadaye wanakariri mpaka wanafika hizo elimu za madaraja ,kazi inakuwa ile ile ya kuendekeza matakwa ya nafsi zao.
 
Mkuu haya uliyoyasema yameanzia kwenye malezi yetu. Hatujalelewa na kukuzwa katika kuishi ukweri.

Trust me ikiwa mizani imebadilika CDM on lead. Yakisemwa na viongozi wa CDM over CCM itakuwa sawa na hakuna atakae wajibishwa. Hoja ya msingi siyo vyama, hoja ni sisi waafrika
 
Malawi kuna bandari au rasilimali zozote za maana??
Zambia ina bandari ya kuingiza mizigo ya nchi tano??
Tanzania imewahi kupata mgawanyiko wa kikabila kama Kenya uliotokana na legacy ya ukoloni?
Nyie mnaupaka rangi mgawanyiko wa kidini sijui ni legacy ya ukoloni au ujinga wenu hilo sifahamu mnasema akitoka mkristo anafuata muislam vivo hivyo akitoka muislam anafuata mkristo ili kubalance hali ya utulivu na wengine wanaenda mbali zaidi wanasema ni mkristo Mkatoliki hayo nimewachia wenyewe.

Kuna nchi nyingi tu duniani hazina haya uliyo hoji kuhusu Malawi na Zambia na zimepiga hatua kubwa kuliko hata Tanzania lakini kwa sababu hawa wote ni wehu wa kiafrika[ Tanzania,Malawi,Zambia] hali zao za kimaisha hazija tofautiana hata kama wamezidiana baadhi ya mali yaani hawa wote ni ndege wafananao hivyo wanaruk pamoja
 
Utaje huo mnyororo wa kuvunjwa, lakini hatuko tayari tena kutawaliwa na ccm bila ridhaa yetu. Waingie wengine sio lazima kutawaliwa na ccm.
Hata hao unaofikiri watatawala kwa ridhaa yako na wenzako kuna nafasi kubwa ya kufanya yale yale waliofanya CCM maana sisi ni waafrika hawatoingia madarakani wazungu au wachina au waarabu CCM ikifurumushwa bali ni hawa hawa waafrika wenzako wezi,wenye husba, walafi, wabinafsi,wajinga kupitiliza n.k
 
Hao watu wenyewe maono Afrika sio sehemu yao
 
Upo sahihi changamoto kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…