Kosa kubwa wanalo/tunalo fanya waafrika

Viongozi au uongozi ni tafsiri ya jamii nzima ukiona unaongozwa na watu wajinga wajinga jua fika jamii nzima imejaa wananchi wehu kwa sababu uongozi hautoki nje ya jamii husika.
Kwa kweli kitendo cha kuongozwa na rais ambaye ni form four failure asiyejua chochote!! Hapana kwa kweli. Ni ujuha wa hali ya juu.


Najuta kuzaliwa Tanzania.
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Sijajua unatumia vipimo gani kufanya ulinganisho... uchumi wa India ni mkubwa mno kuliko chumi za nchi kama Morocco, Africa kusini hata Misri hata uziunge kwa pamoja.

Usisahau India ni nchi ya 5 kwa uchumi mkubwa duniani
My point Is India ni Nchi kubwa mno yenye watu wengi kushinda Africa, ukichukua Africa kiujumla kuna Nchi zina Compete na industries za India, hivyo Africa kwa Ujumla wetu hatuna tofauti na India sana.

Nikakupa Mfano wa Magari, Africa magari mengi anatengeneza Morocco na South Africa, ukichukua Export value ya Morocco na South Africa ya Magari ni kubwa kushinda India.

So kila Industry za India uki Compare na Africa kwa Ujumla utaona Utofauti si mkubwa, na Sio industries tu factor nyingi za kimaendeleo kama Gdp per capita, poverty rate etc. asilimia 82 ya India wanaishi chini ya dola 6 na roughly Asilimia 80 ya Africa wapo kundi hilo.
 
Illogical fallacy.
 
Wananchi wengi wa Afrika hivi ndivyo tulivyo.
Unasukumwa na nini kuhalalisha uongo wa kiwango hiki?

Waafrika?

Watu wa mataifa mengine wakoje? Wana tofauti zipi na Waafrika za tabia, hulka na mienendo?

Unaelewa kilichosababisha mataifa mengine kutafuta na kupigania kuwepo kwa mifumo bora ya uongozi kama demokrasia na taasisi za udhibiti (checks & balances)? Unafikiri walikuwa wajinga?

Unataka Afrika tuchukulie tu kuwa sisi Waafrika wote ni watu wa ovyo tu hivyo tusione kasoro katika viongozi wetu; tuelewane nao hivyo hivyo tu eti kwa vile hakuna namna ya kurekebisha haki hiyo!

Whose idiotic agenda is this?
 
Kenya kuna demokrasia ama udikteta ?
 
Tuanze na CCM mwaka huu...tuwabadilishe....mabadiliko ni lazima na yanaanza kwa matendo(actions)...Ss sio wapumbafu...bandiko lako ni zuri kwa mwonekano..lkn unatetea ujinga.

Ova.
Umemuona ee,huyu janja Sana huyu!
 
Je ukiwekewa kiongozi ambaye anajizima data tena ambaye hamja mchagua ukae kimya

Usilazimishe tukafikiri unavyotaka wewe
Je ukinya sebuleni kwavile ni kiongozi tunyamaze ama ukikaa uchi kwavile ni kiongozi tufyate mkia?

We are no longer closed minded


Silence surrenders public responsibilities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…