Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Kama mpango wako unainvolve connection ubadilishe kama connections zenyewe hauna.mipango bila connection ni nothing
Kama mpango wako unainvolve connection ubadilishe kama connections zenyewe haun
Ndiyo vijana wana mipango ila wanatakiwa waandae mpango utakaoweza kuzima hizo obstacles zinazowakwamisha. Mfano kijana aliyepo chuo anatakiwa aandae mipango itakayoweza kumnasua dhidi ya tatizo la ajira lililopo nchini.Vijana wanayo mipango, na malengo mazuri tu, juu ya future yao. Lakini huwa nadhani externalities zinawakwamisha kutekeleza mipango yao.
Nani katika Dunia ya sasa mkuu anapenda Maisha magumu, Mipango IPO Huoni Watu wanasoma Sababu ya Boom
Mfano Ndoa Watu huachana kwasababu kadha WA kadha mipango IPO ila tabia za moja ya wenza huenda kinyume hivo huamua kuachana.... Kumbuka nguvu ya kusimama na kuendelea inategemea na Mtu kaachwaje sio unaachwa Mali zote pasu kwa pasu wakati umehangaikia ww
Sipo kukupinga ila kuna vitu hutokea nje ya mipango usipende kunyooshea kidole kundi Fulani eti wanafeli kwakuwa hawana hiki
Sijasema watu masikini hawana mipango.Mkishapata viela mnaona watu wote maskini hawana mipangoš
Sawa.Usitufundishe maisha ...tumeishi bila MIPANGO na tuko na raha zetu tunatatua matatizo bila chuki
Mkuu ina maana mtu kasoma chuo miaka minne ndani ya hiyo miaka minne hajaandaa mpango wowote wa maisha baada ya chuo?
Ukitaka kufanikisha lengo lako lolote lile liwe la kiuchumi, kisiasa na kijamii mfano kuoa. Wakuu ukiona ndoa imevunjika kuna possibility kubwa ya kuwa hao wanandoa hawakukaa pamoja na kuandaa mpango wa jinsi watakavyoishi kwenye ndoa yao. Of course mipango inaweza kuvunjika ila haimaanishi ndo ukate tamaa plan A ikienda wrong nenda kwenye plan B, kukata tamaa ni sawa na kwenda nje ya plan.
Yangu ni hayo tu wakuu. Siku nikibarikiwa nitaandika nyuzi kuhusiana na jinsi ya kujua kusudi lako la kuwepo duniani.