Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,093
Marekani ni mtu mwenye akili sana na aliyepata baraka. Hii vita itakuwa tamu sana maana haitachukua zaidi ya mwezi mmoja biashara itaisha
Sidhani kama Putin anao muda wa kusoma hizi falsafa.“War is sweet to those who have no experience of it. But the experienced man trembles exceedingly in his heart at its approach.”
― Pindar
Bonus:
"War does not determine who is right - only who is left"
-Bertrand Russell
Sidhani kama lengo lilikua ni Putin asome!Sidhani kama Putin anao muda wa kusoma hizi falsafa.
Mission ya Afghanistan ni Osama bin laden walisha m eliminate,Afghanistan kapigana miaka 20 na bado kaondoka kwa aibu; ndio iwe hii?! I know you're not serious.
Wanaoamini Hitler alikuwa dikteta ni mbumbumbu na wasiofanya utafiti,Mkuu Rais wa Ukraine ni myahudi. Kumbuka hawa watu waliuliwa zaidi ya milioni moja kule Poland hivyo tangu wakati huo wana umoja wa ajabu.
Kuvamia nchi nyingine kwa sababu zisizoingia kichwani ni ngumu sana. Ni kweli si Saddam lakini udikteta wa Hitler kwa karne hakuna atakayeuvumilia.
Wewe ndio hujafanya utafiti wa aina yoyote. Hitler alitaka kuiteka Austria kama hivi Putin anavyoifanyia Ukraine. Ni ubabe wa hali ya juu na dharau iliyovuka mipaka.Wanaoamini Hitler alikuwa dikteta ni mbumbumbu na wasiofanya utafiti,
Sijakataa juu ya hilo,nilichokataa ni ule uzushi na propaganda zisizo na msingi za kimaagharibi,Wewe ndio hujafanya utafiti wa aina yoyote. Hitler alitaka kuiteka Austria kama hivi Putin anavyoifanyia Ukraine. Ni ubabe wa hali ya juu na dharau iliyovuka mipaka.
Huwezi kuziita sababu zisizo na kichwa wala miguu... Nadhani wewe bado hujaijua history iliyopo hapo... Nenda kajifunze zaidi...Mkuu Rais wa Ukraine ni myahudi. Kumbuka hawa watu waliuliwa zaidi ya milioni moja kule Poland hivyo tangu wakati huo wana umoja wa ajabu.
Kuvamia nchi nyingine kwa sababu zisizoingia kichwani ni ngumu sana. Ni kweli si Saddam lakini udikteta wa Hitler kwa karne hakuna atakayeuvumilia.
Hao ma Oligarchy wa Russia kwa taarifa yako wengi wao wana asili ya uyahudi.. Mfano ni Abramovich... Fuatilia historia yake jinsi alivyoingia hapo Moscow... Braza haya mambo usikurupuke kuyaandika... Fanya upembuzi yakinifu.Myahudi mmoja anao mtandao mpana sana wa dunia nzima wa kumtetea. Putin analeta mchezo utakaomharibu na yeye pamoja na Russia anayoingoza.
Mleta Uzi hajalijua hili. Bora hata wewe umwambie.Hivi mleta mada unahisi Russia hakuna wayahudi ?
Roman abromovich ni myahudi kama hujui, na wote hao ni team Putin
Kaisome historia ya Ukraine tangu karne ya tano nani alikuwa mwenyeji pale ndio uje uchangie huu uzi.Huwezi kuziita sababu zisizo na kichwa wala miguu... Nadhani wewe bado hujaijua history iliyopo hapo... Nenda kajifunze zaidi...
Tunavyoongea Abramovich anaondoka Chelsea anarudi kwao Russia, na huyo ni oligarch mmoja tu bado wengine wanaoendelea kubanwa biashara zao mpaka wanaziona chungu.Hao ma Oligarchy wa Russia kwa taarifa yako wengi wao wana asili ya uyahudi.. Mfano ni Abramovich... Fuatilia historia yake jinsi alivyoingia hapo Moscow... Braza haya mambo usikurupuke kuyaandika... Fanya upembuzi yakinifu.
Hao wayahudi wako bila mbeleko ya huyo tapeli marekani wana nini?!
Au na wewe ni mmoja wa wanaoamini kuwa hawa matapeli wanaojiita wayahudi ndilo lile tunalosoma kwenye Biblia kama taifa teule la Mungu?
Wanasiasa hufanya makosa mengi sana wakiwa .