Kosa la Adolph Hitler la Septemba mosi 1939 linataka kurudiwa na Vladimir Putin


Leo umeongea bonge la point sana., big up mkuu Carlos
 
Hujui Pilato alikuwa Mrumi!

Nimeongea kumaanisha ipo nia ya ndani ya mtu inayofanya achukuliwe anavyochukuliwa!? Soma kwa kuelewa
Shida sio unatoka wapi, shida unafanya nini na kwa nia ipi
 
Kuna wakat sisi waafrika au watu weusi tuache kujiona watu wa chini

Hiv mtu unachagua upande kabisa katika vita ya wazungu ambao walikuja kutuulia viongoz wetu akina gadafi Thoma Sankara na wengineo

Tena hatukupaza sauti tulikaa kimya hakika hakuna mtu mnafiki kama mwafrika nimeamin

Wayahud ndio waliomuua yesu tena kwa kumsulubu vibaya Sana lakn leo mtu anaona hao wayahudi ndio watu Bora zaidi kwake

Naakika hata yes mwenyewe huko aliko anabak anatushangaa Sana sis ngoz nyeusi tuliokosa maarifa

WE MUST LIBERATE OURSELVES FROM MENTAL SLAVERY

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]watu wa Libya walijikomboa wenyewe na udhalimu sasa sijui kwann mnaitolea mfano Libya....wakati kiongozi aliye kuwepo hakuwa na tofauti na shetani...Gadaffi alistahili kufa....
 
Ndio hivyo tena, majimbo tushachukua kwanguvu na hamuwezi kufanya kitu na wambieni hao wapuuzi wenu wasogeze pua waone kitakachowapata
hakuna mjinga kwa kupata hasara kwa vita ya kishamba jamaa atabinywa kende polepole alafu ataondokewa na watu wake wenyewe na kiongozi atakae shika hatamu atasema hana mpango wa kuendelea na uporaji wa mtangulizi wake..
 
unafikiri Africa ndio tunaongozwa na malaika???ni binadamu tu wenye tamaa na ukatili sio sababu tu ni Africa ndio kwamba viongizi wote ni wazuri mkuu wengine wanastahili kutolewa kwa mtutu haijalishi ni kwa msaada wa mzungu au muhindi...
 
Uvamizi alioufanya USA Iraq na Afghanistan una justification katika sheria za kimataifa.Saddam alikiuka masharti aliyowekewa baada ya vita ya Kwanza ya ghuba alipokuwa amevamia Kuweit.Kulikuwa na no fly zones kaskazini na kusini ambako kulikuwa na wapinzani wake na majeshi ya washirika yalikuwa yamejikita.Saddam alikuwa akitishia kuifuta Israel kwenye USO wa dunia.Afghanstan kule Taleban walikuwa wameipa Alqaida operation ground na hata kugoma kumtoa Ossama bin Laden.Katika exceptions za rule 2(4) self defense ni mojawapo.Unaweza kujilinda kabla hunashambuliwa au baada ya kushambuliwa.Mnaweza kufanya mutual self defense kama NATO au vinginevyo.
 
What's so special about Yahudi? Pumbafffff.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…