Dr. Bashiru anauliza, tabia yenu na mienendo yenu wakati wa Uchaguzi ikoje? Chama mnachokichagua mnakijua?
Mnaye mchagua mnamjua? Tusichague Mtu kwasababu ametupa Ubwabwa, kofia, Kanga, pesa au Tshirt. Dhana ya Uwajibikaji: Muna nafasi gani kusimamia Serikali ili iwe upande wenu? Veo vyote Serikalini ni mali yenu. Sifa za chama kinacchopiga nyimbo za mbele kwa mbele mnakijua?
Dhuruma na uonevu havifanywi na Wakoloni. Anasema Bashiru
Bashiru Ally Kakurwa (alizaliwa Wilaya ya Bukoba Vijijini, 1 Januari 1968) ni mwanasiasa nchini Tanzania.
Alichaguliwa kuwa katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi tarehe 31 Mei 2018.
Kabla ya kuwa katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Bashiru alikuwa mhadhiri katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Tarehe 26 Februari 2021 aliteuliwa na rais John Pombe Magufuli kuwa katibu mkuu kiongozi, lakini tarehe 31 Machi 2021 aliteuliwa na rais mpya Mama Samia Suluhu Hassan kuwa mbunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Watanzania tuna vichaa, huyu tulitukana wakati wa Magufuli akiwa katibu wa CCM, kwa dhulma, uhaini na namna alivyokuwa akimsfia aliyempa Ubwabwa na Kanga. Leo tunamuona ni jasiri akifanya vituko naye atupiwe ubalozi na mama kama mwenzie pole pole.