Sikubaliana na wewe kwenye mitazamo inayoshibishwa na propaganda na fikra mgando za ki magharibi. Naendelea kuamini bila ukoloni labda afrika tungekuwa mbali kuliko hap watu wa magharibi na ushahidi upo
1. Mtu wa Kwanza duniani imethibitika anatoka Afrika -Tanganyika
2. Chuo kikuu cha kwanza cha hisabati na Physics kipo Afrika - Egypt
3. Kiwanda cha kwanza cha ngupo (barking cloth) kilikuwa afrika - Nigeria
4. Kiwanda cha kwanza cha chumvi kilikuwa Afrika -Tanganyika
Baada ya explorers, traders na missionaries kuja walitulazimisha kufuata mitazamo na fikra zao, wakatufanya tuone fahari zetu kuwa ujinga na tumechelewa, wakaita AFRIKA the DARK CONTINENT ili hali linavitu vingi vikidhibitsha uongo na ujinga wao.
Kuhusu elimu, naamini Afrika ilikuwa na elimu yake nzuri na bora kwa mazingira yake ila elimu ya magharibi imetufanya tuone elimu yetu ni ya kijinga, fikiria zamani wazee walifundishwa kuishi kutokana na mazingira yao wenyewe leo GEOGRAPHY inafundishwa ya ULAYA ili hali ya Mkuranga kwetu wenyewe hawafundishwi, leo HISTORIA na MASHUJAA WOTE ni wazungu ili hali babu zetu wengi tu wana dhihakiwa.
Nakubaliana mwishoni namna mchakato wa katiba mpya ulivyobakwa, namna wanasiasa wanavyotaka kufanikisha kwa maslahi yao wenyewe
kikiubwa hapa naomba tujadili juu ya katiba mpya ninacho kiona mimi CCM CDM CUF na NCCR hawana mda mda na katiba ya kiraia wanachotaka wenyewe ni katiba ya kisiasa zaidi na ndoo maana ukingalia kwa kiasi kikubwa wanadeal na mambo ya muungano ,tume huru ya uchaguzi na mambo mengine ambayo wanaona yatawasaidia kupata madaraka ya kisiasa
Wenye akili timama katika mijadala ya hoja,Dr. Kyaruzi hakuwa na Masters wala PhD, endelea kuwadanganya pro-Chadema wenzako.
Dr. Kyaruzi hakuwa na Masters wala PhD, endelea kuwadanganya pro-Chadema wenzako.
Wacha kulialia ufanunuzi wote uliopewa hutaki kukubali,Wenye akili timama katika mijadala ya hoja,
Huwa hatukanushi tu kwa maneno mawili bali ufafanuzi na ukweli wake,
Wacha kulialia ufanunuzi wote uliopewa hutaki kukubali,
Yericko kama hujashiba kwenye sahani huwezishiba kwenye kijiko.
Na hata wale waasisi waliokuwemo kwenye harakati za kupigania Uhuru ndani ya TANU hawakuwa wasomi wa ngazi za juu zaidi ya Julius Nyerere,
Wazee hawa ni Julius Kambarage Nyerere, Ali Sykes, Lameck Makaranga, Gosbert Milinga, Gelmandus Pacha, Joseph Kimalando, Japhet Kirilo, Abubakar Ilanga, Saadan Kandoro, Suleiman Kitwara, Kisunguta Kabara, Tewa Said Tewa, Dosa Aziz, Patrick Kunambi, Joseph Kasela-Bantu, John Rupia, Abdul Wahid Sykes.
Mkuu Ritz nakusoma kwa miwani ya 3D huku napata haluwa nimeamini jamaa anaugonjwa wa "Amnesia" na kumkosoa kote bado anajitoa ufahamu lakini tumetoka nae mbali huyu maharage ya Mbeya maji mara moja mlainiiii!
Mtoto wa Nyerere wa kulazimisha, naomba nikuulize, kabla ya mengine.
Jee, ndio hao tu? na unaweza kutueleza hao "waasisi waliokuwemo kwenye harakati za kupigania Uhuru" uliowataja, kila mmoja wao ali"pigania" kivipi? "harakati za kupigania Uhuru"?
Ni kweli ccm hawakutaka katba mpya hapo kabla ila walipoona upepo unavuma kwa mwelekeo tofaut na wao wakaamua kujiunga na bahat mbaya sio kwa matakwa ya wengi
Hongera kwa CDM kwan ndo waasis wa katba mpya na wamefanya kaz ngumu xana ya kuwafumaua macho watz mpaka
Naunga mkono hoja
Mkuu kwanza acha dharau na dhihaka,
Mimi sio mtoto wa Nyerere wa kulazimisha,
Mimi ni mtoto HALALI wa Yohanes Msambila Nyerere,
Kwenye swali lako naomba nisikujibu kwakifupi,
Nakujibu kwa kirefu,
Jibu lako linapatikana kwenye uzi huu hapa chini;
Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar - Page 898
Link bomu.
Msambile toka lini akawa Nyerere na huyo ni Mhehe?
Hehee maajabu,
Kama ndio fikra uliyonayo, basi leo Wamanyema-Wakongo wasingekuwepo Tanganyika, Wangoni-Wazulu wasingekuwepo Tanganyika, Wahehe-Wakushi wasingekuwepo Tanzania, Watusi-Wakushi wasingekuwepo Rwanda
Ndugu yangu funguka japo kidogo,
Hii mipaka katika dunia imewekwa na mabeberu tu,
Hiyo link niliyokupa ina majibu yote mtawalia
Unakumbuka uliposema Nyerere ni baba'ko mzazzi akja mtoto wa kwanza wa Nyerere akakushikia bango kuanzia Msasani mpaka Butiama? au ni mfupi wa kumbukumbu tukushushie zile post?
Hivi jina la TANU nani alilibuni?
ntarud
du!!!! hebu jipongeze na huu mpini kiduchu kisha tuendelee na mjadala.
Nimetulia tuli nakula zangu Faluda, teh teh teh...
Cc: kahtaan, THE BIG SHOW, Tayeb, gombesugu,
FaizaFoxy, unachokisema ni sahihi kabisa!Unakumbuka uliposema Nyerere ni baba'ko mzazzi akja mtoto wa kwanza wa Nyerere akakushikia bango kuanzia Msasani mpaka Butiama? au ni mfupi wa kumbukumbu tukushushie zile post?
Hivi jina la TANU nani alilibuni?