Yani mpaka lugha yako ya taifa umeisahau?
Zile ekari mia tano alizokuwa kajimilikisha baba yako na kisha serikali imara na ya kizalendo ikataifisha, vipi unampango wakuja kudai?
Unafikiri bila ya Nyerere aka "Baba wa Taifa" "kutaifisha" /kutuibia mali za family zetu watu kama sisi,angepata wapi senti za kukusomesheni bure nyinyi wa mikoani/vijijini wenzie aka "Wakuja"!?
Tunashukuru mno Serikali makini za awamu zoote kwa kutambua dhuluma zile;hatimaye kurejesha mali zoote kwa tuliodhulumiwa na pia fidia kiasi!
Kumbuka,wewe bado ni mgeni mno kwenye harakati/kilinge cha siasa za nchi hiyo. Kuna mangi mno huyajui na hutayajua/yatakutatiza maisha yako yoote. Utabaki tu humuhumu mitandaoni kuhubiri/kusambaza uharo na chuki.... ninakuhurumia mno!
Sijui bila ya Kikwete kukuleteeni hii freedom of speech/democracy sasa hivi ungekua wapi!? Kwi! Kwi! Kwi!...tafakuri na ujiulize!?
Ahsanta.