Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015

Yani mpaka lugha yako ya taifa umeisahau?

Zile ekari mia tano alizokuwa kajimilikisha baba yako na kisha serikali imara na ya kizalendo ikataifisha, vipi unampango wakuja kudai?

Unafikiri bila ya Nyerere aka "Baba wa Taifa" "kutaifisha" /kutuibia mali za family zetu watu kama sisi,angepata wapi senti za kukusomesheni bure nyinyi wa mikoani/vijijini wenzie aka "Wakuja"!?

Tunashukuru mno Serikali makini za awamu zoote kwa kutambua dhuluma zile;hatimaye kurejesha mali zoote kwa tuliodhulumiwa na pia fidia kiasi!

Kumbuka,wewe bado ni mgeni mno kwenye harakati/kilinge cha siasa za nchi hiyo. Kuna mangi mno huyajui na hutayajua/yatakutatiza maisha yako yoote. Utabaki tu humuhumu mitandaoni kuhubiri/kusambaza uharo na chuki.... ninakuhurumia mno!

Sijui bila ya Kikwete kukuleteeni hii freedom of speech/democracy sasa hivi ungekua wapi!? Kwi! Kwi! Kwi!...tafakuri na ujiulize!?

Ahsanta.
 
Kama hayanihusu mbona ulituambia utatujibu kuhusu uhusiano wako na familia ya baba yako wa taifa?

Ndugu yangu, tumia mda wako, soma upya uzi uzi wetu mpaka mwisho,

Utaona jinsi nilivyoufunga mjadala kwa kuweka wasifu wangu,
 
Unafikiri bila ya Nyerere aka "Baba wa Taifa" "kutaifisha" /kutuibia mali za family zetu watu kama sisi,angepata wapi senti za kukusomesheni bure nyinyi wa mikoani/vijijini wenzie aka "Wakuja"!?

Tunashukuru mno Serikali makini za awamu zoote kwa kutambua dhuluma zile;hatimaye kurejesha mali zoote kwa tuliodhulumiwa na pia fidia kiasi!

Kumbuka,wewe bado ni mgeni mno kwenye harakati/kilinge cha siasa za nchi hiyo. Kuna mangi mno huyajui na hutayajua/yatakutatiza maisha yako yoote. Utabaki tu humuhumu mitandaoni kuhubiri/kusambaza uharo na chuki.... ninakuhurumia mno!

Sijui bila ya Kikwete kukuleteeni hii freedom of speech/democracy sasa hivi ungekua wapi!? Kwi! Kwi! Kwi!...tafakuri na ujiulize!?

Ahsanta.

Kwakukusaidia tu ndugu, nikuwa azimio la Arusha ndio lililozaa sura ya umoja wa kitaifa,

Huwezi kujimilikisha ekari 500 wakati wenzio hawana hata pakulima mchicha tu,
 
FaizaFoxy, unachokisema ni sahihi kabisa!

Nakumbuka huyu Ndugu Yericko Nyerere amewahi andika mahala hicho unachokisema!

Kuna somebody Nyerere alikuja hapa na kumtoa nishai tehe tehe tehe!

Jadili mada iliyopo mkuu,

Je unadhani katiba mpya ya Watanzania itapatikana kweli kabla ya 2015?
 
Last edited by a moderator:
Dr. Kyaruzi hakuwa na Masters wala PhD, endelea kuwadanganya pro-Chadema wenzako.

Tusaidie sisi wasomaji mkuu,

Dr Kyaruzi alikuwa na elimu gani?

Maana sijaanza kumsikia leo,

Ninakumbuka vizuri kuwa alikuwa rais wa TAA mwaka 1948, huku katibu wa TAA akiwa Abdul Sykes mpaka mwaka 1952 alipohamishwa kikazi kutoka Dar kwenda Kahama na nafasi ya urais wa TAA ikakaimiwa na Abdul Sykes mpaka alipokuja kuchaguliwa Julius Nyerere 1953 pale Mnazimmoja ukumbi wa Anatogulo,

Sasa tuambie kwanini aliitwa Dr? Au nae alikuwa Dr kama alivyo Dr Jakaya Kikwete?
 
Kwi kwi kwi mkuu muereze aerewe yeye anafikiri sisi kuna la maana tumeliona hapa
zaidi ya huu utumbo mimi napoteza muda tu hapa nasubiri nikaswali swala ya Isha.
ahsanta.
Mnakosea wakuu,

Mmeacha mada mnamjadili mleta mada? Hebu kama mnataka kumjadili anzisheni uzi wake huko pembeni, hapa mtuachie hii mada kama ilivyo nyie watu
 
Unafikiri bila ya Nyerere aka "Baba wa Taifa" "kutaifisha" /kutuibia mali za family zetu watu kama sisi,angepata wapi senti za kukusomesheni bure nyinyi wa mikoani/vijijini wenzie aka "Wakuja"!?

Tunashukuru mno Serikali makini za awamu zoote kwa kutambua dhuluma zile;hatimaye kurejesha mali zoote kwa tuliodhulumiwa na pia fidia kiasi!

Kumbuka,wewe bado ni mgeni mno kwenye harakati/kilinge cha siasa za nchi hiyo. Kuna mangi mno huyajui na hutayajua/yatakutatiza maisha yako yoote. Utabaki tu humuhumu mitandaoni kuhubiri/kusambaza uharo na chuki.... ninakuhurumia mno!

Sijui bila ya Kikwete kukuleteeni hii freedom of speech/democracy sasa hivi ungekua wapi!? Kwi! Kwi! Kwi!...tafakuri na ujiulize!?

Ahsanta.

Ndugu yangu, usiwe mfuata upepo,

Unajiita msomi huku mambo madogo ya kisheria na kikatiba kama haya ni mweupe?

Nakufungua macho rasmi kuwa Rais Jakaya Kikwete ama rais yeyote aliyemtangulia hajawahi "kutoa" uhuru wa kuzungumza/kutoa maoni ama uhuru wa habari nchini bali katiba ya nchi na sheria nzivyo hufuatwa kwa kila mtanzania,

Kwa maana hiyo Mh. Rais anaongozwa na sheria. Mh. Rais hajawahi kutoa UHURU kwa mtu yeyote ama kwa vyombo vya habari hata siku 1 tangu aingie madarakani, kama nia ni kutoa UHURU kwa vyombo vya habari alipaswa kurekebisha SHERIA mbovu na kandamizi. UHURU si hisani bali unakuwepo kwa mujibu wa sheria.

Unazeeka na akili mgondo tu utawarithisha nini wajukuu zako?
 
Tusaidie sisi wasomaji mkuu,

Dr Kyaruzi alikuwa na elimu gani?

Maana sijaanza kumsikia leo,

Ninakumbuka vizuri kuwa alikuwa rais wa TAA mwaka 1948, huku katibu wa TAA akiwa Abdul Sykes mpaka mwaka 1952 alipohamishwa kikazi kutoka Dar kwenda Kahama na nafasi ya urais wa TAA ikakaimiwa na Abdul Sykes mpaka alipokuja kuchaguliwa Julius Nyerere 1953 pale Mnazimmoja ukumbi wa Anatogulo,

Sasa tuambie kwanini aliitwa Dr? Au nae alikuwa Dr kama alivyo Dr Jakaya Kikwete?

Mkuu huyu Ritz ni mweupe tu kwenye mambo kama hayo,

Hana alijualo zaidi ya porojo tu,
 
Mnakosea wakuu,

Mmeacha mada mnamjadili mleta mada? Hebu kama mnataka kumjadili anzisheni uzi wake huko pembeni, hapa mtuachie hii mada kama ilivyo nyie watu

Hao ni mashabiki wangu waache tu wanijadili watachoka wenyewe,

Ikipita siku wasiponisema huwa hawaamini kama wapo jf,

Kila shetani na mbuyu wake
 
Jadili mada iliyopo mkuu,

Je unadhani katiba mpya ya Watanzania itapatikana kweli kabla ya 2015?

Ukiwa unataka mjadala ni vema basi ukajikita moja kwa moja kwenye mada, na sio kuweka viajenda vyako vya kipuuzi!

Siku nyengine njoo moja kwa moja kama ulivyouliza hapo juu ili tujadili!

Usijitoe ufahamu kwa kuwafanya Watu warejee kwenye mada pindi wanapokujibu huo uharo wako uloandika!

Jifunze uwasilishaji wa mada halafu niite nije nichangie!
 
"Lakini jambo la hatari na lisilokubalika nikuwa Taifa limeaminishwa kuwa Katiba Mpya itapatikana kabla ya 2015, huu ni ulaghai na wendawazimu wa wazi kabisa,

Katiba ya Watanzania haiwezi kupatikana kwa miaka mitano ama mmoja huu uliosalia, Katiba inayohitaji maridhiano, katiba inayopita kwenye misigano ya kitaifa, katiba inayohitaji elimu kwa Watanzania kwanza kamwe haiwezi kupatikana kabla ya 2015, kitakachopatikana kabla ya 2015 kitaitwa katiba ya kisiasa sio katiba ya Watanzania,"@Yericko Nyerere mwisho wa kunukuu,Hivi Dr kile kipindi cha si alisema ndani ya siku Mia moja za Urais kama angabahatisha kupata angeleta KATIBA!tupunguze unafiki
 
Mkuu,

Umeathiriwa na elementi ya "usisi" ndugu yangu,

Ni agenda ya kupata katiba ya kiraia na ya Watanzania wote ndio niliyokusudia tu,

Na nimeanza kwakutoa historia ya ukombozi wa bara la afrika na uzao wa katiba za mataifa hayo,

Vivyohivyo nimetoa adhari za upataji mapema wa uhuru wa Afrika,

Na nimetoa mapendekezo ya kupata katiba ya Watanzania kuliko hivi inavyotakiwa iwe kwamjibu wa watawala,

Nini umekiona kwako ni kinyume mkuu?
 
"Lakini jambo la hatari na lisilokubalika nikuwa Taifa limeaminishwa kuwa Katiba Mpya itapatikana kabla ya 2015, huu ni ulaghai na wendawazimu wa wazi kabisa,

Katiba ya Watanzania haiwezi kupatikana kwa miaka mitano ama mmoja huu uliosalia, Katiba inayohitaji maridhiano, katiba inayopita kwenye misigano ya kitaifa, katiba inayohitaji elimu kwa Watanzania kwanza kamwe haiwezi kupatikana kabla ya 2015, kitakachopatikana kabla ya 2015 kitaitwa katiba ya kisiasa sio katiba ya Watanzania,"@Yericko Nyerere mwisho wa kunukuu,Hivi Dr kile kipindi cha si alisema ndani ya siku Mia moja za Urais kama angabahatisha kupata angeleta KATIBA!tupunguze unafiki

Mbona unachanganya mada?

Yericko Nyerere ndie Dr Slaa?

Nilichomwelewa na ambacho watanzania waliowengi walichomuelewa Dr Slaa nikuwa alisema ndani ya siku mia moja angeanzishisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya,

Uundaji wa tume ya Jaji Warioba tu umechukua siku zaidi ya miamoja, wewe unataka ndani ya siku miamoja katiba iwe imeshatungwa na kukamilika??
 
Kwanza pole kwa kutojua historia. Staki nijikite zaidi kuelezea madhumun na madhara ya ukolon kwa nchi za Afrika, lakin napenda nikukumbushe tu kwamba wakolon waliingia Afrika kwa lengo kubwa la kuchukua raslimal zetu.(soma kitabu "HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA" kilchoandikwa na Water Rodney). Unachokiamin wewe ni mtazamo wa kimagharibi(Eurocentric view, which claim that colonialism was there as the civilisation mission) ambao ni mahususi kwa kuhalalisha ukoloni na kufunika maovu walokuwa wakitendewa babu zetu. Kuhusu swala la katba unamaanisha kwamba kwa kuwa JK hakuwah kuwa na wazo hilo watz hatukutakiwa kuanzisha mchakato wa kupata katiba yenye kuwakomboa hasa wanyonge? Umeniskitsha sana ndugu.
Haya mawazo yanatutatiza mara nyingi lakini yako wazi na ukweli ni kwamba wakoloni waliigawana Afrika ili waitawale. Kuitawala ilijumuisha rasilimali ghafi na rasilimali watu ili haya makoloni yandaliwe kuwa kama Afrika ya Kusini ilivyo sasa, Ghana, seychelles na wala sio kukalia makoloni kama Somalia, Congo, Kas-Mash ya Nigeria nk.
Fikira kama hizi sio ngeni maana ni asili ya binadamu yeyote kupenda kujiongezea ufahali na mali. Unadhani Mzaramo wa Manerumango alikuja Kariakoo kupaendeleza au kutafuta cha kujenga kwao kabla hajaamua 'kulowea'?, hivyo hivyo, Wahaya, Wanyakyusa, Wachaga, Wagogo, Wakenya, Waafrika wa ughaibuni nk. Ndio maana kama wasingetokea watu wenye fikra za uhuru kama akina Nkrumah basi usitegemee kuwa wangeziachia. Anachotaka ueleza Mleta mada ni kuwa kama wakoloni wangelikaa hadi 1975 - 1985 basi kwa hakika idadi ya akina 'Nkrumah, Nyerere, Kyaruzi na wengineo ingelikuwa imeongezeka hivyo bara letu kuwa katika nafasi nzuri ya kujitawala.
Tusiwaangalie hivyo kwa kila tutakachoaminishwa maana huku kwetu kuna daraja walijenga tangu Mjerumani mpaka leo lipo wakati nasiki Kilwa Rd iliyojengwa juzi inabomolewa.
Mleta mada umeeleza vizuri sana, ccm na viongozi wao hawakuwahi kuwaza katiba hivyo ni wazi hawawezi kuisimamia kwa ufanisi.
 
Nakushukuru sana mkuu kwakueleza kwa ufasaha na kutembea sahihi katika malengo yangu kwa Watanzania wenzangu,

Tukisimama hivi hakika tutapata katiba ya Watanzania
 
Back
Top Bottom