Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Wasalaam wakuu
Ngoja nikupe stori kwa ufupi ili uone ni namna gani unaweza kunishauri..
Miaka kama 2 iliyopita nilikuwa nafanya katika kampuni flani hivi, nilipata marafiki wengi pale. Miongoni mwao yupo mmoja ambaye ni rafiki(rafiki kweli kweli!) Ambaye tumekuwa tukiShare mambo mengi. Siku sio nyingi jamaa kabadilika!
Simu zangu hapokei na sms mara nyingi hajibu wala hanitafuti tena. Basi, namimi nikaamua kutoa mguu kidogo. Kumbe jamaa alifanya makosa kule kazini sijui akapigwa faini, na mengne kibao. Akaamua kuacha kazi, wala hakuniambia chochote, nilipofuatilia kupitia kwa wadau wa karibu nae, nikaambiwa aliemfanyia unyama kazini ni kaka yangu aliyekuwa akifanya nae kazi(mmoja wapo wa viongozi wake).
Na huyo kaka yangu kwa kiasi kikubwa ndo chanzo cha kufahamiana na rafiki yangu huyo, na hicho ndicho chanzo cha kunichukia mimi pia!!
Kwakweli alikuwa mtu muhimu sana, nimeona kuendelea kumtafuta napo ni kama kujipendekeza kiaina!
Sasa mimi najiuliza, nimeshirikije makosa ya kaka yangu kwake?
Nifanye nini?