Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Baba yako mzazi nyuma hana ubingwa, probably it's flowing in your bloodline.Wa tuvingereza twako na kumpenda rapcha nyuma huna ubingwa [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba yako mzazi nyuma hana ubingwa, probably it's flowing in your bloodline.Wa tuvingereza twako na kumpenda rapcha nyuma huna ubingwa [emoji16]
Ngoja nikatafute ngoma za dizasta vina naona mnamsifia sana
Vipi brazza sinza,, wewe sisi tushakuachia ule upande mwingine.Wamekosa ubunifu... Watengeneze hitsongs hizo makiki haziwafikishi popote.
Kama we ni shabiki wa kenge yoyote that's your problem, for your information I'm nobody's fan.Usikute tunahangaika na shabiki wa NACHA
Hip-hop usikuvu huwezi fuatilia sebene shougar wa sinza
Content ni Nini?Nimeiona flow kali content zero[emoji23]
Fikiri kufa kama waja hawalipi wemaContent ni Nini?
Una Mfano wowote??
Kwahiyo hiyo ndiyo content??Fikiri kufa kama waja hawalipi wema
Kufa wokovu kilichokufa hakifi tena
Dazasta hajatoa diss,, alitoa clarifications, elimu na onyoKwahiyo hiyo ndiyo content??
Na hiyo content ipo kwenye disstrack yake, ya best friend?
Tumia akili.Dazasta hajatoa diss,, alitoa clarifications, elimu na onyo
Watoto machoko mnachefua sana, you're such a damn fool.Ficha ujinga wako muuza ubingwa wa sinza
Katoa nuclear story leo.ila kapanic anatukana tu na keleleDISS ya RAPCHA mbona kaichana uku ana bana pua[emoji16]
pole sana ndugu kwa kutojua chochote kuhusu good musicKaonyesha uwezo mdogo sana, line moja inaweza eleza story ya dakika 50 kama ukiwa fundi wa uhandishi.
Abakie kwenye mihadithi yake yenye part 1 mpk 5 kama shigongo hawezi ufundi wa uhandishi kapotezwa vibaya sana.
hvi umetumia ubongo kuwaza kweli,?Uyu mwamba kwa rapcha bado sana ye aendelee na mashairi yake ya part one, part two part three..............
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wee [emoji15][emoji15]usinambie genius [emoji23][emoji23]Tumia akili.
Ukiariri kila anachosema Kama kasuku.
Wanaitumia Emoji za Machozi wanapulizwa kinoma.Wee [emoji15][emoji15]usinambie genius [emoji23][emoji23]
Na upepo wa bahari ofcourse,, karibu mbweni beach by the way[emoji16]Wanaitumia Emoji za Machozi wanapulizwa kinoma.