Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

Usikute tunahangaika na shabiki wa NACHA

Hip-hop usikuvu huwezi fuatilia sebene shougar wa sinza
Kama we ni shabiki wa kenge yoyote that's your problem, for your information I'm nobody's fan.
Watoto machoko na upuuzi wa sijui shabiki wa nani au nani it's all bullcrap, sikiliza muziki bila kuwa shabiki wa mtu yoyote.
 
Kaonyesha uwezo mdogo sana, line moja inaweza eleza story ya dakika 50 kama ukiwa fundi wa uhandishi.
Abakie kwenye mihadithi yake yenye part 1 mpk 5 kama shigongo hawezi ufundi wa uhandishi kapotezwa vibaya sana.
pole sana ndugu kwa kutojua chochote kuhusu good music
 
Mkifikia muda wa kujadili album ya huyu kijana, mtanishtua. Disasta ni mkali wa content, ila ukiongelea lyrics magician, basi unamuongelea UNO!
1104755841.jpg
 
Yaani siwezi elewa hii thread mpaka niziskize zote nifanye comparison
 
Back
Top Bottom