Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 196
- 265
Mkuu,umeisikiliza best friend na story nyingine vizuri? Kama umeisikiliza vizuri best friend basi vina hafai kufananishwa na mtu,kama una understand music very well,dizasta ni balaa jingine nyimbo ipo na content zote that's why kamueleza rapcha hii sio diss track,na akitaka battle hua anakutaja jina pia kamuambia rapcha aache umama ,kwamba like ya bahati mbaya inaweza sababisha uhasama? Pia kamueleza alikua ana means zote za kumtafuta vina,pia vina kakubali angeomba radhi kama angetafutwa na rapcha lakini yeye kaamua kupeleka viral mitandaoni means anasaka attention.Kaonyesha uwezo mdogo sana, line moja inaweza eleza story ya dakika 50 kama ukiwa fundi wa uhandishi.
Abakie kwenye mihadithi yake yenye part 1 mpk 5 kama shigongo hawezi ufundi wa uhandishi kapotezwa vibaya sana.