Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

Kaonyesha uwezo mdogo sana, line moja inaweza eleza story ya dakika 50 kama ukiwa fundi wa uhandishi.
Abakie kwenye mihadithi yake yenye part 1 mpk 5 kama shigongo hawezi ufundi wa uhandishi kapotezwa vibaya sana.
Mkuu,umeisikiliza best friend na story nyingine vizuri? Kama umeisikiliza vizuri best friend basi vina hafai kufananishwa na mtu,kama una understand music very well,dizasta ni balaa jingine nyimbo ipo na content zote that's why kamueleza rapcha hii sio diss track,na akitaka battle hua anakutaja jina pia kamuambia rapcha aache umama ,kwamba like ya bahati mbaya inaweza sababisha uhasama? Pia kamueleza alikua ana means zote za kumtafuta vina,pia vina kakubali angeomba radhi kama angetafutwa na rapcha lakini yeye kaamua kupeleka viral mitandaoni means anasaka attention.
 
Hauna akili wewe pamoja na mama yako mzazi na baba yako mzazi, stupid b*tch-azz zombie.
Huo upuuzi Dizasta usilazimishe kila mtu auone kama unavyouona wewe.
Nilikuwa nasubiria mrejesho na umempimia kama luku kadiri alivyokutaka.
 
Mi nilikuwa kwenye ule uzi wa Dizasta vina a.k.a maradona

Ngoja tumuone atajibu nini Dizasta ipa naamini akijibu sidhani kama Rapcha ata respond
Rapcha hastahili kujibiwa tena na Disasta!
 
Unamshabikia Rapcha unajuona mwanaume wewe ni Anita Mcharuko tu
We unashabikia artists, sisi wengine tunachokuwa makini nacho ni music na si artist.
Huo uchoko wa kurithishwa na baba yako ambaye anaye ameurithi kwa baba yake baki nao hukohuko kwenu.
 
Kaonyesha uwezo mdogo sana, line moja inaweza eleza story ya dakika 50 kama ukiwa fundi wa uhandishi.
Abakie kwenye mihadithi yake yenye part 1 mpk 5 kama shigongo hawezi ufundi wa uhandishi kapotezwa vibaya sana.
Umeusema ukweli mchungu mkuu, asiekuelewa bado hajaelewa na hatokuja kukuelewa, sasa aende akaandike nyingine ya dakika 100 maana 8 hazimtoshi na asituwekee party party tunataka aziunge zote pamoja lame ass
 
Kaonyesha uwezo mdogo sana, line moja inaweza eleza story ya dakika 50 kama ukiwa fundi wa uhandishi.
Abakie kwenye mihadithi yake yenye part 1 mpk 5 kama shigongo hawezi ufundi wa uhandishi kapotezwa vibaya sana.
We jamaa huwa unamchukia tu Dizasta, halafu kinachonishangaza ni kuwa kila thread inayomhusu mwana lazima utokee!

Dizasta keshawahi kuandika kitabu halafu akaki summarize kuwa ngoma ya dakika tano, halafu ukisikiliza ngoma huoni kama ina miss chochote. Hakuna msanii mwenye uwezo huo hapa bongo na hatokaa atokee, Dizasta is a once in a generation phenomenon.

Kama una jambo lako binafsi na mchizi mtafute malizana nae na sio hizo chuki unazoleta kwenye kila post kumhusu,
 
ingawa naona haikuwa necessary Kwa dizasta kureply
Naona alifanya vile kulinda heshima kwa fan base yake. Fans wake wamefurahi sasa

Pia amefanya hivyo kumtuliza dogo Rapcha. Sasa hivi dogo anahaha kumdiss tena Dizasta

Distracks ukiziendekeza unaweza kupotea kwenye game ukikutana na mkali zaidi yako yaliwahi kumkuta Ja Rule kwa 50 Cent
 
We jamaa huwa unamchukia tu Dizasta, halafu kinachonishangaza ni kuwa kila thread inayomhusu mwana lazima utokee!

Dizasta keshawahi kuandika kitabu halafu akaki summarize kuwa ngoma ya dakika tano, halafu ukisikiliza ngoma huoni kama ina miss chochote. Hakuna msanii mwenye uwezo huo hapa bongo na hatokaa atokee, Dizasta is a once in a generation phenomenon.

Kama una jambo lako binafsi na mchizi mtafute malizana nae na sio hizo chuki unazoleta kwenye kila post kumhusu,
kitabu alichoandika Dizasta kinaitwaje mkuu
 
Back
Top Bottom