Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,748
- 14,962
Wanaume wote hawana akili hapo
Mke kaingia cha kiume.
Mwenye mke anampigaje mtu anayempenda makonde hivyo halafu anaongea lugha chafu.
Na huyo mchepuko anakubali vipi mwanamke apigwe kipigo kizito yeye yupo tu..!
Msaidie jibu mtoa mada,,,,,,nani WA kulaumiwa mke au rafiki?Wote wanamakosa
Rafiki anamtongozaje mke wa rafiki yake
Na mwanamke anamkubariaje mwanaume ambae ni rafiki wa mume wake
Km una mshare unachoma wote maana wote ni wasariti na wala akuna wa kumtetea apo wala wa kumpa lawamo, wote ni wasaliti
Achana naye huyo mpwa. Wasukuma milioni 10+ aliwafanyia utafiti wapi akaona kwamba mapenzi hawayawezi? Ndo maana liuzi limedoda!ππ
Shimba ya Buyenze mpwa njoo huku
Unataka aje kujiua, shauri yako.ππ
Shimba ya Buyenze mpwa njoo huku
Mpwa nimeshatubu wasukuma wapewe ulinzi πππAchana naye huyo mpwa. Wasukuma milioni 10+ aliwafanyia utafiti wapi akaona kwamba mapenzi hawayawezi?
Hujawahi kupendwa na Msukuma mpwa tukampinga kwa hoja na uzoefu huyo jamaa?
View attachment 3290431