Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Naendelea kujifunza
Mambo si hayo sasa mpwa. Ulikula michembe tani yako. Asante mpwa kwa kushea uzoefu wako!Mpwa nimeshatubu wasukuma wapewe ulinzi 😀😀😀
Wanajua kupenda bhana
Yani nilikula haswa😀Mambo si hayo sasa mpwa. Ulikula michembe tani yako. Asante mpwa kwa kushea uzoefu wako!
Haamini macho yake..ngosha anauliza jibu au ndio kuchanganyikiwa kwenyew
Jaribu kuvaa viatu vya Ngosha..Mimi nisingechepuka kwenye ndoa yangu na kama ingenibidi kufanya hivyo basi sio kwa watu wa karibu na mume wangu.
Ngosha alitakiwa awaache apambane na hali yake.Jaribu kuvaa viatu vya Ngosha..
1- Mkewe kaliwa..
2- Mtoto si wake..
3- Mke anamletea ujeuri..
Wewe ungefanyaje.. maamuzi gani ungeyafanya..? N:B kuna watu wanapata kesi za Mauaji kila siku na ukichunguza vzr sababu ni usaliti..
Kabila gani linaweza Mapenzi Mkuu au Wale wazee wa MARA.Wasukuma mapenzi hawayawezi ila wanalazimisha tu
😅😅 sawa..Ngosha alitakiwa awaache apambane na hali yake.
Mwanamke hampendi kumpiga na kutukana wala haimsaidii.
HahahaNgosha kasalitiwa na Mke wake, kulingana na tukio linavyoonekana ni kwamba hata Mtoto si wake..
Analalama kwa uchungu sana..
KATAA Ndoa wanachukua points 3 za wazi.
Inaonekana Binti pia hana aibu kabisa.. (Jeuri).
Mbaya zaidi hasira za mtu aliyesalitiwa (Ngosha) anazihamishia kwa Mke msaliti na si yule aliyemfuma nae..
Yes, ukimfumania aliyekusaliti kama huwezi kujizuia kupigana mpige aliyekusaliti si uliyemfumania. Maana aliyekusaliti ni mwenzi wako huyo uliyemfumania hakumshikia kisu wa la bunduki.Ngosha kasalitiwa na Mke wake, kulingana na tukio linavyoonekana ni kwamba hata Mtoto si wake..
Analalama kwa uchungu sana..
KATAA Ndoa wanachukua points 3 za wazi.
Inaonekana Binti pia hana aibu kabisa.. (Jeuri).
Mbaya zaidi hasira za mtu aliyesalitiwa (Ngosha) anazihamishia kwa Mke msaliti na si yule aliyemfuma nae..
Ngosha analalamika hadi huruma😅Hahaha
🍻#Kataa ndoa 😃
Wangoni ndiyo wanaweza mapenzi Iła wale jamaa wa Mara kwa kweli mapenzi nao hawayawezi, we umeona wapi mtu kulala tu na mwanamke mpaka amchape mapanga au kumcharaza visu?Kabila gani linaweza Mapenzi Mkuu au Wale wazee wa MARA.