Aise kama ni ndugu ww endelea kuishi maisha yako hata wakikusema vibaya puuzia chief
Tafta circle ya marafiki wa kweli wakusaidiana kwenye hali zote ...usitegemee sana misada kutoka kwa ndugu
Ishi vzuri ukimpendeza Jehova nasio kuishi dunia inavyotaka...
Punguza mazoea sana na hao ndugu kwenye matatizo ww fika wape poleee ondokaaa usikae sana karibu nao,na fanya namna yoyote ile wasikuelewe mishe zako yani kua mtu wa kutoeleweka na usiwe muongeaji sanaa unapokua nao
Umekata shauri. Yan Haya mambo ya wanga hapa Bongo sijui kwa kwel. Kuna mtaa Uko Dar. Nahis wanga pale ndio Mlimani city kwao. Yan ni mwiko watu kuendelea ule mtaa. Vijana walisoma wakaishia ulevi wa pombe za wazee. Ni shida.Nilidhania nipo pekee yangu,kumbe tupo wengi tu....mimi rafiki yangu ni jf na tv, tofauti na hapo napanda baiskeli kwenda kijiji cha tatu huko wasiponifahamu naenda kucheza michezo ya kila aina(Usisahau kutongoza [emoji39][emoji39]) ili mradi nifurahi.
Nikirudi maskani ni ndani na kazini tu
Watabadilika tu ata kama itachukua muda mrefu kuzoeaUmekata shauri. Yan Haya mambo ya wanga hapa Bongo sijui kwa kwel. Kuna mtaa Uko Dar. Nahis wanga pale ndio Mlimani city kwao. Yan ni mwiko watu kuendelea ule mtaa. Vijana walisoma wakaishia ulevi wa pombe za wazee. Ni shida.
Kifup ukija kwa individuals unakuta wanawangiwa ukienda national level unakuta mafisadi na Uzembe wa makusudi kuzuia Maendeleo ya uhakika.