Picha la kutishaNahapo mke ulienae yuko busy namichepuko naww uko kitandani umekatwa mguu,nawanao amewaambia ukome maana ulizidi ujeuri, wkt huo unamiaka miwili haujawasiliana kwa kitu chochote na nduguzako au umewatukana kwakua hautaki shobo nao.
Kumbe hana wa kumkojoza🤣🤣🤣🤣🤣Ukipata tulizo la moyo utakaa sawa
Hatari!Nahapo mke ulienae yuko busy namichepuko naww uko kitandani umekatwa mguu,nawanao amewaambia ukome maana ulizidi ujeuri, wkt huo unamiaka miwili haujawasiliana kwa kitu chochote na nduguzako au umewatukana kwakua hautaki shobo nao.
Hapa sina cha kuongezea mkuu umemaliza kila kitu,Inategemea naww unaishi nao vipi mkuu kama ww ni aina ya watu ambao ni ,,ilive my life ,i mind my own business,sitaki shobo namtu sijui nn,inamaanisha nduguzako watakua washakuogopa washakutoa ktk circle yao.kama ilivyo kwa mzazi kumlaani tu mtoto mkaidi asiyesikiliza mashauri yake.
Nnachoamini mm sisi sote tu wakosaji kama ndugu,hata sisi naimani tunakosea baadhi ya ndugu ,sio tu kua wao ndio hutukosea sisi,halafu kuna scenarios ndugu wanalazimika au kuhitajika tu no matter what hata kwashingo uapnde watakuja kwakua ww nindugu yao.mfano umefungwa magereza miaka kumi,umefariki na uko mbali nakwenu,nduguzako ndio watawajibika kuuchukua mwili wako nakwenda kuuhifidhai hata kama hamko sawia,naimani undugu huleta mantiki zaidi ktk nyakati ngumu zaidi kuliko nykaati za kuinjio.itashangaza sana kuona umefungwa halafu nduguzako hata mmoja haji kukuona magereza.Usilazimishe kua na urafiki na ndugu, utashindwa maisha, kwani tunaungua kila siku au kila mwezi ni dharula tu, ndugu wengi wanapenda ukua masikini ndo waonyesha upendo, kosa kuwazidi mali au cheo, utabakiza mama na baba ako tu.
Mimi nipate kazi nahisi nitarudi nyumbani baada ya miaka. 5, asa kwa Nini ulikuwa unarudi nyumbani Mara nyingi mkuu? Ulikuwa unawamiss auNilichojifunza binadamu Ni kigeugeu
Binafsi nilipopata ajira yangu ya kwanza serikalini nilipangiwa mkoa wa jiran na nyumban basi ikawa kila weekend narudi nyumbani basi baba na ndugu wwngine wakaanza maneno kuwa Kaz nafanya mda gan kila siku nipo nyumban habar zkanifikia nikaona nibadili mfumo wa maisha
Nikapata Kaz nyingne mbali na nyumbani Zaid Bado nikawa kila mwisho wa mwez narud home maneno yakaanza Tena nafuja pesa umbali wa Kutoka mkoa had home natumia nauli kubwa
Nikajifunza kitu nikaamua kukaa kuishi maisha yangu binafsi bila kumshirikisha mtu na nikaacha kwenda nyumban Sasa huu mwaka wa 3 malalamiko n mengi lakn sjali kwa lolote
Kuna muda unajitahidi kuwa nao karibu licha ya makandokando yao lakini wanazidi kukuonesha kuwa hauhitajiki kwao.Comments yakarne hii mkuu kongole sana.nilichogundua wachangiaji wengi wanadhani yakua undugu nihiari bali undugu niwajibu,Hatukuomba kuzaliwa ktk familia au ukoo flani bali tumejikuta tu-sehemu yao hivyo niwajibu wetu kushiriki shuguli za ki-ndugu hata kama kuna makandokando kiasi gani kwani kuna siku utawahitaji hata kama uko busy naratiba zako kiasi gani.kama vile kufiwa ww nahao unaowaita watu wako(mkeo,mmeo,mtoto),kuugua au kupata ajali,uzee,kufilisika(usizani wao ndio wanafilisika tu),kupoteza kazi inayokupa kiburi(hapa nnamifano yandugu waliokua busy naratiba zao sahiz upepo hauko upande wao).kiufupi hii dunia nikuvumiliana tu ,unaweza sema unakomaa na mzazi wako tu lkn kumbuka huyo mzazi hajakuzaa pekeyako ,utakutana nandugu zako hapo ili mjadili namna ya kumlea mzazi wenu,utakutana na akina baba mdogo au mmaamkubwa sijui shangazi ambao huyo mzazi wako wao wanamutia mdogo wao,utakwepea wapi ktk circle hyo,zaidi ww ndio utakua unajikomba kwao tu.pengne hata huyo mzazi anaweza akakutaa pia utafanya nn???
Huyo binamu wa baba yako ndio ndugu yako wa kweli! Jitahidi kuwa nae karibu kwa hali yoyote ile.Kuna muda unajitahidi kuwa nao karibu licha ya makandokando yao lakini wanazidi kukuonesha kuwa hauhitajiki kwao.
Binafsi niliona sihitajiki na ndugu baada ya dingi kututelekeza kwa Babu yetu mdogo na kwenda kuoa mke mwingine nilikua mdogo lakini nakumbuka matendo yote yaliyokuwa yakitendeka, hali ilivyokua mbaya ikabidi mama aombe msaada kwa ndugu wa mzee wamsaidie malezi hamna ndugu alietaka kukaa na sisi isipokua Binamu ya Baba yetu huyu ametulea na kutupa support kubwa sana. Katika kipindi hicho chote Hakuna ndugu aliwahi kuja kutujulia hali wala kujua maendeleo yetu licha ya kuwa tunaishi mkoa mmoja.
But Mama alinionesha ndugu wote na akinisihi niwe nawatembelea nilifanya hivyo lakini jinsi walivyokuwa wana ni treat ilinionesha hawataki ukaribu na sisi hapo nilikua darasa la 7. Toka hicho kipindi nilijifunza kufuata mambo yangu, mara ya mwisho niliwasiliana na ndugu zangu wawili siku ya graduation miaka 3 iliyopita. Kinachonifurahisha huwa nawasikia wakilalamika kwa mzee kuwa tunampendelea sana shangazi yangu(Binamu yake baba) aliyetulea kuliko wao ndugu zetu wa damu. Sina tatizo nao ni ndugu zangu lakini wakati na jitahidi kuwa karibu nao wao walikua wakinitenga
Noted mkuuHuyo binamu wa baba yako ndio ndugu yako wa kweli! Jitahidi kuwa nae karibu kwa hali yoyote ile.
Noted mkuuHuyo binamu wa baba yako ndio ndugu yako wa kweli! Jitahidi kuwa nae karibu kwa hali yoyote ile.
Anatakiwa apate baharia mzoefu, amfungulie duniaKumbe hana wa kumkojoza🤣🤣🤣🤣🤣
Mkishapataga ajira mnaanzaga kuona ndugu na jamaa ni miyeyusho. Sasa omba usije ukapata tatizo la kiafya ama la kiuchumi utawakumbuka hao watu unaojitenga nao.
Tupo ambao tumewahi kupata matatizo na ndugu hawajawahi kutusaidiaMasikini akipata matako hulia mbwata unasahau kabisa kama ulikua unasomea ktk majumba yao ,
Nipo nyuma yako mkuu ndugu wengi ni kenge tu hawana jema .kla siku visa visa tuMimi ni sawa na wewe mkuu ,nimeamua kuishi maisha yangu , dunia yangu sitaki fitna za wana familia nimezichoka
Inategemea na ndg uliwaonao.Mkishapataga ajira mnaanzaga kuona ndugu na jamaa ni miyeyusho. Sasa omba usije ukapata tatizo la kiafya ama la kiuchumi utawakumbuka hao watu unaojitenga nao.