Kosa walilofanya Flora na Emanuel Mbasha

Mbona unatabiria watu ubaya we mchawi nini?
Yaani ndoa ya mtu isidumu kisa nini?
Ni vigumu sana wajanja wawili kuishi pamoja,kila mmoja anamvizia mwenzake kwa wakati wake
 
Kwanini unasema hivyo?

Au wewe ni ndugu wa daud kusekwa
Hahahahaaaaaaaa
Mbona unatabiria watu ubaya we mchawi nini?
Yaani ndoa ya mtu isidumu kisa nini?

Mchambuzi wa masuala ya ndoa.

Umekuwa mpiga ramli na mganguzi siku hizi?

Kisandu katika ubora wake.

Kisandu upo mkuu?

Mtemi Kisandu

Kisandu mtemi mtabiri

Umekuwa mchambuzi wa masuala ya ndoa siku hizi boss?

Kisandu kutoka siasa mpaka mnajimu(mtabiri).[emoji102]
 
Nimekukumbuka sana mkuu Deogratius kisando, ulikuwa kimya kidogo karibu Tena
 
Frola ndoa yake harali ni ya yeye na mbasha huko aliko anazini tu wakristo hatuna ndoa mbili kama aliweza kumuacha mbasha kipi kitamzuia kumuacha huyo akimpata aliyemzidi kipato huyo (mzinzi ni mzinzi tu)
 
Lakini mbona huyu wifey Nigga anatoka familia nzuri tu ilikuaje akawa marioo tena!?..
 
Itadumu tu
 
Hakuna ndoa hapo wala sio kuwa natabiri ila hakuna ndoa muda utaongea na tutarudi kwenye huu uzi!
 
mbona mbasha namuona na prado lake huku mbezi beach? it seems anaishi humu maana nilikutana nae gengeni ananunua madikodiko ya kupika.sasa ana ukata gani wakati ana prado
Ht mi nashangaa hilo la ukata sikubaliani nalo, sshiv yuko zake UK ,wiki ya pili hii ni mialiko tu
 
Mkuu sio akitoa, ana nyimbo mpya mbona kiondi anaolewa zilikuwa zishayoka,lkn ht kupigwa hazipigwi! Sembuse kununua!?Nani anunue!!? Yaani niliwahi kuisikia km sio mara 1 basi mbili kwny redio upendo tena ilikuwa sa saba usiku km sio sa sita!

Cha ajabu mwanaume ndo anatamba na nyimbo 2 tu km sikosei tena wala sio nzuri ila mialiko kibao mpk nje ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…