kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Ni vigumu sana wajanja wawili kuishi pamoja,kila mmoja anamvizia mwenzake kwa wakati wakeMbona unatabiria watu ubaya we mchawi nini?
Yaani ndoa ya mtu isidumu kisa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vigumu sana wajanja wawili kuishi pamoja,kila mmoja anamvizia mwenzake kwa wakati wakeMbona unatabiria watu ubaya we mchawi nini?
Yaani ndoa ya mtu isidumu kisa nini?
HahahahaaaaaaaaKwanini unasema hivyo?
Au wewe ni ndugu wa daud kusekwa
Mbona unatabiria watu ubaya we mchawi nini?
Yaani ndoa ya mtu isidumu kisa nini?
Mchambuzi wa masuala ya ndoa.
Umekuwa mpiga ramli na mganguzi siku hizi?
Kisandu katika ubora wake.
Kisandu upo mkuu?
Mtemi Kisandu
Kisandu mtemi mtabiri
Umekuwa mchambuzi wa masuala ya ndoa siku hizi boss?
Kisandu kutoka siasa mpaka mnajimu(mtabiri).[emoji102]
Waombee memakiukweli nami nahis ndoa ya flora haitadumu ! Mungu pishilia mbali ! na Mungu tusamehe kwa kuhumu lol
Waombee mema
Sawaukinisoma fresh siwaombei mabaya !nilitoa tu anglizo
Itadumu tuView attachment 617475
KOSA KUBWA ALILOFANYA EMMANUEL MBASHA KWA FLORA.
1. Gwajima hakuwa na mahusiano na mkewe.
2. Alimsapoti na kumuamini kupita kiasi na kumuachia maamuzi ya familia.
3. Marafiki zake aliwapa nafasi kubwa sana kwa mkewe.
KOSA KUBWA ALILOFANYA FLORA KWA EMANUEL MBASHA.
1. Alidanganya hata kwenye ukweli.
2. Alikimbilia kuolewa kabla ya suluhu na kufunga ndoa ingine kanisani.
3. Aliwahi sana kudai talaraka.
4. Aliharibu kumbambika kesi mmewe kisa wana mgogoro.
5. Marafiki aliwapa nafasi kubwa ya kumshauri kuliko kusikiliza nafsi yake.
6. Amemuwekea vikwazo mmewe ili ndoa yake mpya isivunjike.
CHANGAMOTO.
1. Emmanuel Mbasha sasa anaishi maisha magumu sana kwa ukata wa pesa.
2. Flora ndoa yake mpya haitadumu kabisa.
Ht mi nashangaa hilo la ukata sikubaliani nalo, sshiv yuko zake UK ,wiki ya pili hii ni mialiko tumbona mbasha namuona na prado lake huku mbezi beach? it seems anaishi humu maana nilikutana nae gengeni ananunua madikodiko ya kupika.sasa ana ukata gani wakati ana prado
Mkuu sio akitoa, ana nyimbo mpya mbona kiondi anaolewa zilikuwa zishayoka,lkn ht kupigwa hazipigwi! Sembuse kununua!?Nani anunue!!? Yaani niliwahi kuisikia km sio mara 1 basi mbili kwny redio upendo tena ilikuwa sa saba usiku km sio sa sita!Hakuna uamuzi mbaya na usio wa busara kama kuamua kuvunja ndoa kwa mambo ya kuhisi na haswa anayeamua hivyo akawa mwanamke. Gharama ya kusuluhisha ilikuwa ndogo kuliko gharama ya kuishi mkiwa mmevunja ndoa. Mbasha asitegemee kuwa kitoa albam itanunuliwa kama zamani ni vema akapate uzoefu kwa Beatrice Mhone. Alikuwa na heshima alipokuwa na Imma kuliko huko alikokwenda kukadanganya katoto ka watu na kukaita mume. Yetu macho na time will tell
Prado ni ukwasi?mbona mbasha namuona na prado lake huku mbezi beach? it seems anaishi humu maana nilikutana nae gengeni ananunua madikodiko ya kupika.sasa ana ukata gani wakati ana prado
miaka 3 imepita.vipi ndoa mpya ya flora mbasha ipo? unaweza ukaona utabiri kisandu umetimia
halafu mwenyewe hayupo kufurahia utabiri wakemiaka 3 imepita.vipi ndoa mpya ya flora mbasha ipo? unaweza ukaona utabiri kisandu umetimia
sina uhakika mkuukwani wameachana?