Kosa walilofanya Flora na Emanuel Mbasha

Kosa walilofanya Flora na Emanuel Mbasha

Mbona unatabiria watu ubaya we mchawi nini?
Yaani ndoa ya mtu isidumu kisa nini?
Ni vigumu sana wajanja wawili kuishi pamoja,kila mmoja anamvizia mwenzake kwa wakati wake
 
Kwanini unasema hivyo?

Au wewe ni ndugu wa daud kusekwa
Hahahahaaaaaaaa
Mbona unatabiria watu ubaya we mchawi nini?
Yaani ndoa ya mtu isidumu kisa nini?

Mchambuzi wa masuala ya ndoa.

Umekuwa mpiga ramli na mganguzi siku hizi?

Kisandu katika ubora wake.

Kisandu upo mkuu?

Mtemi Kisandu

Kisandu mtemi mtabiri

Umekuwa mchambuzi wa masuala ya ndoa siku hizi boss?

Kisandu kutoka siasa mpaka mnajimu(mtabiri).[emoji102]
 
Nimekukumbuka sana mkuu Deogratius kisando, ulikuwa kimya kidogo karibu Tena
 
Frola ndoa yake harali ni ya yeye na mbasha huko aliko anazini tu wakristo hatuna ndoa mbili kama aliweza kumuacha mbasha kipi kitamzuia kumuacha huyo akimpata aliyemzidi kipato huyo (mzinzi ni mzinzi tu)
 
Lakini mbona huyu wifey Nigga anatoka familia nzuri tu ilikuaje akawa marioo tena!?..
 
View attachment 617475

KOSA KUBWA ALILOFANYA EMMANUEL MBASHA KWA FLORA.

1. Gwajima hakuwa na mahusiano na mkewe.
2. Alimsapoti na kumuamini kupita kiasi na kumuachia maamuzi ya familia.
3. Marafiki zake aliwapa nafasi kubwa sana kwa mkewe.

KOSA KUBWA ALILOFANYA FLORA KWA EMANUEL MBASHA.

1. Alidanganya hata kwenye ukweli.
2. Alikimbilia kuolewa kabla ya suluhu na kufunga ndoa ingine kanisani.
3. Aliwahi sana kudai talaraka.
4. Aliharibu kumbambika kesi mmewe kisa wana mgogoro.
5. Marafiki aliwapa nafasi kubwa ya kumshauri kuliko kusikiliza nafsi yake.
6. Amemuwekea vikwazo mmewe ili ndoa yake mpya isivunjike.

CHANGAMOTO.

1. Emmanuel Mbasha sasa anaishi maisha magumu sana kwa ukata wa pesa.
2. Flora ndoa yake mpya haitadumu kabisa.
Itadumu tu
 
Hakuna ndoa hapo wala sio kuwa natabiri ila hakuna ndoa muda utaongea na tutarudi kwenye huu uzi!
 
mbona mbasha namuona na prado lake huku mbezi beach? it seems anaishi humu maana nilikutana nae gengeni ananunua madikodiko ya kupika.sasa ana ukata gani wakati ana prado
Ht mi nashangaa hilo la ukata sikubaliani nalo, sshiv yuko zake UK ,wiki ya pili hii ni mialiko tu
 
Hakuna uamuzi mbaya na usio wa busara kama kuamua kuvunja ndoa kwa mambo ya kuhisi na haswa anayeamua hivyo akawa mwanamke. Gharama ya kusuluhisha ilikuwa ndogo kuliko gharama ya kuishi mkiwa mmevunja ndoa. Mbasha asitegemee kuwa kitoa albam itanunuliwa kama zamani ni vema akapate uzoefu kwa Beatrice Mhone. Alikuwa na heshima alipokuwa na Imma kuliko huko alikokwenda kukadanganya katoto ka watu na kukaita mume. Yetu macho na time will tell
Mkuu sio akitoa, ana nyimbo mpya mbona kiondi anaolewa zilikuwa zishayoka,lkn ht kupigwa hazipigwi! Sembuse kununua!?Nani anunue!!? Yaani niliwahi kuisikia km sio mara 1 basi mbili kwny redio upendo tena ilikuwa sa saba usiku km sio sa sita!

Cha ajabu mwanaume ndo anatamba na nyimbo 2 tu km sikosei tena wala sio nzuri ila mialiko kibao mpk nje ya nchi
 
Back
Top Bottom