Tunawaonea huruma msije mkajichanganya na kupata kura 2 o'clock, huyu jamaa Ni wa new CCM, sio CCM ile tunayoifahamu. Huyu jamaa Kama utakazania kumrushia madogo unaweza kupingwa na wengi waliokwenda Xmas kwa kutumia treni mwaka JanaMbona mnajihami sana na huyo mungu wenu!?
Ushauri potofu huu. Unajifanya unatoa ushauri kumbe una lengo la kumlinda jpm asipewe spana za uso. Acha alinywe alilo likoroga.Waache kumkejeli, kumbeza na kumlaumu mgombea wajikite kwenye mazuri na mabaya ya CCM
Sawa ushauri potovu, lakini utakuwa na kazi ngumu sana kwenda Dodoma na kusema JPM hafai hata baada ya kuwatengenezea mji wao. Nasikia treni ya mizigo imefika Arusha, nasikia Usafiri wa meli wa Mwanza kwenda Bukoba umezinduliwa. Umeme mwingi unakuja kutoka rufiji, IPTL, greko hazipo tena.Ushauri potofu huu. Unajifanya unatoa ushauri kumbe una lengo la kumlinda jpm asipewe spana za uso. Acha alinywe alilo likoroga.
Hii inatusaidia tu kufahamu kuwa Chadema ndio chama halisi Cha upinzani kilichobakia strong. Mti wenye matunda utarushiwa vigongo vingi Sana vya aina mbalimbali. Hadithi Ni nzuri lakini muda inayotolewa na guesture ya anayehadithia utaona tu Ni mwendelezo wa kuunga juhudiKIMENUKAAA!!! SIRI ZA ANTLISA ZAVUJAAA
https://www.facebook.com/
We nawe,. Nyie mnapelekwa na upepo, kabla mlisema CDM imekufa ghafla mmeanza kuwa washauri wa CDM,Inafahamika kuwa nchi yetu imekuwa chini ya CCM tangu ipate Uhuru takilibani miaka 60 Sasa. Hivyo Kama Kuna mabaya au mazuri pongezi au lawama zozote Ni kwa CCM na sio kwa kiongozi wa awamu fulani.
Kama wapinzani watajikita kumlaumu kiongozi badala ya CCM kwa ujumla wake tangu Uhuru hadi Leo Basi watakosea na wanaweza wasiambulie kitu.
Waache kumkejeli, kumbeza na kumlaumu mgombea wajikite kwenye mazuri na mabaya ya CCM (Kama yapo) ya awamu zote. Angalau wananchi wataelewa kidogo wanachotaka kuongea. Mfano, Kama hawana maji, barabara, hospitali, shule, dawa hadi Leo tangu tupate Uhuru.
JidanganyeTunawaonea huruma msije mkajichanganya na kupata kura 2 o'clock, huyu jamaa Ni wa new CCM, sio CCM ile tunayoifahamu. Huyu jamaa Kama utakazania kumrushia madogo unaweza kupingwa na wengi waliokwenda Xmas kwa kutumia treni mwaka Jana
kama wananchi hawana maji safi na huduma bora za afya alafu kuna mtu katumia billions of money bila ridhaa ya bunge kujijengea uwanja wa ndege nyumbani kwake hapo tunabagaza muhusika na chama chake full stop.Inafahamika kuwa nchi yetu imekuwa chini ya CCM tangu ipate Uhuru takilibani miaka 60 Sasa. Hivyo Kama Kuna mabaya au mazuri pongezi au lawama zozote Ni kwa CCM na sio kwa kiongozi wa awamu fulani.
Kama wapinzani watajikita kumlaumu kiongozi badala ya CCM kwa ujumla wake tangu Uhuru hadi Leo Basi watakosea na wanaweza wasiambulie kitu.
Waache kumkejeli, kumbeza na kumlaumu mgombea wajikite kwenye mazuri na mabaya ya CCM (Kama yapo) ya awamu zote. Angalau wananchi wataelewa kidogo wanachotaka kuongea. Mfano, Kama hawana maji, barabara, hospitali, shule, dawa hadi Leo tangu tupate Uhuru.
Hizi ndivyo akili za upinzani zilivyo kumpa spana jp ndio kutakupa kura wapiga kura wanataka kujua wewe ukiingia utafanya nini na sio kushambulia mwengine ila kwenye siasa hilo hutokea japo kidogo lakini halina nafasi kubwa tafauti na linavyochukuliwa na wanasiasa hapa tzUshauri potofu huu. Unajifanya unatoa ushauri kumbe una lengo la kumlinda jpm asipewe spana za uso. Acha alinywe alilo likoroga.
Ninawaonya Kama watajikita kwenye kumlalamukia JPM badala ya kutoa njia mbadala za kupata ndege zetu wenyewe, flyovers, meli, barabara, umeme, maji kwa wote, elimu kwa wote, afya kwa wote, na kuvitaja vyanzo vya Mapato ya kutekeleza hayo watagonga mwamba hakiya nani. Hizi shule za kata zimetusaidia angalau kupata wapiga kura wengi hadi vijijini ambao wanaweza kufikiria, sio Kama zamani. Mfano, wapiga kura wote wanafahamu kuwa wale waliokwenda kuunga juhudi walipewa kitu sio bure.Hizi ndivyo akili za upinzani zilivyo kumpa spana jp ndio kutakupa kura wapiga kura wanataka kujua wewe ukiingia utafanya nini na sio kushambulia mwengine ila kwenye siasa hilo hutokea japo kidogo lakini halina nafasi kubwa tafauti na linavyochukuliwa na wanasiasa hapa tz
Inafahamika kuwa nchi yetu imekuwa chini ya CCM tangu ipate Uhuru takilibani miaka 60 Sasa. Hivyo Kama Kuna mabaya au mazuri pongezi au lawama zozote Ni kwa CCM na sio kwa kiongozi wa awamu fulani.
Kama wapinzani watajikita kumlaumu kiongozi badala ya CCM kwa ujumla wake tangu Uhuru hadi Leo Basi watakosea na wanaweza wasiambulie kitu.
Waache kumkejeli, kumbeza na kumlaumu mgombea wajikite kwenye mazuri na mabaya ya CCM (Kama yapo) ya awamu zote. Angalau wananchi wataelewa kidogo wanachotaka kuongea. Mfano, Kama hawana maji, barabara, hospitali, shule, dawa hadi Leo tangu tupate Uhuru.
Ninawaonya Kama watajikita kwenye kumlalamukia JPM badala ya kutoa njia mbadala za kupata ndege zetu wenyewe, flyovers, meli, barabara, umeme, maji kwa wote, elimu kwa wote, afya kwa wote, na kuvitaja vyanzo vya Mapato ya kutekeleza hayo watagonga mwamba hakiya nani. Hizi shule za kata zimetusaidia angalau kupata wapiga kura wengi hadi vijijini ambao wanaweza kufikiria, sio Kama zamani. Mfano, wapiga kura wote wanafahamu kuwa wale waliokwenda kuunga juhudi walipewa kitu sio bure.
Usimlinganishe Trump na JPM, aliyoyafanya Trump kwa watu wake na aliyoyafanya JPM kwa watu wake Ni vitu 2 tofauti kabisa. Trump hana Cha maana alichowafanyia wamerakani. Nakuonya Tena lazima muwe more strategic katika kampeni zenu maana vile vijiji vilivyopata umeme Sasa wananyoa viduku salon hukohuko vijijini hawatawaelewa Kama mtamtukana JPM aliyewapa huo umemeSikiliza uchaguzi wa US, Trump anapewa ukweli wake wazi wazi bila kujali kuwa ni wa Republican. Kama umekuja kutoa muongozo watu waongee nini kwenye kampeni, basi umeukalia.
Ungeanza kumpa ushauri huu jpm. Vinginevyo kaa utulie hayakuhusu.Hizi ndivyo akili za upinzani zilivyo kumpa spana jp ndio kutakupa kura wapiga kura wanataka kujua wewe ukiingia utafanya nini na sio kushambulia mwengine ila kwenye siasa hilo hutokea japo kidogo lakini halina nafasi kubwa tafauti na linavyochukuliwa na wanasiasa hapa tz
Nadhani sababu kubwa ilikuwa kuokoa hela za kupiga kampeni ziende kwenye miradi ya ujenzi wa miundombinu badala ya kuzunguuka nchi nzima kupiga kampeni.Kama ccm inaamini hicho unachotaka kusema hapa, ni kwanini chaguzi zote za marudio na uchaguzi wa SM ulinajisiwa? Mbona hawakuacha watu wachague kwa utashi wao?
Bado una picha ya kizamani sana kuhusu watu wa vijijini. Unadhani wanaishi mambumbumbu. Na wao wanataka maisha bora, siyo kuwapa umeme ambao hata elfu tano ya kulipia bili hawana.vile vijiji vilivyopata umeme Sasa wananyoa viduku
Usimlinganishe Trump na JPM, aliyoyafanya Trump kwa watu wake na aliyoyafanya JPM kwa watu wake Ni vitu 2 tofauti kabisa. Trump hana Cha maana alichowafanyia wamerakani. Nakuonya Tena lazima muwe more strategic katika kampeni zenu maana vile vijiji vilivyopata umeme Sasa wananyoa viduku salon hukohuko vijijini hawatawaelewa Kama mtamtukana JPM aliyewapa huo umeme
Kwahiyo wewe ukienda ikulu utawapa hela ili wawe na maisha bora au utafanyaje na Corona hii. Wewe si ulikimbia bungeni kuogopa corona ukaenda kujilockdown. Ina maana ukishinda uchaguzi utaamrisha lockdown tujikinge na CORONA.Bado una picha ya kizamani sana kuhusu watu wa vijijini. Unadhani wanaishi mambumbumbu. Na wao wanataka maisha bora, siyo kuwapa umeme ambao hata elfu tano ya kulipia bili hawana.