Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Kwahiyo CCM mpya inakubali rushwa?Tunawaonea huruma msije mkajichanganya na kupata kura 2 o'clock, huyu jamaa Ni wa new CCM, sio CCM ile tunayoifahamu. Huyu jamaa Kama utakazania kumrushia madogo unaweza kupingwa na wengi waliokwenda Xmas kwa kutumia treni mwaka Jana