Kosea mambo yote lakini sio kuoa

Una habari kuna wanawake nao wanajutia kuolewa? Madhara ya ndoa hayapo upande mmoja.

Kuna wanawake waelewa na wabivu kama ilivyo kwa wanaume.

Hoja iwe kuna hasara kuingia kwenye ndoa na mtu asiyesahihi.
 
Kwa usawa ulivyo, if everyone marries, lazima sample space ya kuungua iwepo. 😂

Kuoa mke bora ni bahati tu chance ni 50% to 50%
Moto hauchagui nani wa kumuwakia.


Game ikiwa tough, stay aside and enjoy the show.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…