Kosea mambo yote lakini sio kuoa

Kosea mambo yote lakini sio kuoa

Attachments

  • af79888efb094ae0bc99759c96a9b1fb.jpg
    af79888efb094ae0bc99759c96a9b1fb.jpg
    102.9 KB · Views: 8
#KATAAA NDOAAA CHIII MAWINGUNI☁️☁️☁️

📌MPAKA MSEME SISI WALAAA, TUNASHUSHIA TU NA BIA BBARIIIIDI.WAITA KAMA TULIVYO ZUNGUSHA.MUPE MURUKE!!!
 
Ukitaka ukose amani na uishi km mfungwa kwa muda wte uliobakiza hapa dunia basi OA.
 
Sasa dunia ya leo unafunga ndoa ili upate nini ambacho hauwezi kukipata bila kusaini huo mkataba wa kitapeli. Sogea tukae ndo mpango mzima. Mkishindwana kila mmoja anachukua njia yake. Unakua haujaingia hasara, haujasumbua watu
 
Back
Top Bottom