Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

Daah pole sana mkuu mimi nimemvumilia kanitesa sana kuna vitu nikiandika huku hamtoamini
Pole, najaribu kuvaa viatu vyako naona una mateso mno. Mfano, Nilienda safari, tuliagana, ile narudi usiku huo akahama chumba, nilivomuuliza akasema naona una mpango wa kuniua ( yeye ni mlokole ) eti ameonyeshwa na Mungu. Ikaisha miezi 3 akiwa amenihama, anapika anakula na watoto wakati mletaji wa chakula ni mimi, hanifulii nguo, hanisalimii...hatukuwa tumegombana kabisa. Mwisho ananiambia hanitaki..wakati toka nimwoe mi ni mfanyakazi ye ni mama wa nyumban, nimejenga nyumba 3 harafu anasema niondoke kwangu nimwache yeye na watoto. Ananidharau, kunikejeri na kunitukana matusi ya nguoni mbele ya watoto. Mungu alinifunika, sjampiga katika yote hayo. Mwisho aliwaambia wazazi wake kuwa mi sio mme wake. Nimempa talaka na sasa ananitaka nirudi nyumbani...Wanawake kuna mahali wakiwa na michepuko huwa wanachizika sana, sometimes huwa hawajui hata wanalolitafuta maishani mwao
 
Ukiendekeza kuishi na mke mpumbavu jua kuwa unajutafutia kifo cha mapema.
Dar nyumba nyingi zimebaki kuwa milki ya wanawake, wanaume wameshakufa
 
Usije kuishi na mwanamke anajiita mlokole hawa fisi ni tabu tupu.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Anzisheni mnasubiri nini sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo lako itakuwa hukumuonyesha kuwa anytime unaweza vuta mwanamke mwengine. Dawa ya hawa viumbe wee tafuta mbususu mbichi mbichi tuu.
 
Kwanini ulioa mwanamke wa nyumbani, hao huwa ni rahisi kuchepuka maana hawako busy na Wana nyegezi mda wote pia ni rahisi kudaganyika na Hawa manabii fake na kutekwa mazima, next time oa mke busy atakuwa anachoka anasahau kuchepuka maana wewe huko busy na kazi humushughulikii vya kutosha
 
Nakupenda bure yaani unakuwa muwazi.
Hata mie napenda Sana mtu anayejiachia na anafanya Kama hitaji la mwili wake ulivyo na hitaji
Yes stress tupa kule za kuletwa na watu wazima wenzangu I have come to realize happiness ni internally zaidi kuliko ku depend watu, sikuhizi niko stress free
 
Sasa na wewe mbona unakuwa kama una akili za mtoto wa darasa la 2, na ni mtu mzima? Mbona unashindwa kumalizia simulizi yako watu wajifunze?

Ulikuwa ukimridhisha kimapenzi kama inavyotakiwa?

Malizia nini kiliendelea, huo ndio usomi. Sio una-hang tu na kuwapa wasomaji vidokezo na maudhui nusu nusu.
 
Huwa nampiga show hadi anaomba "poo" yeye mwenyewe katika hii idara nipo vizuri sana madam
Sidhani mwanamke anayefanywa vizuri hawi mkorofi kabisa, pia hapa umeanzisha one sides story tu na yeye akiitwa hapa atatapika nyongo yake, wanawake hatuanzagi kubadilika ghafla tu bin vuu
 
Wewe mtoto visa sana 😀 😀
 
It's a bad story for me brother. Ipo siku nitaianzishia uzi. Sio story nzuri kwangu
 
Asante sana broo hawa viumbe we acha tu nimeamua akae huko kwao tu kwa sasa akajifunze adabu wala sina mpango wa kumrejea
 
Ila hapa kuna shida...ina maana hakuna love Ila no kuogopa talaka na maisha baada ya talaka ama

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Ila hapa kuna shida...ina maana hakuna love Ila no kuogopa talaka na maisha baada ya talaka ama

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…